Kwa wale wahenga,
Kipo kitabu flani cha fasihi cha zamani sikumbuki mtunzi,ila imani yangu kilitungwa A,kusini .
Katika hadithi hiyo aliongelewa shujaa na jasiri mmoja aliitwa Umsolopa Gazi...
Kuna hizi tetesi kwamba Balozi Polepole na Mkulima Salum Happi wanaitwa kuimarisha safu ya juu ya Uongozi wa CCM wakiwa pamoja na Makamu Mwenyekiti mtarajiwa Dr. Nchimbi.
Je, CCM itaimarika kama...
Huenda anafanya kwa Lengo zuri. Huenda anataka kukisaidia chama lakini Lazma ajue kujizuia. Kuwa maarufu kuliko Rais ni kama uhaini kisiasa.
Walio karibu na Makonda wamwambie hatakiwi kuwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amemuaga Rais wa Romania, Mheshimiwa Klaus Iohannis baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi nchini leo tarehe 19 Novemba...
SERIKALI kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ikiwemo Ifakara Health Institute wameweka mkakati wa kupunguza vifo vya watoto wanaozaliwa kabla ya muda (njiti) ,kwa kuwawezesha watoa huduma kufanya...
Ili Taifa liweze kujikwamua kimaendeleo Vyama vya Siasa vinatakiwa kuachana na Mfumo wao wa sasa wa kupitisha viongozi kwa kigezo cha kukubalika na hatimaye wagombea watokane na Sifa za kiongozi...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna watu wamezaliwa na kuwepo hapa Duniani kama vyombo vitumiwavyo na Mwenyezi Mungu kuvusha,kuponya,kuokoa,kufuta machozi, kufariji na kuwapa matumaini watu wake.kuna...
Habari wana jamvi,
Hazina mna utaratibu wenu wa kutoa mikopo kwa Watumishi wa halmashauri zilizopo pembezoni kitu ambacho ni kizuri.
Utaratibu wa kuomba mwanzoni ulikuwa ni kupitia halmashauri...
Moyo umesinjaa kwa kile nimekiona leo ktk ufunguzi wa Majengo ya ikulu Dodoma.
Nawaza najiuliza na sipati majibu. Nimeenda mbali zaidi nikasema hata kama hatuamini juu ya uwepo wa Dunia nyingine...
Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Mkoani Morogoro Salim Alaudin Hasham ameliomba jeshi la Polisi wilayani humo kuacha kuwaonea wananchi jamii ya wakulima pindi wanapopeleka kesi za wafugaji kulisha...
Ni hayo maswali mawili tu;
Kwanini kila Mwananchi mwenye matatizo anamkimbilia Makonda? Kabla yake hapakuwepo watu wenye moyo wa kusikiliza shida za Wananchi?
Kwanini CHADEMA wamesitisha...
Mimi sina mengi, title ishamaliza uzi.
Ila kwa kuongezea huyu mwamba ni hatari. Mtu hadi kaweza kupata attention ya USA na wakamzuia kuingia nchini kwao halafu wewe unakuja kuona ni mtu wa...
1. KIKWETE NI NANI
(I)KIONGOZI MAKINI NA MSATIMILIVU
Binafsi naamini kati ya viongozi walioacha alama iliyo tukuka mojawapo ni Dkt Jakaya Kikwete pamoja na sifa zake nyingi lakini ni miongoni...
Waziri wa Afya, Dkt Gwajima leo ameelezea suala askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima kupinga chanjo ya Covid-19 na kudai pamoja na ushemeji walionao haungani na itikadi...
Wanaopewa fidia ya milioni 6 ili wahame bonde la Msimbazi- Dar itawatosha kununua kiwanja na kujenga?
Maana milioni 6 naona Kama ni ndogo, kwanini wasingepewa nyumba (apartment za pale Magomeni)...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (Mb), Jumanne Sagini amefanya ziara ya kutembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara katika eneo la Manispaa ya...
Mara nyingi nimewasikia viongozi mba;i mbali mfano Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa wilaya, Wakurugenzi Watendaji na wengine wengi wakisema tunamshukuru Mhe. Rais kwa kutoa mabilioni kadhaa...
Rais wa Romania Mhe. Klaus lohannis amewasili Zanzibar kwa ziara ya siku moja katika mwendelezo wa ziara yake ya siku tatu nchini Tanzania kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Dkt...
HAKUNA TOFAUTI KATI YA CCM NA WAPINZANI, NI WALEWALE" MWABUKUSI
Upinzani na CCM hawana tofauti, kitendo cha kutaka kuingia kwenye uchaguzi bila katiba mpya ni kwa sababu ya maslahi binafsi na sio...