Ni kwa namna gani Raia anaweza kutumia Ndege ya Kijeshi kwa Shughuli binafsi ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,723
218,285
Ikiwa kama Jeshi la Wananchi wa Tanzania linakataza kabisa Raia wa Nchi hiyo kuvaa nguo zinazofanana na sare zake , huku likichukua hatua kadhaa za kuwadhalilisha waliozivaa kwa kuwavua nguo hizo hadharani na kuwaacha uchi wa mnyama , Inawezekanaje Jeshi hilo hilo likamwazima Ndege halisi ya kijeshi ( siyo inayofana ) Raia ?

Sijui kama naeleweka , Ni hivi , inakuwaje Raia aliyekatazwa kuvaa fulana ya Jeshi la Marekani aliyoinunua kwenye mitumba , kama zile walizozivaa Wenge Musica kwenye Album ya Pentagon , lakini aruhusiwe kutumia vifaa halisi vya kijeshi ikiwemo Ndege ( hatujui kama kwenye ndege ile mlikuwa na makombora yaliyobebwa au la )

Naomba Majibu .

Screenshot_2023-11-11-22-20-01-1.png

========
Hapo awali jeshi la wananchi liliwahi kutoa waraka huu hapa

Tunakumbushana ( 800 X 640 ).jpg
 
Hata wewe kwenye Mafuriko unapanda.

Huyo amekuja kama shujaa akitoka kuiwakilisha Taifa, Hiyo Jesgi la wananchi wamempa heshima(hajaomba) ya kumsafirisha mpaka jimboni kwake.

Kumbuka huyu ni Kiomgozi wa Mhimili mzee, Anayeweza kushika madaraka ya kuongoza nchi.

Yanga walialikwa Ikulu na mkuu wa nchi, sasa kama amiri jeshi mkuu aliagiza apewe hiyo heshima kuna shida.

Yanga wakichukua Champions League Africa, wakirudi wakapokelewa na kupelekwa dodoma kwa ndege ya jeshi kama heshima ni vibaya.?

Mbona tunapandaga Defender kama lift?

Vipi pale Mwenge , hujawagi ona Raia wamepewa lift kwenye Karandinga au Bus ya JWTZ?

Tuache ujinga , hilo ni jeshi la Wananchi wa Tanzania, lipo kwa ajili yetu.
 
Ikiwa kama Jeshi la Wananchi wa Tanzania linakataza kabisa Raia wa Nchi hiyo kuvaa nguo zinazofanana na sare zake , huku likichukua hatua kadhaa za kuwadhalilisha waliozivaa kwa kuwavua nguo hizo hadharani na kuwaacha uchi wa mnyama , Inawezekanaje Jeshi hilo hilo likamwazima Ndege halisi ya kijeshi ( siyo inayofana ) Raia ?

Sijui kama naeleweka , Ni hivi , inakuwaje Raia aliyekatazwa kuvaa fulana ya Jeshi la Marekani aliyoinunua kwenye mitumba , kama zile walizozivaa Wenge Musica kwenye Album ya Pentagon , lakini aruhusiwe kutumia vifaa halisi vya kijeshi ikiwemo Ndege ( hatujui kama kwenye ndege ile mlikuwa na makombora yaliyobebwa au la )

Naomba Majibu .

View attachment 2810972
Umeona na Captain kaanguka Salute moja hatari
 
Unafiki na upumbavu ni sehemu ya siasa mkuu tena hasa wakati,hata kusafiri ndani ya jeneza watu wanaweza kufnya.
Ikiwa kama Jeshi la Wananchi wa Tanzania linakataza kabisa Raia wa Nchi hiyo kuvaa nguo zinazofanana na sare zake , huku likichukua hatua kadhaa za kuwadhalilisha waliozivaa kwa kuwavua nguo hizo hadharani na kuwaacha uchi wa mnyama , Inawezekanaje Jeshi hilo hilo likamwazima Ndege halisi ya kijeshi ( siyo inayofana ) Raia ?

Sijui kama naeleweka , Ni hivi , inakuwaje Raia aliyekatazwa kuvaa fulana ya Jeshi la Marekani aliyoinunua kwenye mitumba , kama zile walizozivaa Wenge Musica kwenye Album ya Pentagon , lakini aruhusiwe kutumia vifaa halisi vya kijeshi ikiwemo Ndege ( hatujui kama kwenye ndege ile mlikuwa na makombora yaliyobebwa au la )

Naomba Majibu .

View attachment 2810972
 
Mbeya ni sehemu mojawapo kati ya mikoa ya Tanzania ambayo imeathiriwa na maafa yanayotokana na mvua nyingi.

Hivyo wkt vikosi hivyo vikienda kutoa uokozi wamelazimika kuambatana na mbunge wa Jimbo hilo. Ni kwa nia njema tu
 
Hata wewe kwenye Mafuriko unapanda.

Huyo amekuja kama shujaa akitoka kuiwakilisha Taifa, Hiyo Jesgi la wananchi wamempa heshima(hajaomba) ya kumsafirisha mpaka jimboni kwake.

Kumbuka huyu ni Kiomgozi wa Mhimili mzee, Anayeweza kushika madaraka ya kuongoza nchi.

Yanga walialikwa Ikulu na mkuu wa nchi, sasa kama amiri jeshi mkuu aliagiza apewe hiyo heshima kuna shida.

Yanga wakichukua Champions League Africa, wakirudi wakapokelewa na kupelekwa dodoma kwa ndege ya jeshi kama heshima ni vibaya.?

Mbona tunapandaga Defender kama lift?

Vipi pale Mwenge , hujawagi ona Raia wamepewa lift kwenye Karandinga au Bus ya JWTZ?

