ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,076
- 49,779
Hii kiukweli sio sawa, haiingii akilini kwamba Maji yanapatikana vizuri kabisa hapo hapo Serikali inapeleka tena mradi wa zaidi ya Bilioni 200 Mji huo huo ambao hakuna shida ya Maji.
Nimekuwepo Ilula majuzi tuu sijawahi ona shida ya Maji,yaani maji ni bwelele kabisa achilia mbali Iringa Mjini.
Sasa naomba kufahamu kwamba Wataalamu huko Wizarani hawana takwimu au ni kukosa akili ama ni mipango ya Bora liende?
Kuna mikoa Ina shida kubwa kabisa ya Maji kama Rukwa,Songwe,Mwanza,Dodoma na maeneo mengi kama hayo.Sasa Kwa nini mradi huu usipelekwe huko?
View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1696945398349267271?t=QfkcH-lWPzgdxPX9_9WouA&s=19
My Take
Kuna shida sana ya mgawanyo wa Rasilimali hapa Tanzania