William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,657
- 2,252
Huenda anafanya kwa Lengo zuri. Huenda anataka kukisaidia chama lakini Lazma ajue kujizuia. Kuwa maarufu kuliko Rais ni kama uhaini kisiasa.
Walio karibu na Makonda wamwambie hatakiwi kuwa Maarufu kuliko Rais. Kisiasa huo ni kama uhaini
Ama ajizuie au atazuiwa soon. Au....
Alitaka awe hivyo makamu wa sasa wa raisi mwanzo. Nilishangaa Profesa hajui protokali. Ila akarudishwa sasa katulia kamwachia mama steling
Huo ndio siasa za dunia zilivyo. Dunia nzima hutakiwi kuwa maarufu kuliko kiongozi wa Juu hata kwenye eneo lako. Hata ukiwa mbunge hutakiwi kusikilizwa au kuwa na ushawishi kuliko Rais wa chama chako kwenye eneo lako.
Heride alipanga amuue Yesu alipozaliwa baada ya kuona nyota yake. Alijua akiwa maarufu atachukua cheo chake.
Kuna makosa yalifanywa na maraisi uko nyuma.
Aliruhusu Rais wa Zaire mwaka 1960. Waziri mkuu Lumumba ndio akasikilizwa. Nchi haikutawalika tena
Obote aliruhusu Iddi Amin awe maarufu kuliko yeye. Alipoenda tu yeye akauchukua uraisi.
Aliruhusu hilo Thabo Mbeki, kwa Jacob Zuma. Na zuma alipotaka kushugulikiwa swala lake la rushwa wanachama wa ANC wakamwamini na wakamshugulikia Mbeki yeye na Zuma akampokonya urais.
Ilitokea kwa Lowasa na JK. Kilichomponza Ni kuogopwa na kuwa maarufu kuliko Jk. Pia Nyerere na Sokoine au John Okelo na Karume.
Nawakumbusha tena mwambieni asiwe maarufu kuliko au kumkaribia Rais.
Sasa anaagiza, anahutubia, anasindikizwa. Kama anafanya kwa bahati mbaya sielewi kabisa. Hana washauri.
Uingereza Mfalme alichagua hadi uongozi wa kanisa. Ata dini haikupaswa kumzidi umaarufu
Kumsaidia raisi ni kufafanua hoja zenye utata kama bandari, kufafanua mambo Ambayo Raisi kafanya kama kujenga madarasa, Miradi inayoendelea kutekelezwa na serikali. Kuwaponda wapinzani na kutoa kasoro zao. Kufafanua uzuri wa kikokotoo cha wastafu kwa taifa.. Faida za Hamkosi na Maslahi ya watu wanayoshugulikiwa na serikali ila kamwe. Narudia kamwe
1. Asihoji au kuagiza chochote kwenye mkutano wa hadhara.
2. Asikubali kabisa kupokea kero ya watu hadharani na kuzijibu moja kwa moja. Majibu yawe ntafikisha kwa Raisi ili lipatiwe ufumbuzi.
Dunia nzima hakuna taasisi yenye wivu kama uraisi.
Sudan kusini Raisi na Waziri mkuu walikuwa na ushawishi sawa ikagawanyika. Kongo kinshasa makamanda karibu 20 walikuwa na ushawishi sawa.
Ethiopia pia viongozi wa majimbo walikuwa na ushawishi mkubwa kwenye majimbo yao kuliko waziri mkuu wakamgeuka waziri vita vikaanza.
Siku makonda akikengeuka akiwa maarufu basi kazi ipo. Yasije ya Mrema na Mwinyi.
Labda kama ana plan B. Lakini kama anataka kuwa chini ya mama basi Ajue tu Asiwe maarufu kuliko Rais.