📌📌 UIMARA WA CHAMA NI VIKAO, UIMARA WA CHAMA NI TAARIFA, SASA TUNAWAPA TAARIFA RASMI
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kitakuwa na Vikao vya Kitaifa Vitakavyofanyika Jijini Dar es salaam Kuanzia Tarehe...
Wanajamvi nadhani kuna haja kubwa ya kuijadili kwa kina iliyoitwa EAMWS (East African Muslim Welfare Society) iliyoanzishwa na jumuia ya Isma'ili Khoja mjini Mombasa, Kenya mwaka 1945 na baadaye...
Binafsi mara ya kwanza nimefika Dodoma miaka 26 iliyopita. Kweli wakati huo maisha yalikuwa magumu sana kuishi Dodoma kwa sababu zifuatazo;
Mosi, mji ulikuwa ni mfinyu mno, ulikuwa unaweza...
#HABARI Kitabu kiitwacho Africa Magufuli na Badiliko kilichoandikwa na Profesa Malango Chinthenga wa Malawi kimetajwa kuvutia nchi nyingi za Afrika Mashariki zikiwamo Tanzania na Kenya huku...
Nimemsikiliza Prof Kitila Mkumbo , kwanza napingana na wanaoamini kila Prof ana akili. Baadhi wana uwezo wa kufaulu mitihani ya darasani aidha kwa kukariri au kubahatisha ila siyo akili. Moja ya...
Katika mahojiano ya zamani, msanii maarufu wa Kiarabu, mwigizaji wa Misri Adel Imam, alikashifu "fukufuku" ya Palestina kwa kuamini kwamba wanaweza kukabiliana na #Israel, akisema kwamba watu...
Wadau nimejaribu kuipitia KATIBA iliyopo ili kupata Kifungu kinachokipa Mamlaka CHAMA TAWALA kuisimamia SERIKALI lakini sijakiona.Ombi kwa Wanasheria wetu.
Je, ni kifungu gani kinachokipa Mamlaka...
"Ukisoma literature utaona kwamba hakuna chama chochote cha siasa duniani ambacho kimeshinda uchaguzi kwa kuwa tu kimekuwa ni bingwa wa kukosoa.
"Chama kinashinda uchaguzi kwa kuwa kimeweka sera...
Kama kweli tunajali maadili na haki za watu basi Makonda alipaswa kuwa anaozea Segerea kwa maovu makubwa aliyoyafanya. Lkn bado anapewa cheo huku mikono yake imejaa dhulma na damu nyingi za watu...
Akizungumza kwenye kumbukumbu ya miaka 3 tangu kufariki kwa Maalim Seif, ambaye ni Gwiji la Siasa za Zanzibar, Baba Askofu Mwamakula amesema kwamba kwenye utawala wa Mkapa hakukuwahi kuwa kesi...
Salaam, shalom.
Baada ya kumsikiliza Kwa makini Mzee WARIOBA akihojiwa katika kipindi Cha Dakika 45 kituo Cha ITV, Kuna mambo nimeyatambua Mzee anajaribu Kutoa angalizo na umuhimu wa Serikali...
TAARIFA
Tumepokea taarifa za Kutaka Kumtorosha Pauline Gekul kwenda Nairobi,nchini Kenya kupitia mpaka wa NAMANGA kwa kutumia Landcruiser Hardtop nyeupe yanye namba za DFP 76551 na Vioo vyeusi...
Shule ya Arusha primary ni moja kati ya shule kongwe sana nchini Tanzania zinazofundisha kwa lugha ya kiingereza. Ilianza rasmi mwaka 1932.
Shule hii ambayo kwa sasa ipo chini ya Jiji , miezi ya...
Hali ndio kama mnavyoiona
Aliyekuwa mgombea Ubunge Jimbo la Mbarali kwa tiketi ya Chadema, ndugu Liberatus ameandika kwenye ukurasa wake wa instagram kuhusu wanachoendelea kukifanya huko katika...
Muda huu aliyekuwa Waziri Mkuu Jaji Warioba anafanya mahojiano katika kipindi Cha dk 45 ITV na mapendekezo yake ni kuwa katiba mpya ipatikane kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
My take; kama...
Kwema Wakuu!
Nimejikuta nacheka Sana nilipokumbuka habari za mwaka Jana. Yaani ilikuwa vituko na aibu kubwa.
Hivi ni kweli Tundu Lissu hakuweka matangazo kwenye nguzo na barabarani Kama...
Kama IGP atashindwa kuchukua hatua kwa RPC Manyara ambaye alishuhudia kijana akiteswa na kufanyiwa ukatili wa hali ya juu mbele ya aliyekuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Gekul basi...
Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini, (CCM) Reuben Kwagilwa amewatembelea na kutoa misaada kwa wananchi waliathirika na mvua wilayani Handeni, huku akitoa tahadhari kwao.
Akizungumza na baadhi ya...
Tunaposema Sheria ni msumeno ni lazima ionekane !!.
Siwezi kufurahia Hatua ya Rais Samia , hatua inayofata ,SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE.
Hii tabia wanao hawa watu wanaojiita Viongozi, ni vile...
Ingekuwa mawaziri na baadhi ya viongozi wanachomolewa kwa sababu ya skendo basi wengi wangekuwa wametoka. Hakuna serikali ambayo viongozi wana maskendo kama hii awamu ya sita. Kuanzia...