Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,109
Reaction score
859,337
Kwanza tufahamu kuwa yaliyotokea na yanayotokea hayana budi kutokea na hakuna mwenye uwezo wa kuyazuia yasitokee.

Pili yote anayoyafanya Kwasasa Slaa hana hiari nayo si kwa maana ya ccm au wale wanaomfadhili kwa sasa bali ni laana ya kiapo na nadhiri zake...hawa wanaomfadhili ni kiambishi tu cha nguvu iliyo nje ya uwezo wa kibinadamu .

Slaa anateswa na haiba na kiapo, nadhiri na ahadi ya kutumikia kiapo.. Nimekutana na viapo Nimeishi maisha ya viapo lakini SIKUAPA. viapo ni vibaya na viapo havifi na kuviuwa kunahitaji mlolongo mrefu na wenye mambo mengi.

Slaa Aliitwa kwa wito kuonyesha na kutumia vipawa vyake kwa njia ya upadri akakubali na kupokea mpaka daraja la upadirisho mbele ya mimbari takatifu...aliingia mkataba na Mungu na kukamilisha wito.

Bahati mbaya sana akakengeuka nakuanguka moja kwa moja na tangu hapo viapo nadhiri na laana vikaanza kumuandama.

Siasa sio dini siasa ni propaganda siasa ni unafiki siasa haina kweli na Siasa haiongozwi na roho mtakatifu.

Kwa laana ile ya kiapo na nadhiri akajikuta anaangukia kwenye Ulimwengu wa mapepo na roho za kutangatanga.. Na tangu hapo ameendelea kutangatanga kuanzia kwenye mahusiano mpaka kwenye maisha.

Hakuna ambacho ameweza kufanya kikakamilika, amekosa ndoa takatifu amekosa maisha ya kudumu Kwenye siasa amekosa Kuacha Heshima na historia ya kutukuka kwenye lolote alilolifanya.

Kila alipoanza alianza vizuri kwa mafanikio na kupendwa sana lakini mwishoni kila kitu kikaenda kombo na kugeuka ubatili.... Kiapo kinamtesa.. Na haya ndio atakuwa maisha yake mpaka kaburini .

Viapo ni vibaya hakikisha unatengua kama hutaki kuendelea nacho viapo vina roho na roho haifi, mengi mabaya yatamtokea Dr na hii ni kanuni ya kidunia katika Ulimwengu wa roho.
 
mshana jr

I cant believe CHADEMA mnaimba nyimbo zile zile tulizozizowea kuzisikia kutoka kwa wanaCCM dhidi ya Dr Slaa,kisa?kapishana na Mbowe.Ila sishangai,yalianza kwa Dr Kaborou,akaja Wangwe,Zitto akafuatia na sasa ni zamu ya Dr Slaa,nani atafuatia?Oh yeah ni yule atakayepishan na --------- Mbowe.
 
Last edited by a moderator:

None sense. Chadema kweli makapi. Na baada ya uchaguzi kitakufa kabsaaaaa. Amini usiamini haya ndo yatakayowapata. Hamtakuwa na agenda tena. Ushahidi ni kauli za mgombea urais. If not now then never.

Mngejibu kwa hoja za mtazamo wa kiroho... Ila kwakuwa hamjui mjibu nini ndio maana mnaishia kuleta mipasho kashfa na matusi na hizi ndio dalili za mshindwa
Vyovyote vile mtaavyosema havitakaa vibadili ukweli wa nilichoandika
 
Lowasa on fire anapiga jalamba la kupanga magogoni. Dr slaa bye urais
 
I cant believe CHADEMA mnaimba nyimbo zile zile tulizozizowea kuzisikia kutoka kwa wanaCCM dhidi ya Dr Slaa,kisa?kapishana na Mbowe.Ila sishangai,yalianza kwa Dr Kaborou,akaja Wangwe,Zitto akafuatia na sasa ni zamu ya Dr Slaa,nani atafuatia?Oh yeah ni yule atakayepishan na --------- Mbowe.

Sio Mbowe kwa wenye kufikiri kwa makini. Slaa ni mkiristo mzuri kuliko wengi wakristo maana alifikia ngazi ya Upadri. Hivyo anaijua vizuri Biblia. Kutokana na Biblia kuna yafuatayo:
1. Upatapo hasira jua linachomoza usikae na hasira hiyo hadi jua likazama.
2. Dhambi hata iwe nyekundu kama damu ukitubu inakuwa nyeupe kama karatasi.
3. Sauli alikuwa mwiba mkali kwa wafuasi wa Yesu, aliua kupindukia baadae akageuka na kuwa mtume.
4. Mussa alikaa kwa faraho akiwatesa Waisrael lakini ndiye aliongoza msafara wao kuwapeleka kuelekea nchi ya ahadi japo hakuwafikisha.
5. Yapo mengi.
 
sasa nimeamini ccm ni kiboko. yaani chadema chini ya mwamvuli wa ukawa wametekenywa wakatekenyeka. hivi jaman tumefumba macho kiasi gani tusione mchezo wanaoucheza ccm na lowasa! lowasa anajua anaumwa na kaja makusudi ili kupunguza nguvu ya upinzani. jamani hii kiboko. sasa naamini lowasa kiboko.
 
Hicho ndicho mama yangu alikisema jana,akatoa mifano ya mapadre wengine walioasi kiapo na jinsi walivyoishia. Mimi namhurumia kuangukia ktk mikono ya yule mama, usiku nimeota kwamba she is an agent of the devil. Mama aliudhika sana kitendo cha Slaa kuwapakazia maaskofu.
 
