Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), #KristalinaGeorgieva ameunga mkono wito wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) unaozitaka nchi za Afrika kuacha utaratibu wa...
Nchi za Afrika ambazo Bajeti Zao zinategemea Misaada ya Wazungu zitapata shida sana kwani Mifumo mbalimbali ya Dunia inabadilika kufuatia Vita kuu mbili zinazoendelea
Ni Heri Viongozi Wetu...
Kutoka CENTRAL POLICE DSM Naambiwa Askofu Josephat Gwajima ameachiwa kutoka Mahabusu muda huu..
Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima ameachiwa na Polisi leo jioni baada ya...
Jioni hii imenifikia taarifa kutoka Lindi kuwa Hassan Mohamed Said Kinyozi mmoja katika vijana waliowasha moto wa kupigania uhuru wa Tanganyika Southern Province, yaani Jimbo la Kusini amefariki...
MBUNGE MHE. DKT. ALFRED KIMEA AAHIDI KUWAWEZESHA VIJANA WAJASILIMALI KOROGWE MJINI
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini Mhe. Dkt. Alfred Kimea, katika ziara yake aliyofanya jimboni amekutana na...
Kwa hali inavyoendelea huko Mashariki ya Kati hata Ukraine, kuna kitu kinakosekana. Nadhani wenzetu kuanzia Wazungu, Waarabu na Wahindi wana kasoro moja. Hawana utu bali ubaguzi, ubinafsi...
Salaam wana jamii forum,
Leo nimeona niikumbushe serikali tukufu ya jamhuri ya muungano wa tanzania kuhusu kuweka bendera kwenye ofisi za serikali ngazi ya mtaa,kitongoji,Kijiji Hadi kata.maana...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni jambo la kufikirisha sana, ni jambo la kufedhehesha na kutia aibu sana ukimfikiria Dr. Slaa na historia yake ndani ya kanisa, siasa, na serikalini. Dr. Slaa amewahi...
Heshima kwenu wakuu,
Taarifa za awali zinathibitisha kuwa Mdude Nyagali amepatikana akiwa hai, sema kapigwa sana. Hawezi kutembea wala kujipandisha kwenye bajaji. Utaratibu wa kupelekwa...
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Reli ya SGR eneo la Makutupora - Tabora na kusema “Kazi inaendelea vizuri ingawa kuna changamoto kadhaa, kubwa ikiwa ni...
Wanabodi,
Haki ni moja ya tunu kubwa na muhimu kwa taifa lolote, nchi ukiwa na haki, inabarikiwa, nchi ikikosa haki inalaaniwa.
Vivyo hivyo kwa Watawala, tumeshuhudia watawala wakitawala kwa...
Hivi hata nchi nyingine zinafanya hivi hivi kama Tanzania inavyofanya?
Stendi za Mwendokasi zilizojengwa Juzi tu eti leo zinakarabatiwa! Halafu wanaotangaza kuzikarabati ndio wale wale...
Masoro Said, Boss mpya TISS, ni nani haswa?
Mwenye CV yake tunaiomba!
======
Update:
Hussein Masoro ndani ya TISS:
Masoro alikuwa U1 (Anapokea taarifa za wakurugenzi wote na kuzichakata...
Katika kuadhimisha ya Siku ya Mtoto wa Kike Duniani ambayo inaadhimishwa Oktoba 11 kila Mwaka, Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kusimamia kupunguzwa kwa muda wa kuendesha mashauri ya...
Leo mitandaoni Kuna gumzo kubwa litokanalo na walaka wa katibu mwenezi wa CCM, Sophia Mjema ambaye siyo wa kwanza katika Taifa hili kuwatamkia Watanzania masuala yahusuyo uongezeaji wa muda kwa...
Historia inaonesha Tanzania na India zimekuwa nchi zenye mahusiano mazuri hususani katika kuendeleza miradi ya kimaendeleo. India ni moja ya Mataifa yanayokuwa kwa haraka sana kimaendeleo katika...
Anzia dakika ya 9:25 mpaka 9:40.
https://www.youtube.com/live/PEzgcxu_A50?si=AFWVhAKOGy8b_VG7
Akiwa kwenye ikulu ya Rashtrapati Bhavan huko New Delhi, India, baada ya kukagua gwaride la heshima...
Huko ulimwenguni wameshatabiri kuwa bei ya mafuta itazidi kupaa hadi 2045, kama hamuelewi maana ya mwendo kasi mtaielewa, ile ya kauli ya piga tajame TZ haifai kutumika tena.
Serikali kama...
Mwandishi anayejitambulisha kwa jina la Joseph Magata, amejenga hoja kadhaa kuhusu sakati ya Padre Ildefince Katundu wa Jimbo la Nkenge mkoani Kagera. Magata amefanya hivyo kupitia gazeti la Raia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.