Mungu huwa anatufunulia wale ambao tusingeweza kuwatambua kwa macho na fahamu zetu,Mungu uwa analeta dhoruba kwenye kujiokoa watu wanavua ngozi zao za kondoo na kuwa mbwa mwitu.
Huwezi amini...
Zito Kabwe, Kiongozi wa chama cha ACT amekuwa kimya kwa masuala makubwa yanayoikumba Tanzania, Tanganyika in particular. Kwa tunaomfahamu Zitto Kabwe na umahili wake wa kuchambua mambo ya kisiasa...
Unapokea dege la.bil 800+ alafu unachukua ujumbe wa watu 100 na zaidi kwenda nao Qatar na India kwa sababu gani za msingi?
Kuangalia namna green house zinazalisha mbogamboga ? Huko India kuna...
Yafuatayo ni muhimu kuzingatia na yanahitaji majibu ya kimkakati;
1. Tanzania imejipangaje kuondoa Watanzania walioko kwenye nchi hizo za vita?
2. Kwa kisasi cha malipizi yatayovunja rekodi kama...
Kuna viongozi wengi muhimu wameachwa kwenye hiyo ziara ya Rais ambao wangeleta tija kwenye Taifa letu, lakini amepelekwa mpiga porojo hata kwenye movie, basi angepelekwa Rais wa filamu labda ana...
Asalaam aleykum,
Ama baada ya salamu hizo, rejea kichwa cha habari, chahusika.
Uhuru ni kitu muhimu ambacho kila mmoja anakitamani. Lakini kwa bahati mbaya sana katika historia ya binadamu...
Mbunge wa Viti Maalum (Anayewakilisha Wafanyakazi Nchini) Anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate amewaasa wazazi na walezi kuwa makini na malezi ya watoto hasa watoto wa kike...
The embassy of the state of Palestine in Tanzania Statement
The declaration of war by Israel, the occupying Power, on a civilian population it has been illegally and forcibly occupying and...
Huwezi amini asililia 70 ya watu walio ambatana na Raisi ni wasanii wa Bongo Movies na comedian kama Steve Nyerere.
Yaani sio hata kuwapeleka wakulima wakajifunze Kilimo au Wafanyabiashara hapana...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kupokea na Kupoza Umeme cha Chalinze kujionea kinachoendelea kwenye mchakato huo.
Baada ya...
Salamkhum
Mh Rais nawasalimu kwa jina la Mwenyezi Mungu mwingi wa kila kheri katika hii dunia, dhumun kubwa la kuandika barua hii ni kuomba wakandarasi wadogo wa umeme kupata fursa ya kupata kazi...
Serikali iseme uwazi. Wanafunzi wanalazimishwa kutoa fedha ya walimu wanaojitolea na wanaoshindwa kulipa wanachapwa fimbo.
Mwanafunzi mmoja amechapwa mgongoni akaumia pingili ya uti wa mgongo...
Ziara ya Rais Samia Nchini India imekuwa ni ziara yenye mafanikio makubwa kwake binafsi in personal Kwa Kutunukiwa tuzo lakini Kwa Taifa kutokana na kusainiwa Kwa Hati 14 katika Nyanja mbalimbali...
Uongozi wa mwendokasi umekiri kwamba wameshindwa kuendesha miradi husika na hivyo wanasubiri hadi serikali inunue mfumo wa Artificial Intelligence wakuongoza magari. Hayo yamesemwa leo katika...
Nchi yetu bado ni miongoni mwa nchi 50 maskini sana Duniani, yenyewe ikishikila nafasi ya 27 kwa umaskini, huku Burundi ikishika nafasi ya kwanza katika Dunia, na DRC nafasi 5 Duniani. Kwa kiasi...
Huku viongozi wa Nchi wakiendelea kusafiri na Mamia ya Wapambe kwa gharama za kutisha, huko Kwao Nachingwea hali ndio kama mnavyoiona.
Tunashauri kwamba badala ya viongozi kusafiri na Umati wa...
01Jul 2021
WAANDISHI WETU
Dar es Salaam
Habari
Nipashe
Mtihani samaki wa Magufuli
WAKATI upande wa utetezi ukisubiri kutekelezwa kwa hukumu ya serikali kulipa fidia ya mabilioni ya shilingi...
Hakika ni jambo la kushangaza sana Kwa Serikaki ya CCM kuogopa kuanzisha Mchakato wa Katiba Mpya Kwa madai eti sio kipau mbele wakati Mh.Kikwete alitumia kodi za wanyonge kupata Katiba Mpya...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Kamati ya Utendaji ya CHADEMA kwenye ile kanda kabambe ya Nyasa imemaliza vikao vyake kwa ajili ya Maandalizi ya Oparesheni 255.
Oparesheni hiyo Kabambe ina...
Hapa Korogwe Mkoani Tanga tuna changamoto ambayo naomba leo tuiweke wazi kwa sababu imetufika hapa (shingoni).
Naomba kuripoti kero juu ya misafara ya viongozi wanaopita hapa Korogwe Mjini yaani...