Vipengele vya Katiba vinavyompa kiburi Rais

Jemima Jackson

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
776
924
Vipengele vya Katiba vinavyompa JEURI Rais wa nchi. Ibara 46(1) inayompa KINGA ya kutoshtakiwa kwa kosa la JINAI, ibara 41(7) inayokataza matokeo ya kura za Uraia yasichunguzwe, hata na mahakama & ibara 74(12) inayokataza Tume ya Uchaguzi (NEC) kufikishwa mahakamani.

Kinachofanyika ni kwamba, Rais anatoa MAAGIZO kwa NEC na wasimamizi wa Uchaguzi WAMPENDELEE yeye na chama chake, NEC itatekeleza AGIZO. Ukitaka kumuadhibu Rais huwezi, ibara 46(1) inamkinga, humgusi kabisa! Ukitaka kuiadhibu NEC, huwezi, ibara 74(12) inaipa ULINZI, NEC haigusiki. Ukitaka kwenda mahakamani KUPINGA matokeo kwamba Rais ameiba uchaguzi, pia huwezi, ib 41(7) INAKATAZA – yaani matokeo yakoshatangazwa ngoma imeisha, hata kama una USHAHIDI umeshinda wewe.

Yaani, NEC inaweza panda juu ya mlima na kumtanga mtu ameshinda Urais, basi tunasubiri tena miaka 5 mingine.

Halafu kuna WAHUNI wanasema Katiba haina shida yoyote ile!
 
Mkuu, hata wewe ungekuwa kiongozi usingependa kuona kuna katiba itakayokubana. Au nasema uongo ndugu zangu?

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
Hapa kwa kweli raia tumebakwa!
 
Kwa wenye akili wanaelewa kinachoendelea ndio maan wanaipenda katiba iliyopo!!
 
Mkuu, hata wewe ungekuwa kiongozi usingependa kuona kuna katiba itakayokubana. Au nasema uongo ndugu zangu?

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
Viongozi wa vyama pinzani vya siasa, na watanzania wote kwa jumla tutakuwa wajinga Kama tutaendelea kukubali kuingia kwenye uchaguzi bila Mambo hayo kurekebishwa, Leo hata kungekua na ushindi wa kura kwa chama pinzani bado hawawezi kutangazwa washindi
 
Vipengele vya Katiba vinavyompa JEURI Rais wa nchi. Ibara 46(1) inayompa KINGA ya kutoshtakiwa kwa kosa la JINAI, ibara 41(7) inayokataza matokeo ya kura za Uraia yasichunguzwe, hata na mahakama & ibara 74(12) inayokataza Tume ya Uchaguzi (NEC) kufikishwa mahakamani.

Kinachofanyika ni kwamba, Rais anatoa MAAGIZO kwa NEC na wasimamizi wa Uchaguzi WAMPENDELEE yeye na chama chake, NEC itatekeleza AGIZO. Ukitaka kumuadhibu Rais huwezi, ibara 46(1) inamkinga, humgusi kabisa! Ukitaka kuiadhibu NEC, huwezi, ibara 74(12) inaipa ULINZI, NEC haigusiki. Ukitaka kwenda mahakamani KUPINGA matokeo kwamba Rais ameiba uchaguzi, pia huwezi, ib 41(7) INAKATAZA – yaani matokeo yakoshatangazwa ngoma imeisha, hata kama una USHAHIDI umeshinda wewe.

Yaani, NEC inaweza panda juu ya mlima na kumtanga mtu ameshinda Urais, basi tunasubiri tena miaka 5 mingine.

Halafu kuna WAHUNI wanasema Katiba haina shida yoyote ile!
Kuna mama mmoja nilimsikia anasema watu wakiulizwa vifungu gani vya Katiba vibadilishwe wanasema hawajui!!? Sasa wewe umejuaje au utakuwa Mwalimu wetu wakati tunasoma miaka 3?
 
Katiba haina shida.....

Hivyo ilivyo ndio usalama wetu

Kumshtaki Rais ni hatari sana....

Ona ilivyo Afrika ya Kusini.....ukiacha Mandela hakuna mwingine aliyepona.....
 
KUTENGANISHA KOFIA

Burundi ni mfano.....

Ugomvi wa MWENYEKITI wa CNDDFDD na katibu wake marehemu Rais Nkurunzinza....

Katiba yetu ni bora sana....

Walioifinyanga hawakukosea.....walikuwa mbele ya wakati.....

#Siempre El Commandante JKN
 
Katiba haina shida.....

Hivyo ilivyo ndio usalama wetu

Kumshtaki Rais ni hatari sana....

