Nataka kuwa mwanasiasa

Nataka kuwa mwanasiasa

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,143
Nina ndoto ya kuwa mwanasiasa. Nataka kushiriki,kama kiongozi wa kisiasa,katika kuiongoza na kuijenga nchi yangu-Tanzania. Nina ndoto ya kuwa mwanasiasa mahiri. Nataka kujiunga na wanasiasa vijana waadilifu na wenye uchungu wa kweli wa ukombozi wa kifikra na kiuchumi wa watanzania.Ni mzaliwa wa Wilaya ya Kibaha,Mkoa wa Pwani ingawa ni mngoni. Tanzania yetu inaruhusu kuchanganyika kama hivi.

Sasa nina miaka thelathini.Ni msomi wa sheria kwa Shahada ya kwanza niliyohitimu mwaka 2009 katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Nikiwa shuleni na Chuo Kikuu na hata Taasisi ya Mafunzo ya Sheria kwa Vitendo,almaarufu kama Law School of Tanzania,nimewahi kuwa kiongozi wa ngazi mbalimbali.Nilianzia umonita hadi Urais.CV yangu ikihitajika nitaiweka hapa

Wajuzi wa siasa za nchi hii niongozeni.Nifanyaje? Chama gani cha kisiasa kitanifaa? Kwanini? Nisaidieni wakuu
 
Mkuu siasa imekuwa ajira siku hizi, wewe nenda unaapoona ni rahisi kwako kurudi nyumbani na mfuko wa unga na fungu la dagaa. Ila ningekuwa ni mmi ningekomaa kwenye taaluma ya sheria hadi hapo siasa itakapokuwa inanihitaji kwa sasa kwako wewe ni mapema sana kuitwa na siasa zaidi uende kujitongozesha tu wakubwa.
 
Nina ndoto ya kuwa mwanasiasa. Nataka kushiriki,kama kiongozi wa kisiasa,katika kuiongoza na kuijenga nchi yangu-Tanzania. Nina ndoto ya kuwa mwanasiasa mahiri. Nataka kujiunga na wanasiasa vijana waadilifu na wenye uchungu wa kweli wa ukombozi wa kifikra na kiuchumi wa watanzania.Ni mzaliwa wa Wilaya ya Kibaha,Mkoa wa Pwani ingawa ni mngoni. Tanzania yetu inaruhusu kuchanganyika kama hivi.

Sasa nina miaka thelathini.Ni msomi wa sheria kwa Shahada ya kwanza niliyohitimu mwaka 2009 katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Nikiwa shuleni na Chuo Kikuu na hata Taasisi ya Mafunzo ya Sheria kwa Vitendo,almaarufu kama Law School of Tanzania,nimewahi kuwa kiongozi wa ngazi mbalimbali.Nilianzia umonita hadi Urais.CV yangu ikihitajika nitaiweka hapa

Wajuzi wa siasa za nchi hii niongozeni.Nifanyaje? Chama gani cha kisiasa kitanifaa? Kwanini? Nisaidieni wakuu
wewe ni nini kinachikushwawishi kufikiri unatakiwa kuwa mwanasiasa?ni nani role model wako katika siasa na kwa nini?kabla ya kukushauri chama cha kujiunga,ina maana mpaka sasa wewe si mwanachama wa chama chochote?kama sio kwa nini?
 
Nina wasiwasi kama wewe ni mtaaluma wa hiyo elimu uliyotaja kuwa nayo. Eti tukutajie chama gani kinachokufaa!!!!!!!!!! Kajiunge na M23.
 
Pitia Sera na Katiba za vyama vya siasa kisha uamue ni kipi kinachokufaa...
Kisha tembelea Tawi la chama hicho eneo ulipo..
Kila la Heri
 
Nina ndoto ya kuwa mwanasiasa. Nataka kushiriki,kama kiongozi wa kisiasa,katika kuiongoza na kuijenga nchi yangu-Tanzania. Nina ndoto ya kuwa mwanasiasa mahiri. Nataka kujiunga na wanasiasa vijana waadilifu na wenye uchungu wa kweli wa ukombozi wa kifikra na kiuchumi wa watanzania.Ni mzaliwa wa Wilaya ya Kibaha,Mkoa wa Pwani ingawa ni mngoni. Tanzania yetu inaruhusu kuchanganyika kama hivi.

Sasa nina miaka thelathini.Ni msomi wa sheria kwa Shahada ya kwanza niliyohitimu mwaka 2009 katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Nikiwa shuleni na Chuo Kikuu na hata Taasisi ya Mafunzo ya Sheria kwa Vitendo,almaarufu kama Law School of Tanzania,nimewahi kuwa kiongozi wa ngazi mbalimbali.Nilianzia umonita hadi Urais.CV yangu ikihitajika nitaiweka hapa

Wajuzi wa siasa za nchi hii niongozeni.Nifanyaje? Chama gani cha kisiasa kitanifaa? Kwanini? Nisaidieni wakuu

Sijawahi kusikia mwanasiasa yoyote duaniani aliyepata kuwa mwanasiasa kwa kutumia njia unayotaka kuitumia wewe. Kila la kheri.

Nina ndoto ya kuwa mwanasiasa. Nataka kushiriki,kama kiongozi wa kisiasa,katika kuiongoza na kuijenga nchi yangu-Tanzania. Nina ndoto ya kuwa mwanasiasa mahiri. Nataka kujiunga na wanasiasa vijana waadilifu na wenye uchungu wa kweli wa ukombozi wa kifikra na kiuchumi wa watanzania.Ni mzaliwa wa Wilaya ya Kibaha,Mkoa wa Pwani ingawa ni mngoni. Tanzania yetu inaruhusu kuchanganyika kama hivi.

