benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,504
- 3,034
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewashukuru marafiki na wanafunzi aliosoma nao katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine Mwanza (SAUT) na kuwataka kufanya kazi kwa bidii ili kumsaidia Rais Samia Suluhu Hassan kutimiza azma ya kujenga uchumi wa nchi na Watanzania.
Ujumbe wa Marafiki waliosoma na kiongozi huyo ukiongozwa na Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe umetoa pongezi kwa Dk. Biteko kwa kuteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati.