Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huyu kiongozi ana weredi na haiba ya kutosha, ni mfano bora kwangu kiongozi inabidi awe mnyenyekevu asiyependa makuu, SAID MTANDA sio mla rushwa kama amewahi kufanya hilo basi alikuwa hajui kuwa...
6 Reactions
28 Replies
4K Views
"Tumeruhusu mikutano ya hadhara tukiwa na nia vyama vya siasa vizungumze, wananchi wasikie sera zao, mipango yao, mada zao ili vyama vikue na virudishe wale waliowapoteza. Viweze kurudisha, vyama...
15 Reactions
121 Replies
10K Views
Kiukweli binafsi naamini ndiyo siku ambayo itakuwa ya kihistoria katika Taifa langu la Tanganyika. Naamini pia mabadiliko makubwa yatatokea. Sasa Kuna inshu lazima kuwaonea hofu wananchi ambao...
8 Reactions
27 Replies
3K Views
Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli? Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la...
34 Reactions
339 Replies
18K Views
Vipengele vya Katiba vinavyompa JEURI Rais wa nchi. Ibara 46(1) inayompa KINGA ya kutoshtakiwa kwa kosa la JINAI, ibara 41(7) inayokataza matokeo ya kura za Uraia yasichunguzwe, hata na mahakama &...
15 Reactions
42 Replies
3K Views
Serikali inapaswa kuwa makini na ajira hizi za upendeleo zinazokuwa zinatolewa kwa makada wake hasa vijana wa CCM au katika nafasi zozote hasa inapotokea fursa yoyote. Huyu Mtendaji wa kata ni...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Hakuna neno unaloweza kutumia ila kusema Heshima ya Tanzania kwenye Majukwaa ya Kimataifa imerejea na Sasa Nchi inatafsiri Kwa vitendo Diplomasia ya Uchumi Kwa njia ya Mikutano ya Kitalii. Kabla...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Mwenge wa Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Septemba 16, 2023 umepokelewa Wilayani Kaliua, ukitokea Wilaya ya Tabora na kuanza kukimbizwa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua kwa ajili ya...
1 Reactions
2 Replies
737 Views
Angalia nyumbani kwenu, nyumbani kwako na kwenye familia yenu kama kuna demokrasia ya kiasi gani? Je, wazazi wamewapa watoto demokrasia ya kusema, kutenda na kuamua kiasi gani? Je, baba...
6 Reactions
45 Replies
2K Views
Haiwezekani kiongozi wa ngazi ya Waziri anawaita Wananchi anaowaongoza hawana akili. Kwamba kuongozwa na CCM Kwa miaka zaidi ya 60 kunatokana na wanaongozwa kukosa akili? Huyu Waziri anamaanisha...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Uteuzi holela umesababisha taasisi nyingi nyeti kupindisha mifumo ya kiutendaji na kuzorotesha dhamira kuu ya ufanisi. Sababu ya kuogopa kumuudhi mteuzi. Sasa imekuwa rasmi ufanisi kwao no...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Viongozi wa Serikali wa mikoa na wilaya ingefaa sana muwe mnapunguza gharama hata kwenye banner na flyer maana sasa inakuwa ni kama taasisi zinashindana yaani barabara zote za mjini au wilayani...
0 Reactions
1 Replies
402 Views
DP world ni kampuni kutoka Dubai,yenye kumilikiwa na waarabu chini ya Dubai Emirates. Kiukweli tangu imeingia nchini imeleta shida na kusababisha mpasuko nchini. Vyama vya siasa vimetofautiana...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi kwenye Mkutano wa Hadhara - Ruangwa Mini leo tarehe 18 Septemba, 2023...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Mama, ulipokuwa unachukua kijiti kutoka kwa mtangulizi wako, Mteule wa Mungu, JPM Watanzania tulikuwa tulishasahau kabisa tatizo la MGAO wa umeme. Kwa nini MGAO huu wa umeme umeanza wakati wa...
9 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwanza tufahamu kuwa yaliyotokea na yanayotokea hayana budi kutokea na hakuna mwenye uwezo wa kuyazuia yasitokee. Pili yote anayoyafanya Kwasasa Slaa hana hiari nayo si kwa maana ya ccm au...
145 Reactions
531 Replies
71K Views
Barua ya Wazi kwa Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Dkt. Doto Mashaka Biteko: Waagizaji wa Mafuta watumie Dhahabu kununua Mafuta Nje ya Nchi Heshima Mheshimiwa Waziri wa Nishati na naibu waziri mkuu...
4 Reactions
27 Replies
4K Views
MBUNGE NGASSA: "WANANCHI TUENDELE KUSHIKAMANA , MAENDELEO HAYANA NJIA YA MKATO" "... Mwaka 2021 baada ya Uchaguzi Mkuu Nilikuja kufanya Mkutano wa kushukuru hapa kwenye Kijiji chenu, Nikawaahidi...
0 Reactions
0 Replies
439 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais samia jasiri muongoza njia,mama wa shoka,chuma cha Reli,Nuru ya wanyonge,Shujaa wa Afrika,Sauti ya wa Afrika,Mtetezi wa wanyonge anawasikiliza watanzania wote...
3 Reactions
75 Replies
3K Views
Back
Top Bottom