Mbeya: Mpango wa Serikali kulipa mabilioni ya fidia kuhamisha watu eneo la Sae na Ituha Kupisha Chuo cha TARI ni matumizi mabaya ya pesa za walipakodi

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,046
49,730
Wananchi wa maeneo ya Sae na Ituha Jijini Mbeya wamekuwa na mgogoro mkubwa na Wizara ya Kilimo Kupitia Chuo Cha Utafiti TARI Uyole kwamba wamevamia eneo la Chuo na kujenga makazi.

Wizara ya Kilimo inadai Wananchi wamevamie eneo la Ukubwa ekari 60 ambazo wao walitenga Kwa Ajili ya kuweka miundombinu na mashamba ya Utafiti Kupitia TARI Uyole.

Kwamba Sasa Serikali inataka iwahamishe kwenye eneo Hilo lakini Wananchi wamekataa Kwa sababu mbalimbali ikiwemo kwamba Hilo eneo waliopewa vibali vya ujenzi na fidia ndogo ambayo Serikali inataka kuwapa japo ni mabilioni ya pesa.

Nini hoja yangu.

-Serikali walikuwa wapi Hadi watu zaidi ya 1000 wanafanya uendelezaji wa eneo Hilo na wao wako kimya?

-Kwa nini Serikali ing'ang'anie eneo la mjini tena Kwa kuwalipa fidia watu ambao wameendeleza maeneo hayo Kwa sehemu kubwa kiasi hiki? Hapo Sae Kuna majengo mengi ya Gharama kubwa.

-Kwa nini Serikali ilipe fidia ya mabilioni pesa za Walipakodi wakati wanaweza kwenda kununua eneo jingine Nje ya Jiji au Wilayani Kwa bei nafuu na wakaendeleza utafiti wao?

Binafsi naona hii sio jambo zuri na halikubaliki.Kwanza sikubalini na kujenga vyuo vya masuala ya Kilimo na mifugo mjini.

Mjini hakutakiwi kuwe na mashamba Bali biashara,bustani, taasisi,makazi nk.Kwa Mbeya eneo Katibu lote la Uyole ni mashamba ya Chuo Cha Kilimo Uyole.On top of that Kuna mashamba mengine makubwa ya JKT hapo hapo Uyole.

Pia kule Itende Kuna mashamba ya JKT wanalima Hadi Kahawa.Sasa Kwa Jiji kama Mbeya lenye uhaba wa Ardhi Jijini inakuaje Serikali inalazimisha kuwa na mashamba ya taasisi mjini? Tena Yako kwenye sura ya Jiji kabisa sehemu ambazo zingefaa kufanya uendelezaji wa Jiji.

Niiombe Serikali ihamishe taasisi zake kama Chuo Cha Uyole na Kambi za JKT Ili maeneo hayo yachukuliwe na Jiji Ili kufanya uendelezaji wa Jiji.

Tanzania haina upungufu wa maeneo,toeni taasisi zenu hizo ziende maeneo ya mashambani huko Wilayani Ili wakalime na kufanya shughuli zao Kwa uhuru huko badala ya Kugeuza Jiji kuwa mashamba ya maharage,Ngano,mahindi na kahawa Kwa visingizio visivyo na Tija.

Wananchi msikubali kuondoka hapo, Serikali ndio iondoe Vyuo vyao katikati ya Jiji Ili kutoa fursa ya Jiji kukua na kupangwa vizuri liwe la Kisasa kama Majiji mengine badala ya kuwa Mashamba.

Tunaomba Watu wa Tume ya Mipango na Wizara ya Ardhi mumshauri Rais afute Mashamba mjini Ili hizo taasisi zipewe maeneo mengine mawilayani huko ambako Kuna maeneo ya kutosha ya mashamba.

Wananchi wa Mbeya wanataka Jiji lao Lijengwe na kupangwa Upya na eneo la Uyole ndio eneo liko Kwenye uso wa Jiji hivyo likipimwa kama Viwanja na kuendelezwa litabadili sura ya Jiji la Mbeya.

