Mama, ulipokuwa unachukua kijiti kutoka kwa mtangulizi wako, Mteule wa Mungu, JPM Watanzania tulikuwa tulishasahau kabisa tatizo la MGAO wa umeme. Kwa nini MGAO huu wa umeme umeanza wakati wa utawala wako, na sasa tatizo limekuwa sugu sana?
Mama, nahisi wasaidizi wako hawakuambii ukweli wa hali halisi iliyopo huku mtaani. Hali ni mbaya sana.
Mama, nahisi wasaidizi wako hawakuambii ukweli wa hali halisi iliyopo huku mtaani. Hali ni mbaya sana.