Aliyeteuliwa na Rais awali alienda na kuiba ila aliyemteua akamwamishia Tabora. Je, Rais hafanyi vetting kweny uhamisho?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Huyu mkurugenzi alie tumbuliwa leo na Waziri wa Tamisemi,

Aliteuliwa na Rais akapelekwa kigoma akafanya kazi baadae akaamishiwa Tabora nina swali hapo

Mh Rais akiwa anawaamisha wateule wake huwa hafanyi vetting mara ya pili kujiridhisha yakuwa aliyemteua mara ya kwanza ndo yule yule au kaisha iba au anaishije na wenzake?

Kama vetting inafanyika basi kuna changamoto kubwa kwa wanao fanya vetting wana mdanganya Mh Rais.

Je hapo alipo letwa kuko salama kiasi gani?

Nimemkumbuka rafiki yangu alikuwa wilaya moja sasa yupo wilaya nyingine anagonga mvinyo na videnti yeye haibi ila anasema kwa kuwa hana mshahara mkubwa yeye hatoonga kamwe atakul mvinyo na vident kwa wingi ila nae ni mteule.
 
...hata hivyo hakuchaguliwa, we MUST excuse her, kosa litakuwa kama tutamkumbatia tena keshokutwa
 
Back
Top Bottom