Watanzania wengi ni madikteta wasiokuwa na madaraka

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,026
12,324
CCM kama navyo kitambua ni chama cha kidikteta kinacho ongoza nchi ya Tanzania.

CCM imejifunua kuwa chama cha kidikteta kwa kipindi kirefu bila uficho wowote kwa maneno na matendo.

Ila kuna kundi kubwa lililo saulika la Watanzania walio kinyume na CCM kiitikadi.

Hili kundi kubwa la Watanzania limejaribu kujificha katika kichaka cha demokrasia ila kiuhalisia ni madikteta tena zaidi hata ya CCM.

Kitu pekee kinacho nyima wao kuonesha udikteta wao ni kukosa madaraka ya kudhihirisha udikteta na unyama wao.

Fikra za hili kundi bado zipo kwenye mabavu, ukoloni na utumwa.

Wale wote wanao jifanya kupigania demokrasia ni hawajapata madaraka ya kuonesha udikteta wao.
 
Mgogoro kati ya Israel na Palestine unasaidia kuonesha udikteta wa watu uliojisha katika kichaka cha demokrasia
 
CCM kama navyo kitambua ni chama cha kidikteta kinacho ongoza nchi ya Tanzania.

CCM imejifunua kuwa chama cha kidikteta kwa kipindi kirefu bila uficho wowote kwa maneno na matendo.

Ila kuna kundi kubwa lililo saulika la Watanzania walio kinyume na CCM kiitikadi.

Hili kundi kubwa la Watanzania limejaribu kujificha katika kichaka cha demokrasia ila kiuhalisia ni madikteta tena zaidi hata ya CCM.

Kitu pekee kinacho nyima wao kuonesha udikteta wao ni kukosa madaraka ya kudhihirisha udikteta na unyama wao.

Fikra za hili kundi bado zipo kwenye mabavu, ukoloni na utumwa.

Wale wote wanao jifanya kupigania demokrasia ni hawajapata madaraka ya kuonesha udikteta wao.
umeandika ukweli mzito sana na umegonga kwa kulenga mshono kwa kishindo mno ngoja ni cheki povu lake apo chini sasa...
 
CCM kama navyo kitambua ni chama cha kidikteta kinacho ongoza nchi ya Tanzania.

CCM imejifunua kuwa chama cha kidikteta kwa kipindi kirefu bila uficho wowote kwa maneno na matendo.

Ila kuna kundi kubwa lililo saulika la Watanzania walio kinyume na CCM kiitikadi.

Hili kundi kubwa la Watanzania limejaribu kujificha katika kichaka cha demokrasia ila kiuhalisia ni madikteta tena zaidi hata ya CCM.

Kitu pekee kinacho nyima wao kuonesha udikteta wao ni kukosa madaraka ya kudhihirisha udikteta na unyama wao.

Fikra za hili kundi bado zipo kwenye mabavu, ukoloni na utumwa.

Wale wote wanao jifanya kupigania demokrasia ni hawajapata madaraka ya kuonesha udikteta wao.
Watanzania karibia 98% ni madicteta tena wabaya sana
 
Back
Top Bottom