View: https://youtu.be/alHTGZXe3bU?si=2xQbqhglFLO_Ryi4
 
Wananchi wa maeneo ya Sae na Ituha Jijini Mbeya wamekuwa na mgogoro mkubwa na Wizara ya Kilimo Kupitia Chuo Cha Utafiti TARI Uyole kwamba wamevamia eneo la Chuo na kujenga makazi.

Wizara ya Kilimo inadai Wananchi wamevamie eneo la Ukubwa ekari 60 ambazo wao walitenga Kwa Ajili ya kuweka miundombinu na mashamba ya Utafiti Kupitia TARI Uyole.

Kwamba Sasa Serikali inataka iwahamishe kwenye eneo Hilo lakini Wananchi Baadhi Yao wamekataa Kwa sababu mbalimbali ikiwemo fidia ndogo ambayo Serikali inataka kuwapa japo ni mabilioni ya pesa.

Dah mbeya wanazidi kuipoteza kwenye Raman kwa Nini wasiende rungwe au tukuyu hko maana kwa Sasa jiji la mbeya limejaa litatanukia wap wakipata mradi mkubwa lazima uende wilayan au mikoa ya jirani njombe na songwe
 
Lazima tujifunze kuheshimu mipango miji na ifike mahali watu wajifunze kujenga baada ya kupewa vibali husika.

Naunga mkono uamuzi wa Serikali. Tukiendekeza unachosema hii nchi yote itajengwa hovyo na kuharibiwa saaana.
 
Bashungwa,
Hayo kwenye baraza lenu huko umeyasema?
Ebu yaseme kwanza huko kwenye vikao vyenu uwekwe bench ndo ujue kuwa unafiki wa kutegemea wengine haufahi.
 
Mkuu upo sahihi Bi.Mkubwa wangu anaishi Ituha na hilo eneo la TARI Uyole kwa kweli lipo uchi kwa miaka mingi,walioshindwa ata kuweka fensi leo Wananchi wamevamia,serikali inapoga kelele.Ushauri wako ni mzuri,TARI wahame pale ujengwe mji wa kisasa.
 
Dah mbeya wanazidi kuipoteza kwenye Raman kwa Nini wasiende rungwe au tukuyu hko maana kwa Sasa jiji la mbeya limejaa litatanukia wap wakipata mradi mkubwa lazima uende wilayan au mikoa ya jirani njombe na songwe
Wanakera sana hao Wizara ya Kilimo
 
Lazima tujifunze kuheshimu mipango miji na ifike mahali watu wajifunze kujenga baada ya kupewa vibali husika.

Naunga mkono uamuzi wa Serikali. Tukiendekeza unachosema hii nchi yote itajengwa hovyo na kuharibiwa saaana.
Hiyo mipango Miji yenu ndio ilikuwa inaweka mashamba mjini si ndio? Acha upumbavu basi.Peleka mashamba Wilayani Panga Mji.

Hayo mabilioni kayatumieni Kuendeleza mashamba ya Utafiti Vijijini badala ya kulipa fidia mjini.

Kwanza Chuo kitoke mjini ,tupange mji kwenye matumizi ya kukuza Jiji sio kulimia maharage.
 
Wapumbavu ni waliojenga bila kufuata taratibu.

Hakuna shida mashamba kuwa mjini as long ad hiyo taasisi ipo kiutafiti zaidi.

Kuna shida kubwa sana Tanzania ya watu kujenga bila kufuata taratibu. Tuanze kujisahihisha kwenye hilo na tujenge utamaduni wa kufuata taratibu ili tujenge jamii nzuri inayojua kuwajibika.

Ujenzi wa watu kujenga kwa kujiamulia tu ndo umefanya Mbeya kuwa mkoa uliojengwa vibaya zaidi kuliko mkoa wowote hapa Tanzania.
 
Wananchi wa maeneo ya Sae na Ituha Jijini Mbeya wamekuwa na mgogoro mkubwa na Wizara ya Kilimo Kupitia Chuo Cha Utafiti TARI Uyole kwamba wamevamia eneo la Chuo na kujenga makazi.

