Ujio wa Polepole na Happi utaifanya CCM iwe Imara zaidi?

Ukishataja nchimbi ujue umeharibu. Nchimbi ni Lowasa damu. Yaani ni mpenda makundi na mwanamaslahi kuliko unavyodhani.

Wanamjua na wanamfahamu fika. Yupo tayari chama kipasuke vipande ili mradi mtu wao apite. Huyu alishawahi hadi kutishia kumuua Amina Chifupa kipindi cha uchaguzi akiwa mwenyekiti UVCCM.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Kuna hizi tetesi kwamba Balozi Polepole na Mkulima Salum Happi wanaitwa kuimarisha safu ya juu ya Uongozi wa CCM wakiwa pamoja na Makamu Mwenyekiti mtarajiwa Dr. Nchimbi.

Je, CCM itaimarika kama enzi za Shujaa Magufuli?

Nawatakia Sabato njema.

Mnafiki mkubwa. Wanakuja kuongeza nguvu ya Nini?. Serikali ya CCM , Jeshi la CCM , mahakama za CCM , TISS ya CCM , NEC ya CCM , Bunge la CCM , Manispaaa Halmashauri zote za CCM , Mitaa na Vijiji vya CCM.

Punguza ujinga umeshakuwa Mzee Sasa.
 
Ukishataja nchimbi ujue umeharibu. Nchimbi ni Lowasa damu. Yaani ni mpenda makundi na mwanamaslahi kuliko unavyodhani.

Wanamjua na wanamfahamu fika. Yupo tayari chama kipasuke vipande ili mradi mtu wao apite. Huyu alishawahi hadi kutishia kumuua Amina Chifupa kipindi cha uchaguzi akiwa mwenyekiti UVCCM.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Pumbavu Chifupa mwenyewe nisingemuacha

Wanaume wa Dar wavivu sana nyie
 
Back
Top Bottom