Sasa nina miaka thelathini.Ni msomi wa sheria kwa Shahada ya kwanza niliyohitimu mwaka 2009 katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Nikiwa shuleni na Chuo Kikuu na hata Taasisi ya Mafunzo ya Sheria kwa Vitendo,almaarufu kama Law School of Tanzania,nimewahi kuwa kiongozi wa ngazi mbalimbali.Nilianzia umonita hadi Urais.CV yangu ikihitajika nitaiweka hapa

Wajuzi wa siasa za nchi hii niongozeni.Nifanyaje? Chama gani cha kisiasa kitanifaa? Kwanini? Nisaidieni wakuu

Kama unataka kuwa mwanasiasa kupitia wazalendo na wakombozi wa kweli wa tanzania tunayoitaka, unatakiwa kuvaa gwanda ingia kwenye mstari ................... tangaza M4C.

Kama unataka kuwa mwanasiasa kupitia magamba hiyo elimu yako siyo kigezo, unatakiwa uingie chuo cha siasa hapo bagamoyo upewe cheti uwe vuvuzela kama lusinde
 
Nina wasiwasi kama wewe ni mtaaluma wa hiyo elimu uliyotaja kuwa nayo. Eti tukutajie chama gani kinachokufaa!!!!!!!!!! Kajiunge na M23.
Mkuu katalina,mim ni kweli Mwanasheria.Nimemaliza darasa moja na Katibu wa BAVICHA aliyesimamishwa wa Mwanza,Bwana Salvatory Magafu.Nimemaliza darasa la mbele la Esther Wassira ambaye ananifahamu vyema. Sisemi uongo Mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Kabla ya kukushauri chama gani kinaweza kukufaaa ningependa kujua yafuatayo:
  1. Uliwahi kujiunga na chama chochote cha siasa?
  2. Umewahi kusoma katiba za vyama vinavyoexist hapa TZ? Kuna katiba zilizokukonga moyo?
  3. Misimamo yako ya kisiasa inashabihiana na katiba z a vyama gani, kama umewahi kuzisoma?
  4. Unagats za kujihusisha na michezo michafu ya siasa?
 
Mkuu katalina,mim ni kweli Mwanasheria.Nimemaliza darasa moja na Katibu wa BAVICHA aliyesimamishwa wa Mwanza,Bwana Salvatory Magafu.Nimemaliza darasa la mbele la Esther Wassira ambaye ananifahamu vyema. Sisemi uongo Mkuu.

mpaka hapo unaitaka Chadema siyo? Sasa mbona unaomba ushauri kwamba ujiunge na chama gani?
 
Kabla ya kukushauri chama gani kinaweza kukufaaa ningependa kujua yafuatayo:
  1. Uliwahi kujiunga na chama chochote cha siasa?
  2. Umewahi kusoma katiba za vyama vinavyoexist hapa TZ? Kuna katiba zilizokukonga moyo?
  3. Misimamo yako ya kisiasa inashabihiana na katiba z a vyama gani, kama umewahi kuzisoma?
  4. Unagats za kujihusisha na michezo michafu ya siasa?
1. Sijawahi tanu kuzaliwa kwangu 2. Ndio,nimewahi kuzisoma za CCM na CHADEMA 3. Misimamo yangu ni kusimamia haki na kujenga hoja kwa mifano na saabu...sina hakikainashabihiana na chama gani Mkuu.4. Sijawahi Mkuu.Lakini,siamini kwenye michezo michafu...naamini kwenye siasa safi ya kujenga hoja
 
Nina ndoto ya kuwa mwanasiasa. Nataka kushiriki,kama kiongozi wa kisiasa,katika kuiongoza na kuijenga nchi yangu-Tanzania. Nina ndoto ya kuwa mwanasiasa mahiri. Nataka kujiunga na wanasiasa vijana waadilifu na wenye uchungu wa kweli wa ukombozi wa kifikra na kiuchumi wa watanzania.Ni mzaliwa wa Wilaya ya Kibaha,Mkoa wa Pwani ingawa ni mngoni. Tanzania yetu inaruhusu kuchanganyika kama hivi.

Sasa nina miaka thelathini.Ni msomi wa sheria kwa Shahada ya kwanza niliyohitimu mwaka 2009 katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Nikiwa shuleni na Chuo Kikuu na hata Taasisi ya Mafunzo ya Sheria kwa Vitendo,almaarufu kama Law School of Tanzania,nimewahi kuwa kiongozi wa ngazi mbalimbali.Nilianzia umonita hadi Urais.CV yangu ikihitajika nitaiweka hapa

Wajuzi wa siasa za nchi hii niongozeni.Nifanyaje? Chama gani cha kisiasa kitanifaa? Kwanini? Nisaidieni wakuu
Na wewe tafuta AFANDE upige nae picha huku umevaa ki-sisiemu then wale jamaa wa LUMUMBA watakuchukua tuu.
 
Mkuu CHAI CHUNGU,umenichekesha sana.Asante kwa mafunzo yako murua ya juzi na jana katika bandiko lako la mishemishe zako za kimapenzi.Pamoja sana mjeda wangu!
 
Back
Top Bottom