Wizara ya Kilimo inadai Wananchi wamevamie eneo la Ukubwa ekari 60 ambazo wao walitenga Kwa Ajili ya kuweka miundombinu na mashamba ya Utafiti Kupitia TARI Uyole.

Kwamba Sasa Serikali inataka iwahamishe kwenye eneo Hilo lakini Wananchi Baadhi Yao wamekataa Kwa sababu mbalimbali ikiwemo fidia ndogo ambayo Serikali inataka kuwapa japo ni mabilioni ya pesa.

Nini hoja yangu.

-Serikali walikuwa wapi Hadi watu zaidi ya 1000 wanafanya uendelezaji wa eneo Hilo na wao wako kimya?

-Kwa nini Serikali ing'ang'anie eneo la mjini tena Kwa kuwalipa fidia watu ambao wameendeleza maeneo hayo Kwa sehemu kubwa kiasi hiki? Hapo Sae Kuna majengo mengi ya Gharama kubwa.

-Kwa nini Serikali ilipe fidia ya mabilioni pesa za Walipakodi wakati wanaweza kwenda kununua eneo jingine Nje ya Jiji au Wilayani Kwa bei nafuu na wakaendeleza utafiti wao?

Binafsi naona hii sio jambo zuri na halikubaliki.Kwanza sikubalini na kujenga vyuo vya masuala ya Kilimo na mifugo mjini.

Mjini hakutakiwi kuwe na mashamba Bali biashara,bustani, taasisi,makazi nk.Kwa Mbeya eneo Katibu lote la Uyole ni mashamba ya Chuo Cha Kilimo Uyole.On top of that Kuna mashamba mengine makubwa ya JKT hapo hapo Uyole.

Pia kule Itende Kuna mashamba ya JKT wanalima Hadi Kahawa.Sasa Kwa Jiji kama Mbeya lenye uhaba wa Ardhi Jijini inakuaje Serikali inalazimisha kuwa na mashamba ya taasisi mjini? Tena Yako kwenye sura ya Jiji kabisa sehemu ambazo zingefaa kufanya uendelezaji wa Jiji.

Niiombe Serikali ihamishe taasisi zake kama Chuo Cha Uyole na Kambi za JKT Ili maeneo hayo yachukuliwe na Jiji Ili kufanya uendelezaji wa Jiji.

Tanzania haina upungufu wa maeneo,toeni taasisi zenu hizo ziende maeneo ya mashambani huko Wilayani Ili wakalime na kufanya shughuli zao Kwa uhuru huko badala ya Kugeuza Jiji kuwa mashamba ya maharage,Ngano,mahindi na kahawa Kwa visingizio visivyo na Tija.

Wananchi msikubali kuondoka hapo, Serikali ndio iondoe Vyuo vyao katikati ya Jiji Ili kutoa fursa ya Jiji kukua na kupangwa vizuri liwe la Kisasa kama Majiji mengine badala ya kuwa Mashamba.

Tunaomba Watu wa Tume ya Mipango na Wizara ya Ardhi mumshauri Rais afute Mashamba mjini Ili hizo taasisi zipewe maeneo mengine mawilayani huko ambako Kuna maeneo ya kutosha ya mashamba.

Wananchi wa Mbeya wanataka Jiji lao Lijengwe na kupangwa Upya na eneo la Uyole ndio eneo liko Kwenye uso wa Jiji hivyo likipimwa kama Viwanja na kuendelezwa litabadili sura ya Jiji la Mbeya.

