Anachofanya Makonda ndo alichotumwa na yuko sahihi

Mubby777

JF-Expert Member
Oct 17, 2018
1,638
5,646
Ukifatilia coment nyingi kila post ya Makonda kutoa maagizo ikipostiwa ni negative
  • anavuka mipaka
  • haba mamlaka ya kumwagiza pm/wazir ay wakuu wa mikoa
  • amejisahau anarud yule yule wa zamani
-anafanya kazi za pm na katibu mkuu wa chama

Nk

But je mnadhan anafanya haya yeye tu kwa akili yake?

Kama anayofanya hayana baraka za mama asingekuwa ameshamuonya? Katibu mguu angekuwa hajamuonya? Pm angekuwa hahamuonya?

Kwa bahati mbaya Tanzania serikali na chama vimeungana(mwenyekiti wa chama ndo raisi wa nchi) so chama kina nguvu zaid ya serikali maana mtendaji yoyote wa serikali anaweza kuwajibishwa na chama ndo inayompa nguvu Makonda

So ukweli ni kwamba hakuna mtu yoyote mwenye nguvu ya kumpinga Makonda zaid ya mama mwenyewe na kwa sababu mama hampingi maana yake anayofanya ametumwa na mama so walioko chini ya mama lazima wanywee!

Mwisho kabisa me naamin Makonda karudishwa maksud kabisa (strategic) kujarb kuirudisha kanda ya ziwa mikonini mwa mama

Ukweli ni kuwa watanzania wengi sana walimpenda JPM( mimi sukumpenda but najua watanzania wengu walimpenda) so wale waliompenda tangu mama aingie ni kama wamekuwa wapweke( wanaona wametengwa na chama baada ya mtu wao kufa)
Kwa sababu hiyo kulikuwa na uwezekano mkubwa wa 2025 chama kupata wakati mgumu kujiuza kanda ya ziwa na kwa wafuasi wa JPM na hapo ndo jina la Makonda lilipoingia

Makonda anaaminika kuwa mfuasi no 1 wa JPM
Na JPM anaaminika kuwa na nguvu kubwa kanda ya ziwa
Makonda ni msuukuma wa kanda ya ziwa

Na atlast kazi zake ameanzia kanda ya ziwa

Sasa wapinzani wacheze ngoma ya kondaboy tuone itakavyokuwa but trust me Makonda sahiz anauwezo wa kumfukiza kazi Wazir na mama akabarik kwa sababu anaona Makonda anamrudishia kanda ya ziwa na watu wa JPM
 
Na huo ndio Ukweli, tena sio Kanda ya Ziwa, kila kanda atakayokanyaga, mtampenda tu. Anajua namna ya kuigusa mioyo ya watanzania.
Kwa sasa Makonda ndiye Rais Kivuli.
 
Ghafla wamekaa kimya baada ya Makonda kurudi ulingoni:-
Kinana.
Nape.
Kasim.
Mawaziri wote.
 
Back
Top Bottom