Namna Tanzania itakavyo nufaika kiuchumi katika mahusiano yake na nchi ya Romania

Nov 16, 2023
14
22
TANZANIA imepokea Ugeni kutoka Nchi Ya Romania, yaani; State Visit... Tumetembelewa Na Rais wa Romania...
Miongoni mwa maeneo Tunayo nufaika nayo Sisi Watanzania kwa Waromania, ni; Biashara Ya Maparachichi, Kilimo, Na Afya.

Mikoa inayolima Maparachichi, Kama; Iringa, MBEYA Na Kilimanjaro, ina Nafasi KUBWA SANA Ya kuinuka na kujijenga Kiuchumi. Kutokana na Uhitaji wa Matunda ya Maparachichi HUKO ULAYA, Ni Muhimu Sana ; zao Hili likawekewa mkakati wa makusudi, ili pawepo Mashamba MAKUBWA SANA Ya zao la Maparachichi, ili Kukifanya Kilimo cha zao Hili kuwa cha KIMATAIFA, Na KULIINGIZIA TAIFA Fedha za Kigeni Hasa Dola Ya MAREKANI. Kupanga Ni kuchagua, inawezekana Na Tuamue Sasa Kutumia FURSA Hii Ya Uhitaji maalumu Na Soko KUBWA SANA la Matunda ya Maparachichi HUKO barani ULAYA.

Haya NDIO MATOKEO MAKUBWA kwa Nchi YETU kufunguliwa Kiuchumi Na ROYAL TOUR, pamoja na SAFARI ZA KIKAZI ZA MHESHIMIWA RAIS DKT MAMA SAMIA SULUHU HASSAN, HUKO Nchi mbali mbali Duniani... Baadhi ya Watu walikuwa Wanabeza Na kukejeli Safari za MAMA SAMIA SULUHU HASSAN, lakini Sasa wameyaona MATOKEO mazuri.

Kwa Dunia Ya SASA, Hasa Katika Ulimwengu wa Kwanza katika mataifa Ya ULAYA..... Kilimo kinachofanyika, Ni Cha Kumwagilia kwa Kutumia miundombinu ya KISASA, Ambayo inatumia mifumo Ya Kidijitali.

UMEFIKA WAKATI SASA; WIZARA YA KILIMO IFIKIRIE, IJIPANGE NA KUBUNI, HALAFU IJE NA MIKAKATI YA KUANZISHA MASHAMBA MAKUBWA SANA YA SERIKALI YANAYOLIMWA KWA KUTUMIA MIUNDOMBINU BORA, YA KISASA NA inayotumia mifumo Ya Kidijitali kwa Ajili ya MATOKEO MAKUBWA SANA Ya Kilimo Biashara.

Mashamba Haya makubwa na Ya KISASA yawe kwa mazao YETU YOTE maalumu Ya Kimkakati, Kama; Korosho, Kahawa, Chai, Matunda mbali mbali, Mpunga, Mahindi, Ngano, Sukari, Jamii ZOTE za Kunde, Karanga, Mihogo, Aina mbali mbali za ndizi..... Shirika la TARI linalofanya Utafiti wa KILIMO Hapa Nchini, Linaweza kuhusishwa katika Mradi Huu Mkubwa Sana wa KILIMO Cha KISASA Cha Umwagiliaji Cha Mashamba Ya Serikali.

Kwa kufanya Hivi, KILIMO kitachangia Katika PATO KUBWA SANA LA TAIFA, Ajira zitaongezeka, maisha Ya Wananchi yatakuwa Juu Kiuchumi, GDP YA TAIFA ITAONGEZEKA, Na Huduma mbali mbali za Jamii zitaimarika.

Kuimarika kwa Diplomasia Ya Uchumi, inayochagizwa Na Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri Ya muungano wa TANZANIA, Na Mabalozi Wetu wanaotuwakilisha Katika Nchi mbali mbali HUKO Duniani, Kumeleta ; mwitikio Mkubwa Sana, Unaowavutia ; Viongozi wa Nchi mbali mbali kuja TANZANIA, kwa Ajili ya Ziara za Kiserikali Na Kirafiki..... Pia, baadhi Ya Wafanya Biashara wakubwa kutoka ULAYA na MAREKANI, wameanza kuja TANZANIA kwa WINGI, na wengine wanatarajia Kuingia Hapa Nchini, miezi michache ijayo, Kwa Lengo la Kuwekeza Mitaji walionayo, kwa Kuanzisha; VIWANDA, Miradi anuai.

