Sabaya na Makonda hawastahili kushtakiwa

RNA

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
1,584
2,683
Sababu kubwa kwanini hawastahili kushitakiwa ni Katiba yetu inatoa mamlaka kubwa sana kwa taasisi ya Urais ,hivyo kila Rais anateua kulingana na mfumo anaotaka kuongoza.

Awamu iliyopita iliamini ukitakuongoza nchi za Afrika ni lazima ulazimishe watu watii amri, wafanye kazi, na hela iingie serikalini kwa Namna yoyote ile ili Miradi mbali mbali iindelee.

Hivyo Viongozi kama kina Sabaya na Makonda waliteuliwa sababu walikuwa na uwezo wa kusimamia hayo aliyo amini Rais

Vivyo hivyo kwa awamu zilipita kuna wateuliwa /watumishi walikuwepo kwa Ajili ya kutumika na Ofisi hiyo, hata Awamu hii kuna ni hivyo hivyo.

Hivyo tukianza kushitakiana:

1. Taasisi hiyo kuna kipindi itakosa watu wa kuitumikia vyema kila mtu atakuwa muoga.

2. Hizo kesi hazitaisha mahakamani ukianza kushitaki kuanzia Awamu ya Kwanza mpaka sasa ni nyingi sana.

Mwisho sio rahisi kama tunavyo chukulia nadhani ambao wameshawahi kuwa viongozi wanaelewa ugumu ulivyo Wewe una plan hivi kuna baadhi ya watu wanakwamisha juhudi hapo ndio inapokuja shida ya kushughulika na hao watu.

Kikubwa hao vijana walikuwa wanafanya kulingana na mfumo ulikuwa unataka nini labda tushitaki mfumo au Katiba kwa kuiipa Madaraka makubwa hiyo Taasisi.
 
Ila CCM 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌. Walikua tayari kubadili katiba Ili Shujaa atawale milele kwa Maslahi ya awamu iliyopita ila wapo tayari kumbambikia mtu kesi tata kisa anataka mabadiliko ya katiba ile ile tu kisa itapendelea Sana tabaka la watawaliwa!
 
Naomba asikari jera mnaomhudumia sabaya muendelee kumgongesha virungu, na akabidhiwe nyampala limbikiri kabisa.

Makonda akitiwa nguvuni nitajicholesha kwa kosa la uzurulaji ili nile miez 3 nikambikiri bashite matako.
 
Rais, Spika, Waziri mkuu wamejiwekea Kinga ya kutoshitakiwa. Sasa wewe sijui RC, DC iga utaona Moto utakaopelekewa.
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Kila awamu ina namna ya kuongoza Awama iliyopita imefanya Mazuri na kuna Mabaya ni katika kuongoza hicho ndicho ambacho walikuwa wanakiamini. Kila awamu ikishitaki iliyopita tutamaliza sana pesa hela huko Mahakamani na haijakaa vizuri.
 
Alishtakiwa Mramba, Mahalu tena kwa makosa yasiyo dhahiri ya matumizi mabaya ya madaraka, huyo Makonda na Sabaya ni nani? Tena wana makosa ya Ujambazi na Unyang'anyi na dhuluma hadi ku-rape halafu mtu mjinga kama wewe unaleta upunguani unaandika ushenzi humu.

Kwani mbona jiwe alifunga watu wengi kwa kisingizio cha uhujumi uchumi kisa tu kulipiza visasi.

Ninyi sukuma GANG hamna nafasi tena tulia mumeo makonda siku zinahesabika
 
Peleka ujinga kwenu, ukiona huna neno au hisia za kushare you better read others
 
Back
Top Bottom