Kwani kiapo cha upadre huwa kinakuaje?

Huwa kinaandamana na maapizo kama mtu aapaye akikiuka?

Mtu aliyeacha upadre na hataki kuendelea nao hakuna namna ya mtu huyo kutubishwa?

Slaa Sio mvumilivu. Atavumilia akiwa na self interest. Kama alishindwa huko hatushangai anayofanya kwa sasa.
 
sasa nimeamini ccm ni kiboko. yaani chadema chini ya mwamvuli wa ukawa wametekenywa wakatekenyeka. hivi jaman tumefumba macho kiasi gani tusione mchezo wanaoucheza ccm na lowasa! lowasa anajua anaumwa na kaja makusudi ili kupunguza nguvu ya upinzani. jamani hii kiboko. sasa naamini lowasa kiboko.

Kweli wewe bado upo kwenye giza la ukoloni wa CCM,Lowasa anaumwa nini?embu tuwekee hapa vipimo vyake.
 
Kwani kiapo cha upadre huwa kinakuaje?

Huwa kinaandamana na maapizo kama mtu aapaye akikiuka?

Mtu aliyeacha upadre na hataki kuendelea nao hakuna namna ya mtu huyo kutubishwa?

Sijawahi kuwa padre ingawa nina kaka wawili mapadre. Sidhani kama kiapo chochote cha Mungu unasema nisipotii nivunjike mkono or something like that. Lkn nadhiri yoyote ukiiweka usipoitimiza kuna consequences zake. Sasa upadre ni nadhiri ya maisha na analala kifudifudi altareni kuapa kimoyomoyo na Mungu wake. Anasema nini Mungu ndio anajua. Halafu haupati upadre kirahisi rahisi ili kukupima nia na uwezo wa kushinda magumu. Ndio maana seminari waweza kuadhibiwa kwa kosa usilolifanya hiyo yote ni kuangalia ustahimilivu wako na nia yako ya ndani. Anyway nitajaribu kumuuliza bro wangu mmoja kama atakubali kunipa details
 
Kweli wewe bado upo kwenye giza la ukoloni wa CCM,Lowasa anaumwa nini?embu tuwekee hapa vipimo vyake.

uwezo wangu katika kupambanua jambo haulingani na uwezo wako unaoendeshwa na hisia za kisiasa. hivyo sihitaji kukujibu katika hilo. kama unajua kinachomsababisha kusahau kila wakati basi kaulize parkinson disease huathiri nini na kwa nini nimesema lowasa anaumwa. endelea na imani yako ya kuwa upo kwenye njia sahihi.
 
sasa nimeamini ccm ni kiboko. yaani chadema chini ya mwamvuli wa ukawa wametekenywa wakatekenyeka. hivi jaman tumefumba macho kiasi gani tusione mchezo wanaoucheza ccm na lowasa! lowasa anajua anaumwa na kaja makusudi ili kupunguza nguvu ya upinzani. jamani hii kiboko. sasa naamini lowasa kiboko.

Kukaa kimya ni njia ya kuonesha ustaarabu pia!
 
Sijawahi kuwa padre ingawa nina kaka wawili mapadre. Sidhani kama kiapo chochote cha Mungu unasema nisipotii nivunjike mkono or something like that. Lkn nadhiri yoyote ukiiweka usipoitimiza kuna consequences zake. Sasa upadre ni nadhiri ya maisha na analala kifudifudi altareni kuapa kimoyomoyo na Mungu wake. Anasema nini Mungu ndio anajua. Halafu haupati upadre kirahisi rahisi ili kukupima nia na uwezo wa kushinda magumu. Ndio maana seminari waweza kuadhibiwa kwa kosa usilolifanya hiyo yote ni kuangalia ustahimilivu wako na nia yako ya ndani. Anyway nitajaribu kumuuliza bro wangu mmoja kama atakubali kunipa details

Zipo nadhiri za upadirisho na hufanyika kwenye ibada maalum na nadhiri hizi huambatana na viapo vya kumkataa shetani na hila zake zote na kazi zake zote.. Nadhiri ni kiapo na kiapo ni maagano kati yako wewe na Mungu, shetani, mwanadamu nk, maagano ni maapizo yanayokazia nadhiri zako
 
Sio Mbowe kwa wenye kufikiri kwa makini. Slaa ni mkiristo mzuri kuliko wengi wakristo maana alifikia ngazi ya Upadri. Hivyo anaijua vizuri Biblia. Kutokana na Biblia kuna yafuatayo:
1. Upatapo hasira jua linachomoza usikae na hasira hiyo hadi jua likazama.
2. Dhambi hata iwe nyekundu kama damu ukitubu inakuwa nyeupe kama karatasi.
3. Sauli alikuwa mwiba mkali kwa wafuasi wa Yesu, aliua kupindukia baadae akageuka na kuwa mtume.
4. Mussa alikaa kwa faraho akiwatesa Waisrael lakini ndiye aliongoza msafara wao kuwapeleka kuelekea nchi ya ahadi japo hakuwafikisha.
5. Yapo mengi.

Amina! Natamani kuona michango yenye afya kama hii. Njooni wana wa kiroho tuwekane sawa tusiligawe taifa kwa tamaa hasi na badala ya chanya.
 
Back
Top Bottom