Ukiona Wabunge wa CCM wanasisitiza Mafisadi wanyongwe hadharani kama China Ujue hali ni mbaya sana na Haivumiliki!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,123
Sijaelewa kama hizi ni mbwembwe tu kwa sababu Uchaguzi mkuu umekaribia au ni kweli Wabunge hawa wanamaanisha kweli Mafisadi wanyongwe

Ila kwa kuwaangalia tu usoni ni Wazi kuna shida mahali ama CCM au Serikalini

Ila sidhani kama sheria inaruhusu Watenda Jinai kunyongwa

Ikumbukwe ukaguzi umefanyika kwa samples siyo Kwamba Serikali nzima imekaguliwa maana yake Wizi ni mkubwa kuliko tunavyofikiria

Nawatakia Sabato njema 😀
 
CCM Kama huwajui utafikiri kweli ni watu Walio serious kupambana na ufisadi,

Wanapoona masirahi yao yameguswa au yapo hatarini basi wote huungana na kuwa kitu kimoja.

Uchaguzi mkuu umekaribia. Na CGA ameonyesha wizi wa kutisha, lawama zinaelekezwa kwao, na ikumbukwe nchi nzima halmashauri zone zipo Chini yao. Na huko ndiko ufisad umefanyika., je huo mzigo watawatupia upinzani?? Hawana ujanja huo tena.

Kwa hiyo wameungana baada ya kuona chama kinaenda kuchafuka zaidi.
 
Sijaelewa kama hizi ni mbwembwe tu kwa sababu Uchaguzi mkuu umekaribia au ni kweli Wabunge hawa wanamaanisha kweli Mafisadi wanyongwe

Ila kwa kuwaangalia tu usoni ni Wazi kuna shida mahali ama CCM au Serikalini

Ila sidhani kama sheria inaruhusu Watenda Jinai kunyongwa

Ikumbukwe ukaguzi umefanyika kwa samples siyo Kwamba Serikali nzima imekaguliwa maana yake Wizi ni mkubwa kuliko tunavyofikiria

Nawatakia Sabato njema 😀
Huko ndani ya CCM usidhani hakuna watu wanaoumizwa sana na hali hii mbovu iliyopo nchini sasa hivi.
Kinacho kosekana ni watu wa kuongoza kundi hilo lililopo huko ndani ya chama chenyewe.
Wote wanajikuta ni mateka wa hao mafisadi wanaokiendesha chama sasa hivi.

Inahitajika pawepo na ujasiri wa kukabiriana na genge lililokiteka chama hicho tokea huko huko ndani ya chama.
 
Huyu fisadi mkuu anaefundisha viongozi wenzake jinsi ya kuiba na kutafuna hela za uma kwa step atanyongwa lini?
View attachment 2802815
Huyu anatakiwa kuwa wa kwanza kabisa kunyongwa; hapana, risasi ingefaa zaidi ya kunyonga; kwa kulisaliti taifa analoliongoza na kutaka kulweka utumwani tena.

Makosa ya huyu ni makubwa zaidi hata ya hao wengine wanaokwapua visenti hapa na pale.
Huyu anauza nchi nzima.
 
Kama wahalifu hao wa ubadilfu wa Mali za imma wanajulikana na mahakama ya mafisadi ipo kwanini waendele muhudumu ofisi wafunguliwe mashitaka ujumu pesa wanazoiba sio zao peke yao ni wa TZ mil 60 hii aliyeiba na pia Yuko kwenye hisabu tuendee kuchakeka nae?

Mafsa wengi wameweka Sana mbele maslahi binafsi kuliko taifa
 
Cha ajabu wakipitisha mafisadi kunyongwa wanaanza kukamatwa kina Mbowe kwa "kuiba" ruzuku huku mafisadi yanayoiba mabilion serikalini yakiachwa. Rejea plea bargain za jpm
 
Sijaelewa kama hizi ni mbwembwe tu kwa sababu Uchaguzi mkuu umekaribia au ni kweli Wabunge hawa wanamaanisha kweli Mafisadi wanyongwe

Ila kwa kuwaangalia tu usoni ni Wazi kuna shida mahali ama CCM au Serikalini

Ila sidhani kama sheria inaruhusu Watenda Jinai kunyongwa

Ikumbukwe ukaguzi umefanyika kwa samples siyo Kwamba Serikali nzima imekaguliwa maana yake Wizi ni mkubwa kuliko tunavyofikiria

Nawatakia Sabato njema 😀
Bashite kurejeshwa ni ishara mojawapo...!
Chukua Chako Mapema!!
Hali ni mbaya sana!!
 
Sijaelewa kama hizi ni mbwembwe tu kwa sababu Uchaguzi mkuu umekaribia au ni kweli Wabunge hawa wanamaanisha kweli Mafisadi wanyongwe

Ila kwa kuwaangalia tu usoni ni Wazi kuna shida mahali ama CCM au Serikalini

Ila sidhani kama sheria inaruhusu Watenda Jinai kunyongwa

Ikumbukwe ukaguzi umefanyika kwa samples siyo Kwamba Serikali nzima imekaguliwa maana yake Wizi ni mkubwa kuliko tunavyofikiria

Nawatakia Sabato njema 😀
Wanaoneana wivu tu sio kwamba wana uzalendo huo
 
Kama wahalifu hao wa ubadilfu wa Mali za imma wanajulikana na mahakama ya mafisadi ipo kwanini waendele muhudumu ofisi wafunguliwe mashitaka ujumu pesa wanazoiba sio zao peke yao ni wa TZ mil 60 hii aliyeiba na pia Yuko kwenye hisabu tuendee kuchakeka nae?

Mafsa wengi wameweka Sana mbele maslahi binafsi kuliko taifa
Mahakama ya mafisadi yaliwekwa kwa roho mbaya tu ya yule Bwana alifundishwa ukatiri za mtu mrefu ili azitumie dhido ya wabaya anaodhani wanamzidi kete
 
Huko ndani ya CCM usidhani hakuna watu wanaoumizwa sana na hali hii mbovu iliyopo nchini sasa hivi.
Kinacho kosekana ni watu wa kuongoza kundi hilo lililopo huko ndani ya chama chenyewe.
Wote wanajikuta ni mateka wa hao mafisadi wanaokiendesha chama sasa hivi.

Inahitajika pawepo na ujasiri wa kukabiriana na genge lililokiteka chama hicho tokea huko huko ndani ya chama.
Ndani ya ccm hakuna. Hapo wamezidiana wizi tu....wivu umekuwa juu
 
Hizo ni kampeni tu wanafiki wakubwa hao, kwa ujinga wetu tunawashangilia, hawana lolote kama ni hali mbaya mbona wanapitisha mafao ya viongozi wenza ambao ni uhuni tu wa kuiba mali ya umma
Ndio ujue walivyo wanafiki
 
Back
Top Bottom