Tuache ujinga , hilo ni jeshi la Wananchi wa Tanzania, lipo kwa ajili yetu.

Hakika ukombozi wa akili za Watanzania unahitajika
 
Ingefaa aanguke nayo afe, maana matumizi mabaya ya rasilimali za nchi wanaendekeza sana. Jeshi, polisi, mahakama, bunge na serikali yenyewe vipo mfukoni mwabaadhi ya mabwanyenye. Wanahubiri kama watu, wanatenda kama mafisi.

#be still my soul and watch as giants fall.
 
Hata wewe kwenye Mafuriko unapanda.

Huyo amekuja kama shujaa akitoka kuiwakilisha Taifa, Hiyo Jesgi la wananchi wamempa heshima(hajaomba) ya kumsafirisha mpaka jimboni kwake.

Kumbuka huyu ni Kiomgozi wa Mhimili mzee, Anayeweza kushika madaraka ya kuongoza nchi.

Yanga walialikwa Ikulu na mkuu wa nchi, sasa kama amiri jeshi mkuu aliagiza apewe hiyo heshima kuna shida.

Yanga wakichukua Champions League Africa, wakirudi wakapokelewa na kupelekwa dodoma kwa ndege ya jeshi kama heshima ni vibaya.?

Mbona tunapandaga Defender kama lift?

Vipi pale Mwenge , hujawagi ona Raia wamepewa lift kwenye Karandinga au Bus ya JWTZ?

Tuache ujinga , hilo ni jeshi la Wananchi wa Tanzania, lipo kwa ajili yetu.
Una hoja ila hujaipanga vizuri na hujanielewa
 
Nchi imevurugwa hii. Contradictions ni nyingi Sana. Huyu mama (Tulia Akson) akiwa naibu spika alicheza hadharani muziki uliopigwa marufuku na BASATA wa Diamond Platinum uitwao "Nyege......Nyege" lkn hakuvuliwa unajibu spika.

Huko Tunduma walimu na wanafunzi wamecheza muziki wa Zuchu ulioruhusiwa na BASATA (uitwao Honey) walimu wakuu wakavuliwa madaraka
 
Ikiwa kama Jeshi la Wananchi wa Tanzania linakataza kabisa Raia wa Nchi hiyo kuvaa nguo zinazofanana na sare zake , huku likichukua hatua kadhaa za kuwadhalilisha waliozivaa kwa kuwavua nguo hizo hadharani na kuwaacha uchi wa mnyama , Inawezekanaje Jeshi hilo hilo likamwazima Ndege halisi ya kijeshi ( siyo inayofana ) Raia ?

Sijui kama naeleweka , Ni hivi , inakuwaje Raia aliyekatazwa kuvaa fulana ya Jeshi la Marekani aliyoinunua kwenye mitumba , kama zile walizozivaa Wenge Musica kwenye Album ya Pentagon , lakini aruhusiwe kutumia vifaa halisi vya kijeshi ikiwemo Ndege ( hatujui kama kwenye ndege ile mlikuwa na makombora yaliyobebwa au la )

Naomba Majibu .

View attachment 2810972
yaan speaker ambae pia anaweza kuwa Rais au kukaimu urais ikiwa Rais hayupo nchini unahoji kutumia dege la Jeshi?

au hukusoma uraia,ikiwa Rais hayupo nani na nani wanaweza kukalia kiti kwa Mujibu wa katriba..
 
Mbeya ni sehemu mojawapo kati ya mikoa ya Tanzania ambayo imeathiriwa na maafa yanayotokana na mvua nyingi.

Hivyo wkt vikosi hivyo vikienda kutoa uokozi wamelazimika kuambatana na mbunge wa Jimbo hilo. Ni kwa nia njema tu

Kwa hiyo viwanja vya VETA Mbeya ndio kuliko na mafuriko?

Na hayo mavazi aliyovaa Tulia unaona ni aina ya mavazi avaayo mtu aendaye kwenye sehemu ya maafa ya mafuriko?
 
Unaongelea jeshi Gani kwanza? Kama ni hili la huku kwetu Burundi Bora ufanye shughuli zako uachane nalo maana hatuna jeshi Bali kikundi Cha wahuni waliovaa magwanda ya jeshi.
Ikiwa kama Jeshi la Wananchi wa Tanzania linakataza kabisa Raia wa Nchi hiyo kuvaa nguo zinazofanana na sare zake , huku likichukua hatua kadhaa za kuwadhalilisha waliozivaa kwa kuwavua nguo hizo hadharani na kuwaacha uchi wa mnyama , Inawezekanaje Jeshi hilo hilo likamwazima Ndege halisi ya kijeshi ( siyo inayofana ) Raia ?

Sijui kama naeleweka , Ni hivi , inakuwaje Raia aliyekatazwa kuvaa fulana ya Jeshi la Marekani aliyoinunua kwenye mitumba , kama zile walizozivaa Wenge Musica kwenye Album ya Pentagon , lakini aruhusiwe kutumia vifaa halisi vya kijeshi ikiwemo Ndege ( hatujui kama kwenye ndege ile mlikuwa na makombora yaliyobebwa au la )

Naomba Majibu .

View attachment 2810972
 
Nchi imevurugwa hii. Contradictions ni nyingi Sana. Huyu mama (Tulia Akson) akiwa Nibu spika alicheza hadharani muziki uliopigwa marufuku na BASATA wa Diamond Platinum uitwao "Nyege......Nyege" lkn hakuvuliwa unajibu spika.

Huko Tunduma walimu na wanafunzi wamecheza muziki wa Zuchu ulioruhusiwa na BASATA (uitwao Honey) walimu wakuu wakavuliwa madaraka

wakabuliwa madaraka
Aiseeeee !!!
 
Back
Top Bottom