Rais Samia ateua Mkurugenzi wa GBT na Wenyeviti wa Bodi ya NSSF

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mwamini Juma Malemi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Malemi ni Naibu Katibu Mkuu Mstaafu.

Pia, Rais amemteua Prof. Yunus Daud Mgaya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana ya Chuo cha Wanyamapori Mweka. Prof. Mgaya ni Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR).

3. Amemteua James Bakineye Mbalwe kuwa Mkurungenzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha (GBT) kwa kipindi cha pili.
Screenshot_2023-11-18-03-15-15-815_com.instagram.android-edit.jpg
 
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mwamini Juma Malemi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Malemi ni Naibu Katibu Mkuu Mstaafu.

Pia, Rais amemteua Prof. Yunus Daud Mgaya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana ya Chuo cha Wanyamapori Mweka. Prof. Mgaya ni Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR).

3. Amemteua James Bakineye Mbalwe kuwa Mkurungenzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha (GBT) kwa kipindi cha pili.
View attachment 2817073
Hawa wazenji wanatabia za kilozi sana...taifa liko kwenye masononeko ya raia wake kuuliwa na magaidi ya Gaza wao wanaleta habari za kubadili upepo
 
Back
Top Bottom