Ona ilivyo Afrika ya Kusini.....ukiacha Mandela hakuna mwingine aliyepona.....
Kwa hiyo wewe ni Mzee Mwinyi, Kikwete au samia?
Maana hao ndo walitakiwa waseme hayo unayoyasema.
 
Bila Vipengele hivi vya Katiba ya 1977 kurekebishwa, BORA UCHAGUZI USIFANYIKE, CCM waendelee Kutawala kama wanavyotaka, HADI HAPO KATIBA MPYA ITAKAPO PATIKANA.
Jumuiya ya Kimataifa IJUE HIVYO, na
Wananchi WAJUE NINI CHA KUFANYA ili Mabadiliko ya Kweli yapatikane.
Jumuiya ya kimataifa inakuhusu nn wewe?!!!

Hiyo ni "illusion" tu...

Maamuzi ya ndani ya nchi hayaamuliwi na watu Kutoka nje....

Suseni changuzi sisi TUTASHIRIKI.....baaambaaash
 
Viongozi wa vyama pinzani vya siasa, na watanzania wote kwa jumla tutakuwa wajinga Kama tutaendelea kukubali kuingia kwenye uchaguzi bila Mambo hayo kurekebishwa, Leo hata kungekua na ushindi wa kura kwa chama pinzani bado hawawezi kutangazwa washindi
Suseni....sisi TUTASHIRIKI chaguzi.....

#SiempreJMT
 
Vipengele vya Katiba vinavyompa JEURI Rais wa nchi. Ibara 46(1) inayompa KINGA ya kutoshtakiwa kwa kosa la JINAI, ibara 41(7) inayokataza matokeo ya kura za Uraia yasichunguzwe, hata na mahakama & ibara 74(12) inayokataza Tume ya Uchaguzi (NEC) kufikishwa mahakamani.

Kinachofanyika ni kwamba, Rais anatoa MAAGIZO kwa NEC na wasimamizi wa Uchaguzi WAMPENDELEE yeye na chama chake, NEC itatekeleza AGIZO. Ukitaka kumuadhibu Rais huwezi, ibara 46(1) inamkinga, humgusi kabisa! Ukitaka kuiadhibu NEC, huwezi, ibara 74(12) inaipa ULINZI, NEC haigusiki. Ukitaka kwenda mahakamani KUPINGA matokeo kwamba Rais ameiba uchaguzi, pia huwezi, ib 41(7) INAKATAZA – yaani matokeo yakoshatangazwa ngoma imeisha, hata kama una USHAHIDI umeshinda wewe.

Yaani, NEC inaweza panda juu ya mlima na kumtanga mtu ameshinda Urais, basi tunasubiri tena miaka 5 mingine.

Halafu kuna WAHUNI wanasema Katiba haina shida yoyote ile!
Wanaosema katiba haina shida ni WAPUMBAVU

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Vipengele vya Katiba vinavyompa JEURI Rais wa nchi. Ibara 46(1) inayompa KINGA ya kutoshtakiwa kwa kosa la JINAI, ibara 41(7) inayokataza matokeo ya kura za Uraia yasichunguzwe, hata na mahakama & ibara 74(12) inayokataza Tume ya Uchaguzi (NEC) kufikishwa mahakamani.

Kinachofanyika ni kwamba, Rais anatoa MAAGIZO kwa NEC na wasimamizi wa Uchaguzi WAMPENDELEE yeye na chama chake, NEC itatekeleza AGIZO. Ukitaka kumuadhibu Rais huwezi, ibara 46(1) inamkinga, humgusi kabisa! Ukitaka kuiadhibu NEC, huwezi, ibara 74(12) inaipa ULINZI, NEC haigusiki. Ukitaka kwenda mahakamani KUPINGA matokeo kwamba Rais ameiba uchaguzi, pia huwezi, ib 41(7) INAKATAZA – yaani matokeo yakoshatangazwa ngoma imeisha, hata kama una USHAHIDI umeshinda wewe.

Yaani, NEC inaweza panda juu ya mlima na kumtanga mtu ameshinda Urais, basi tunasubiri tena miaka 5 mingine.

Halafu kuna WAHUNI wanasema Katiba haina shida yoyote ile!
Sheria zinaenda kubadilishwa Ili kupinga matokeo Mahakamani ikiwemo hivyo vipengele
 
Laiti wangejua!
Bora waibadilishe wangali bado wako madarakani, maana wakiondolewa kwa vyovyote, wakaja wazalendo mithili ya kina Wakili Msomi Mwabukusi, basi tutaletewa Katiba ambayo ndani yake mafisadi wote bila kujali vyeo vyao, watatakiwa kunyongwa au kifungo cha maisha kama siyo milele kabisa.
 
Back
Top Bottom