MATOKEO MAKUBWA SANA Ya Kiuchumi Tunayo yatazamia, Ni Pamoja na; Kuongezeka kwa Ajira nyingi Sana.... KWA SASA TANZANIA NI NCHI NZURI SANA NA INAVUTIA KIMATAIFA KWA UWEKEZAJI.

JORDAN TWARINDWA
0689495579/ 0755932600

IMG_20231116_190256.jpg
 
Umeeleza vizuri sana. kwa hakika mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan amefanya kazi kubwa sana ya kuimarisha Diplomasia yetu ya uchumi,hali iliyopelekea kupata wawekezaji wakubwa kutoka maeneo mbalimbali Duniani, wafanyabishara pamoja na watalii ambao tumeshuhudia ndani ya muda mfupi wakifurika hapa nchini.

Kikubwa Watanzania tunapaswa kuendelea kuchangamkia fursa zinazoletwa na mh Rais wetu hapa nchini.
 
==========================
TANZANIA imepokea Ugeni kutoka Nchi Ya Romania, yaani; State Visit... Tumetembelewa Na Rais wa Romania...
Miongoni mwa maeneo Tunayo nufaika nayo Sisi Watanzania kwa Waromania, ni; Biashara Ya Maparachichi, Kilimo, Na Afya.... nk....
Mikoa inayolima Maparachichi, Kama; Iringa, MBEYA Na Kilimanjaro, ina Nafasi KUBWA SANA Ya kuinuka na kujijenga Kiuchumi. Kutokana na Uhitaji wa Matunda ya Maparachichi HUKO ULAYA, Ni Muhimu Sana ; zao Hili likawekewa mkakati wa makusudi, ili pawepo Mashamba MAKUBWA SANA Ya zao la Maparachichi, ili Kukifanya Kilimo cha zao Hili kuwa cha KIMATAIFA, Na KULIINGIZIA TAIFA Fedha za Kigeni Hasa Dola Ya MAREKANI. Kupanga Ni kuchagua, inawezekana Na Tuamue Sasa Kutumia FURSA Hii Ya Uhitaji maalumu Na Soko KUBWA SANA la Matunda ya Maparachichi HUKO barani ULAYA...
Haya NDIO MATOKEO MAKUBWA kwa Nchi YETU kufunguliwa Kiuchumi Na ROYAL TOUR, pamoja na SAFARI ZA KIKAZI ZA MHESHIMIWA RAIS DKT MAMA SAMIA SULUHU HASSAN, HUKO Nchi mbali mbali Duniani... Baadhi ya Watu walikuwa Wanabeza Na kukejeli Safari za MAMA SAMIA SULUHU HASSAN, lakini Sasa wameyaona MATOKEO mazuri.....

Kwa Dunia Ya SASA, Hasa Katika Ulimwengu wa Kwanza katika mataifa Ya ULAYA..... Kilimo kinachofanyika, Ni Cha Kumwagilia kwa Kutumia miundombinu ya KISASA, Ambayo inatumia mifumo Ya Kidijitali....... UMEFIKA WAKATI SASA; WIZARA YA KILIMO IFIKIRIE, IJIPANGE NA KUBUNI, HALAFU IJE NA MIKAKATI YA KUANZISHA MASHAMBA MAKUBWA SANA YA SERIKALI YANAYOLIMWA KWA KUTUMIA MIUNDOMBINU BORA, YA KISASA NA inayotumia mifumo Ya Kidijitali kwa Ajili ya MATOKEO MAKUBWA SANA Ya Kilimo Biashara.
Mashamba Haya makubwa na Ya KISASA yawe kwa mazao YETU YOTE maalumu Ya Kimkakati, Kama; Korosho, Kahawa, Chai, Matunda mbali mbali, Mpunga, Mahindi, Ngano, Sukari, Jamii ZOTE za Kunde, Karanga, Mihogo, Aina mbali mbali za ndizi..... Shirika la TARI linalofanya Utafiti wa KILIMO Hapa Nchini, Linaweza kuhusishwa katika Mradi Huu Mkubwa Sana wa KILIMO Cha KISASA Cha Umwagiliaji Cha Mashamba Ya Serikali..............
Kwa kufanya Hivi, KILIMO kitachangia Katika PATO KUBWA SANA LA TAIFA, Ajira zitaongezeka, maisha Ya Wananchi yatakuwa Juu Kiuchumi, GDP YA TAIFA ITAONGEZEKA, Na Huduma mbali mbali za Jamii zitaimarika.

