RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,482
- 10,915
Mhe mkuu wa mkoa wa Dar es laam Paul Makonda amedai hatoweza kufika mbele ya kamati ya maadili ya mbunge bila kuitwa kwa barua.Amedai hawezi kwenda tu kwa habari za kusikia kwenye vyombo vya habari bila kufuata utaratibu maalumu wa kumwita.
Source:Nipashe.
My take:Mkuu wa mkoa njia unazotumia Kuwaita watu wahojiwe,zikitumika kukuita wewe pia ukahojiwe tunaomba uzikubali usikatae,maana wahenga husema "Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu".