Leo nazungumzia upendo kwa Taifa pamoja Rais wetu.
Nilazima Taifa letu kwanza ndio iwe ibada yetu sisi wa Tanzania na jambo la pili ni Rais wetu wa Jamuhuri ya Muungano na yule wa Zanzibar. Jamani tuwapende mambo mazuri yatatokea napenda kuwakumbusha tupunguze midomo na Tupunguze maneno mengi yenye ukosoaji ambao sio wenye Tija kwa Taifa na hata ustawi wa jamii zetu. Tupambane na wabadhirifu na sio kauli za Rais. Rais ni binadam kama sisi hivyo staha nikitu muhimu sana.
Mwisho niwatakie Jp njema. Mungu ibariki Tanzania na Serikali yake. Amen