Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kinachosikitisha ni kwamba kila anayepanda jukwaa kuelezea kinachoitwa umaskini wa Mkoa wa Kagera anakuja na ngonjera za wingi wa maprofesa na ma-PhD holders kutoka mkoani mwetu. Lawama zote...
3 Reactions
64 Replies
5K Views
Kwa mujibu wa taarifa ya Gazeti la Daily news, Rais huyo wa Romania atawasili Nchini tarehe 16 Kwa ziara ya siku 3 ambapo pamoja na mambo mengine atafanya mazungumzo na Mwenyeji wake Rais Dk...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe. Mama Mariam Mwinyi ameendelea na ziara yake ya kikazi nchini Uingereza tarehe 17 Novemba, 2023...
0 Reactions
0 Replies
463 Views
Hivi TANESCO wamesahau kwamba Nyakato Mwanza wana MW 60 kwanini 36 MW? 24MW zimekwama wapi? Mitambo ya maji iko kwenye ukanda ambao mvua hazijaanza kunyesha? Wanafikiri wayu wa Dar es Salaam...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
HIili swala la mikopo uumiza mitaani na na kwa njia ya online, limegeuka kilio na maumivu kwa watu wengi na ushahidi ni kuongezeka kwa nyuzi(thread) kuhusu mikopo umiza hapa hspa JamiiForums...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwatunuku kamisheni maafisa wanafunzi kundi la 04/29 bms na kundi la 70/22 regular chuo cha maafisa cha kijeshi, Monduli mkoani...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Ameandika Khamis Kagasheki "Duniani kote, Serikali ni kioo cha nchi. Katika nchi za Kidemokrasia vyama vya siasa hutafuta Dola na kuunda Serikali ambayo huwajibika kwa chama kile. Lakini style ya...
31 Reactions
149 Replies
15K Views
Kwa Mujibu wa taarifa ya jarida la Oxford Economics Africa kama ilivyonukuliwa na Jarida la Biashara la The Business Insider,Kwa mara ya kwanza Tanzania imetajwa miongoni mwa Nchi Zenye Mazingira...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Mhe mkuu wa mkoa wa Dar es laam Paul Makonda amedai hatoweza kufika mbele ya kamati ya maadili ya mbunge bila kuitwa kwa barua.Amedai hawezi kwenda tu kwa habari za kusikia kwenye vyombo vya...
97 Reactions
495 Replies
51K Views
Ninaamini Prof Kabudi angekuwa Waziri wa Foreign angekwea pipa hadi Israel au kule wanakotafutia suluhu yaani Qatar kuwatetea Mateka akina Clemence Yule mzee pamoja na Udhaifu wa kibinadamu...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Mbunge wa vitu maalum Mkoa wa Mbeya Mhe. Suma Ikenda Fyandomo, ameshtukia mchezo unaofanywa na wataalamu katika ujenzi wa stendi ya mabasi katika Mamlaka ya mji mdogo wa Tukuyu Mkoani Mbeya, kwa...
2 Reactions
2 Replies
825 Views
Ndugu wana JF, Kwa kipindi hiki nimeona nivyema tukajikumbusha historia ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki, akifanya mahojiano na mwadhishi wa habari Godfrey...
4 Reactions
273 Replies
76K Views
Nairobi, Kenya https://m.youtube.com/watch?v=UVkbMVnUkZw 2017 Uhuru Kenyatta na William Ruto 2015 Odinga na urafiki wake na Magufuli Odinga kuunga mkono siasa za mabavu za Magufuli Kabla ya...
1 Reactions
2 Replies
741 Views
Biteko: 65% ya umeme tunatumia gesi, lakini kuna mashine miaka 2 haijatengenezwa. Nakuja TANESCO Menejimenti ya TANESCO tunatakiwa tupate viongozi wanaojua tatizo la umeme.
12 Reactions
203 Replies
11K Views
TANZANIA imepokea Ugeni kutoka Nchi Ya Romania, yaani; State Visit... Tumetembelewa Na Rais wa Romania... Miongoni mwa maeneo Tunayo nufaika nayo Sisi Watanzania kwa Waromania, ni; Biashara Ya...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mwamini Juma Malemi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Malemi ni Naibu Katibu Mkuu Mstaafu. Pia, Rais amemteua...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Akiwa Clouds TV, waziri wa nishati January Makamba amesema bwawa la kuzalisha umeme la mwalimu Nyerere linaisha mwezi Juni mwaka 2024 na wameamua kwenda na uhalisia na hawaoni aibu kusema litaenda...
10 Reactions
82 Replies
8K Views
Benki ya Dunia imeipatia Tanzania mkopo wenye masharti nafuu wenye thamani ya Shilingi trilion 1.24 kwa ajili ya kutekeleza miradi miwili ukiwemo Mradi wa Umeme Vijijini (REA) na mradi wa ujenzi...
4 Reactions
54 Replies
5K Views
Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, imetia saini ya Mkataba huo kupitia Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani, Fedha zitakazotumika kwaajili ya kugharamia...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Leo nilikuwa kwenye Kliniki ya Ardhi Manispaa ya Ubungo pale Stop Over.Kuna Bibi kizee alikuwa ameleta mgogoro wake pale ili upatiwe ufumbuzi.Bibi huyu amesema mgogoro huo ambao amekuwa nao toka...
0 Reactions
1 Replies
684 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…