View: https://youtu.be/alHTGZXe3bU?si=2xQbqhglFLO_Ryi4

Mkuu umenena vyema sana, serikali na watumishi wake wameamua kutofikiria miaka 15 ijayo. Hapa kuna taasisi tatu za serikali zinazomiliki mamia ya ekari (Chuo cha kilimo Uyole-MATI, Taasisi ya utafiti wa kilimo-TARI na taasisi ya utafiti wa mifugo-TARILI). Hao TARI wana eneo kubwa sana kuanzia kituo cha dalala cha kilimo hadi Saye ukifuatia barabara ya TANZAM, then unaingia ndani hadi Ituha, ni eneo kubwa kwelikweli na kiasi kikubwa wanalitumia kulima ngano na mazao mengine kibiashara. Eneo kwa ajili ya majaribio ya Mbegu si kubwa kihivyo. Wazo lako la kuachia maeneo hayo kuwa la makazi na biashara ni wazo sahihi kabisa, jiji linakuwa . Uyole hata kituo cha daladala hakuna kwani MATI wanahodhi eneo lote hilo hadi Uyole njia panda.
 
Mkuu umenena vyema sana, serikali na watumishi wake wameamua kutofikiria miaka 15 ijayo. Hapa kuna taasisi tatu za serikali zinazomiliki mamia ya ekari (Chuo cha kilimo Uyole-MATI, Taasisi ya utafiti wa kilimo-TARI na taasisi ya utafiti wa mifugo-TARILI). Hao TARI wana eneo kubwa sana kuanzia kituo cha dalala cha kilimo hadi Saye ukifuatia barabara ya TANZAM, then unaingia ndani hadi Ituha, ni eneo kubwa kwelikweli na kiasi kikubwa wanalitumia kulima ngano na mazao mengine kibiashara. Eneo kwa ajili ya majaribio ya Mnegu si kubwa kihivyo. Wazo lako la kuachia maeneo hayo kuwa la makazi na biashara ni wazo sahihi kabisa, jiji linakuwa . Uyole hata kituo cha daladala hakuna kwani MATI wanahodhi eneo lote hilo hadi Uyole njia panda.
Lile eneo wamechukua kubwa mno ukiangalia saiz mbeya haieleweki itaendelea kutanukia wap wamehodhi eneo kubwa mno asee mbeya inafifishwa
 
Wananchi wa maeneo ya Sae na Ituha Jijini Mbeya wamekuwa na mgogoro mkubwa na Wizara ya Kilimo Kupitia Chuo Cha Utafiti TARI Uyole kwamba wamevamia eneo la Chuo na kujenga makazi.

Wizara ya Kilimo inadai Wananchi wamevamie eneo la Ukubwa ekari 60 ambazo wao walitenga Kwa Ajili ya kuweka miundombinu na mashamba ya Utafiti Kupitia TARI Uyole.

Kwamba Sasa Serikali inataka iwahamishe kwenye eneo Hilo lakini Wananchi Baadhi Yao wamekataa Kwa sababu mbalimbali ikiwemo fidia ndogo ambayo Serikali inataka kuwapa japo ni mabilioni ya pesa.

Nini hoja yangu.

-Serikali walikuwa wapi Hadi watu zaidi ya 1000 wanafanya uendelezaji wa eneo Hilo na wao wako kimya?

-Kwa nini Serikali ing'ang'anie eneo la mjini tena Kwa kuwalipa fidia watu ambao wameendeleza maeneo hayo Kwa sehemu kubwa kiasi hiki? Hapo Sae Kuna majengo mengi ya Gharama kubwa.

-Kwa nini Serikali ilipe fidia ya mabilioni pesa za Walipakodi wakati wanaweza kwenda kununua eneo jingine Nje ya Jiji au Wilayani Kwa bei nafuu na wakaendeleza utafiti wao?

Binafsi naona hii sio jambo zuri na halikubaliki.Kwanza sikubalini na kujenga vyuo vya masuala ya Kilimo na mifugo mjini.

Mjini hakutakiwi kuwe na mashamba Bali biashara,bustani, taasisi,makazi nk.Kwa Mbeya eneo Katibu lote la Uyole ni mashamba ya Chuo Cha Kilimo Uyole.On top of that Kuna mashamba mengine makubwa ya JKT hapo hapo Uyole.

Pia kule Itende Kuna mashamba ya JKT wanalima Hadi Kahawa.Sasa Kwa Jiji kama Mbeya lenye uhaba wa Ardhi Jijini inakuaje Serikali inalazimisha kuwa na mashamba ya taasisi mjini? Tena Yako kwenye sura ya Jiji kabisa sehemu ambazo zingefaa kufanya uendelezaji wa Jiji.