Kuimarika kwa Diplomasia Ya Uchumi, inayochagizwa Na Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri Ya muungano wa TANZANIA, Na Mabalozi Wetu wanaotuwakilisha Katika Nchi mbali mbali HUKO Duniani, Kumeleta ; mwitikio Mkubwa Sana, Unaowavutia ; Viongozi wa Nchi mbali mbali kuja TANZANIA, kwa Ajili ya Ziara za Kiserikali Na Kirafiki..... Pia, baadhi Ya Wafanya Biashara wakubwa kutoka ULAYA na MAREKANI, wameanza kuja TANZANIA kwa WINGI, na wengine wanatarajia Kuingia Hapa Nchini, miezi michache ijayo, Kwa Lengo la Kuwekeza Mitaji walionayo, kwa Kuanzisha; VIWANDA, Miradi anuai.....
MATOKEO MAKUBWA SANA Ya Kiuchumi Tunayo yatazamia, Ni Pamoja na; Kuongezeka kwa Ajira nyingi Sana.... KWA SASA TANZANIA NI NCHI NZURI SANA NA INAVUTIA KIMATAIFA KWA UWEKEZAJI....
------------------------------------------------------
JORDAN TWARINDWA
0689495579/ 0755932600

View attachment 2816774
Wengi wanamponda huyu raisi ila kiukweli bila unafiki huyu ni raisi bora kuwahi kutokea katika nchi yetu inabidi kuna muda watanzania tuwe wakweli mimi pia mwanzoni wakati Mheshimiwa Samia anaingia madarakani sikuwa na matumaini juu ya kuiongoza nchi ila kwa sasa Samia anakura yangu 2025 Mungu akitujaalia uzima, angalieni tu ziara za marais mara kwa mara wanakuja nchini na wakija wanakuja na fursa kibao tena ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.
#BIGUpSAmIA
#kAZiieNDELEE
 
Umeeleza vizuri sana. kwa hakika mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan amefanya kazi kubwa sana ya kuimarisha Diplomasia yetu ya uchumi,hali iliyopelekea kupata wawekezaji wakubwa kutoka maeneo mbalimbali Duniani, wafanyabishara pamoja na watalii ambao tumeshuhudia ndani ya muda mfupi wakifurika hapa nchini.

Kikubwa Watanzania tunapaswa kuendelea kuchangamkia fursa zinazoletwa na mh Rais wetu hapa nchini.
Ndiyo muende huko sasa mkalime
Acheni blah blah mtandaoni

Ova
 
Wengi wanamponda huyu raisi ila kiukweli bila unafiki huyu ni raisi bora kuwahi kutokea katika nchi yetu inabidi kuna muda watanzania tuwe wakweli mimi pia mwanzoni wakati Mheshimiwa Samia anaingia madarakani sikuwa na matumaini juu ya kuiongoza nchi ila kwa sasa Samia anakura yangu 2025 Mungu akitujaalia uzima, angalieni tu ziara za marais mara kwa mara wanakuja nchini na wakija wanakuja na fursa kibao tena ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.
#BIGUpSAmIA
#kAZiieNDELEE

Rais Bora kwenye Nini?. Msipende kuropoka hovyo.
 
TANZANIA imepokea Ugeni kutoka Nchi Ya Romania, yaani; State Visit... Tumetembelewa Na Rais wa Romania...
Miongoni mwa maeneo Tunayo nufaika nayo Sisi Watanzania kwa Waromania, ni; Biashara Ya Maparachichi, Kilimo, Na Afya.

