Miaka 2 mabadiliko mara 4: CCM itikadi na uenezi kuna shida gani?

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
10,129
35,153
Katika kipindi cha miaka miwili tu yaani kati ya mwaka 2021-2023, idara cha itikadi na uenezi CCM imeongozwa na wafuatao:
1. Humphrey PolePole
2. Shaka Hamdu Shaka
3. Sophia Mjema
4. Paul Makonda

Huwezi ukawa na taasisi imara ya kisiasa halafu ukawa na mabadiliko ya mara kwa mara ya uongozi yenye kuweza kuleta tija, mara zote mabadiliko ya mara kwa mara huashiria hali sio njema sana ndani ya idara husika au ubovu wa kitaasisi.

Je, CCM idara ya itikadi na uenezi ilichakufa hivyo CCM inahangaika kuifufua?

Ama hiyo idara iko mahututi hivyo CCM inahangaika isife kabisa?
 
Saa 100 KICHWANI kweupe sana.

HAYA MAMISHUNGI HUWA NAONA WENGI WANAO YAVAA NI ZIROZIRO TU.

Hadi mawaziri ni hivyo hivyo tu......

KUTWa Kufeli...
 
Katika kipindi cha miaka miwili tu yaani kati ya mwaka 2021-2023, idara cha itikadi na uenezi CCM imeongozwa na wafuatao:
1. Humphrey PolePole
2. Shaka Hamdu Shaka
3. Sophia Mjema
4. Paul Makonda

Huwezi ukawa na taasisi imara ya kisiasa halafu ukawa na mabadiliko ya mara kwa mara ya uongozi yenye kuweza kuleta tija, mara zote mabadiliko ya mara kwa mara huashiria hali sio njema sana ndani ya idara husika au ubovu wa kitaasisi.

Je, CCM idara ya itikadi na uenezi ilichakufa hivyo CCM inahangaika kuifufua?

Ama hiyo idara iko mahututi hivyo CCM inahangaika isife kabisa?
Mwenyekiti na mwenezi wote vyeti vya kuunga unga.
Huyu makonda kwenye tukio la kupigwa risasi Lissu alikuwepo front . kuteuliwa kwake maana yake ni vita imerudishwa rasmi kwa taifa.
Tujiandae tena sasa kushuhudia maiti za raia kwenye viroba.
Ila safari hii kutakuwa na malipizo ya visasi na hali ya taifa itakuwa mbaya ever!
Screenshot_20231022-153235~2.jpg
 
Back
Top Bottom