Niiombe Serikali ihamishe taasisi zake kama Chuo Cha Uyole na Kambi za JKT Ili maeneo hayo yachukuliwe na Jiji Ili kufanya uendelezaji wa Jiji.

Tanzania haina upungufu wa maeneo,toeni taasisi zenu hizo ziende maeneo ya mashambani huko Wilayani Ili wakalime na kufanya shughuli zao Kwa uhuru huko badala ya Kugeuza Jiji kuwa mashamba ya maharage,Ngano,mahindi na kahawa Kwa visingizio visivyo na Tija.

Wananchi msikubali kuondoka hapo, Serikali ndio iondoe Vyuo vyao katikati ya Jiji Ili kutoa fursa ya Jiji kukua na kupangwa vizuri liwe la Kisasa kama Majiji mengine badala ya kuwa Mashamba.

Tunaomba Watu wa Tume ya Mipango na Wizara ya Ardhi mumshauri Rais afute Mashamba mjini Ili hizo taasisi zipewe maeneo mengine mawilayani huko ambako Kuna maeneo ya kutosha ya mashamba.

Wananchi wa Mbeya wanataka Jiji lao Lijengwe na kupangwa Upya na eneo la Uyole ndio eneo liko Kwenye uso wa Jiji hivyo likipimwa kama Viwanja na kuendelezwa litabadili sura ya Jiji la Mbeya.

View: https://youtu.be/alHTGZXe3bU?si=2xQbqhglFLO_Ryi4

Nchi imejaa wajinga hii kuanzia juu kabisa hadi chini huku
 
Lazima tujifunze kuheshimu mipango miji na ifike mahali watu wajifunze kujenga baada ya kupewa vibali husika.

Naunga mkono uamuzi wa Serikali. Tukiendekeza unachosema hii nchi yote itajengwa hovyo na kuharibiwa saaana.
Hujui unachokiongea hata kidogo. Hizo pesa za fidia wangeenda hata huko Mbarali na Rungwe wanunue maeneo kwa ajili ya tafiti zao. Eneo lote linalopakana na barabara kuu ya kuelekea Zambia wangeliachia mara moja kwa matumizi ya umma (kuweka jiji sawa). Hata hao SUMA JKT hapo kituo cha daladala darajani jirani na nane nane waondoke mara moja, na wale pale Simike (Itende JKT) wanaolima kahawa, kufyatua matofali, wana car wash na pub huku wakihodhi eneo kubwa sana barabarani kabisa lisilotumika kabisa. Hao wote waende maporini huko waachie mji utanuke.
 
Lile eneo wamechukua kubwa mno ukiangalia saiz mbeya haieleweki itaendelea kutanukia wap wamehodhi eneo kubwa mno
Yaani hizo taasisi 3 nilizotaja zinaweza kuwa na ekari zaidi ya 600 kwa makadirio ya chini kabisa
 
Hujui unachokiongea hata kidogo. Hizo pesa za fidia wangeenda hata huko Mbarali na Rungwe wanunue maeneo kwa ajili ya tafiti zao. Eneo lote linalopakana na barabara kuu ya kuelekea Zambia wangeliachia mara moja kwa matumizi ya umma (kuweka jiji sawa). Hata hao SUMA JKT hapo kituo cha daladala darajani jirani na nane nane waondoke mara moja, na wale pale Simike (Itende JKT) wanaolima kahawa, kufyatua matofali, wana car wash na pub huku wakihodhi eneo kubwa sana barabarani kabisa lisilotumika kabisa. Hao wote waende maporini huko waachie mji utanuke.
Mji utanuke kwa huo ujenzi wenu wa hovyo???
Kuna faida gani ya mji kutanuka kwa ujenzi wenu wa hovyo usiozingatia mipango miji na ujenzi wa mpangilio??

Hakuna shida. Serikali ishikilie hapo hapo. Lazima ifike mahali tujifunze kuishi kwa utaratibu fulani.
 
Back
Top Bottom