Tanzania Daily News (Dar es Salaam)
7 FEBRUARY 2013
Dodoma - THE government refuted claims that soldiers from neighbouring countries have entered the country and are terrorizing residents in...
Salute wakuu. Moja kwa moja kwenye mada,Kwa sasa ndani ya chama pendwa, chama tawala, chama kiongozi na chama kikuu na kikongwe Afrika na dunia nzima, kuna joto la nani anafaa kushika nafasi ya...
Nina ndoto ya kuwa mwanasiasa. Nataka kushiriki,kama kiongozi wa kisiasa,katika kuiongoza na kuijenga nchi yangu-Tanzania. Nina ndoto ya kuwa mwanasiasa mahiri. Nataka kujiunga na wanasiasa...
Wananchi wa Sae mpya jijini Mbeya wanataka kubomolewa nyumba zao kwa maonevu makubwa. Awali waziri Lukuvi ALIKUJA Kwa Wananchi na kusema umemtuma kurejesha eneo lao ambalo TARI Kwa miaka zaidi ya...
Nakumbuka harakati za ubifsishaji enzi za Mkapa na mwamko uliokuwepo enzi zile dhidi ya mzee Mkapa hasa wakosoaji wakubwa wakiwa wastaafu hasa kundi la Nyerere, wananchi wa kawaida nao wakikomaa...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amewataka Watumishi wote wa Ardhi nchini kutoka maofisini na kwenda kutoa huduma ya wananchi kwa kuanzisha Kliniko ya Ardhi ambayo...
Wanabodi,
Namuangalia Waziri wa Elimu, Prof. Adolph Mkenda akizungumzia hatua za utekelezaji wa sera mpya ya elimu na mtaala mpya wa elimu, kiukweli kabisa Rais Samia apewe maua yake!
Wale...
Tunapoongelea katiba tuangalie pia marekebisho kwenye taratibu za vyama vya siasa. Tuna wabunge wengi ambao ndani ya miaka mitano ya ubunge kuna wabunge hawajawahi kuongea chochote bungeni iwe kwa...
Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa leo saa moja asubuhi amefanya ziara ya kushtukuza katika ofisi za kitengo cha Ardhi za Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa ajili ya...
1. Mpeni maua yake Dr Samia anajitahidi sana kuifanya CCM iendelee kuwa Chama cha kutumainiwa.
2. Tunaelekea uchaguzi mwakani, ile ya kufikilia (kujua kusoma na kuandika) ni sifa pekee ya kumpa...
Katika chata letu kuna siri kali. M/kiti ni rahisi, kila kitu. Ni muungu unaopaswa kuabudiwa na kusifiwa hata unapoboronga au kukosea. Ukiwa M/kiti, unaweza kumteua umtakaye akuhusu au asikuhusu...
Katika oparesheni kabambe inayoendelea ya kutokomeza CCM Mbarali , kikundi cha Diaspora kikiongozwa na TL Marandu kimenunua Zizi la Mbuzi kwa ajili ya nyama choma ya Watenda kazi hiyo ya...
Salaam Mkuu,
Sasa Wiki mbili zimeisha baada ya aliyekuwa mkuu wa Mkuu wa Mkoa wa Dar kutenguliwa Cheo chake hicho baada ya yeye kuamua kugombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni ambapo kura zake...
Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika Jijini Arusha nchini Tanzania, umeridhia Nchi ya Somalia kujiunga na EAC na sasa inakuwa Mwanachama wa nane wa...
WanaJF,
Nashauri kuanzia leo tususie biashara zote anazofanya huyu mbunge wa Babati kwa kitendo chake cha unyanyasaji. Naomba anayezifahamu aweke majina yake hapa.
Tuanze na hiyo hoteli inaitwa...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kupitia Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini, Prof. Charles Mkony wameiomba Serikali kuangalia namna ya kuwapunguzia deni ambalo wanadaiwa kutokana...
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Godfrey Chongolo kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Samia Suluhu Hassan, anakupongeza Ndg. John Keshokutwa Madenge kwa...
Wananchi wa maeneo ya Sae na Ituha Jijini Mbeya wamekuwa na mgogoro mkubwa na Wizara ya Kilimo Kupitia Chuo Cha Utafiti TARI Uyole kwamba wamevamia eneo la Chuo na kujenga makazi.
Wizara ya...
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Mwekezaji na Mfanyabiashara wa Kimataifa , Bilionea Joseph Mbilinyi , amekurana na kuchota busara kutoka kwa Mwenyekiti wa Mwl Nyerere Foundation , Joseph Butiku ...