Mikoa inayolima Maparachichi, Kama; Iringa, MBEYA Na Kilimanjaro, ina Nafasi KUBWA SANA Ya kuinuka na kujijenga Kiuchumi. Kutokana na Uhitaji wa Matunda ya Maparachichi HUKO ULAYA, Ni Muhimu Sana ; zao Hili likawekewa mkakati wa makusudi, ili pawepo Mashamba MAKUBWA SANA Ya zao la Maparachichi, ili Kukifanya Kilimo cha zao Hili kuwa cha KIMATAIFA, Na KULIINGIZIA TAIFA Fedha za Kigeni Hasa Dola Ya MAREKANI. Kupanga Ni kuchagua, inawezekana Na Tuamue Sasa Kutumia FURSA Hii Ya Uhitaji maalumu Na Soko KUBWA SANA la Matunda ya Maparachichi HUKO barani ULAYA.

Haya NDIO MATOKEO MAKUBWA kwa Nchi YETU kufunguliwa Kiuchumi Na ROYAL TOUR, pamoja na SAFARI ZA KIKAZI ZA MHESHIMIWA RAIS DKT MAMA SAMIA SULUHU HASSAN, HUKO Nchi mbali mbali Duniani... Baadhi ya Watu walikuwa Wanabeza Na kukejeli Safari za MAMA SAMIA SULUHU HASSAN, lakini Sasa wameyaona MATOKEO mazuri.

Kwa Dunia Ya SASA, Hasa Katika Ulimwengu wa Kwanza katika mataifa Ya ULAYA..... Kilimo kinachofanyika, Ni Cha Kumwagilia kwa Kutumia miundombinu ya KISASA, Ambayo inatumia mifumo Ya Kidijitali.

UMEFIKA WAKATI SASA; WIZARA YA KILIMO IFIKIRIE, IJIPANGE NA KUBUNI, HALAFU IJE NA MIKAKATI YA KUANZISHA MASHAMBA MAKUBWA SANA YA SERIKALI YANAYOLIMWA KWA KUTUMIA MIUNDOMBINU BORA, YA KISASA NA inayotumia mifumo Ya Kidijitali kwa Ajili ya MATOKEO MAKUBWA SANA Ya Kilimo Biashara.

Mashamba Haya makubwa na Ya KISASA yawe kwa mazao YETU YOTE maalumu Ya Kimkakati, Kama; Korosho, Kahawa, Chai, Matunda mbali mbali, Mpunga, Mahindi, Ngano, Sukari, Jamii ZOTE za Kunde, Karanga, Mihogo, Aina mbali mbali za ndizi..... Shirika la TARI linalofanya Utafiti wa KILIMO Hapa Nchini, Linaweza kuhusishwa katika Mradi Huu Mkubwa Sana wa KILIMO Cha KISASA Cha Umwagiliaji Cha Mashamba Ya Serikali.

Kwa kufanya Hivi, KILIMO kitachangia Katika PATO KUBWA SANA LA TAIFA, Ajira zitaongezeka, maisha Ya Wananchi yatakuwa Juu Kiuchumi, GDP YA TAIFA ITAONGEZEKA, Na Huduma mbali mbali za Jamii zitaimarika.

Kuimarika kwa Diplomasia Ya Uchumi, inayochagizwa Na Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri Ya muungano wa TANZANIA, Na Mabalozi Wetu wanaotuwakilisha Katika Nchi mbali mbali HUKO Duniani, Kumeleta ; mwitikio Mkubwa Sana, Unaowavutia ; Viongozi wa Nchi mbali mbali kuja TANZANIA, kwa Ajili ya Ziara za Kiserikali Na Kirafiki..... Pia, baadhi Ya Wafanya Biashara wakubwa kutoka ULAYA na MAREKANI, wameanza kuja TANZANIA kwa WINGI, na wengine wanatarajia Kuingia Hapa Nchini, miezi michache ijayo, Kwa Lengo la Kuwekeza Mitaji walionayo, kwa Kuanzisha; VIWANDA, Miradi anuai.

MATOKEO MAKUBWA SANA Ya Kiuchumi Tunayo yatazamia, Ni Pamoja na; Kuongezeka kwa Ajira nyingi Sana.... KWA SASA TANZANIA NI NCHI NZURI SANA NA INAVUTIA KIMATAIFA KWA UWEKEZAJI.

JORDAN TWARINDWA
0689495579/ 0755932600

View attachment 2816774
Masikini kwa masini ...Romania hawaweza kutoa bei shindani kama nchi ulaya magharibi na US Canada........hamna kitu hapa
 
Romania waje kuboresha uchawi wetu. Jamaa hao ni wacawi sana
 
Back
Top Bottom