Wajumbe wa kamati kuu hili lenu, kabla hamjatoka Dodoma

Wimbo

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
783
525
1. Mpeni maua yake Dr Samia anajitahidi sana kuifanya CCM iendelee kuwa Chama cha kutumainiwa.

2. Tunaelekea uchaguzi mwakani, ile ya kufikilia (kujua kusoma na kuandika) ni sifa pekee ya kumpa mtu uongozi ikataeni Dunia imebadilika sana. viongozi waandaliwe kwa umakini, watayalishwe wenye uwezo.

3. tulifanya makosa sana kuwategemea wenye ukwasi kana kwamba ndio wanafaa kuwa viongozi wanaNchi wanaumizwa sana na dhana hiyo.

4. Tabia ya wagombea kutumia pesa zao kuhonga ili wapate uongozi jambo ambalo ktk chaguzi zilizopita lilianzia juu hadi chini litaua Chama tena chama ambacho ni cha kidemoclasia.

5. Wakati tunazilaumu halmashauri nyingi kwa hati chafu tusiache kujikosoa kwa makosa tuliyoyafanya kwa aina ya watu tuliowanadi kuwa madiwani ambao ndio watoa idhini ya matumizi katika halmashauri zao, unapokuwa na watu wa (ndiyooo) ambao hawajui wahoji nini kiutalaam tutaendelea kuumia.

6. Mikakati ya kukirudisha chama na hasa viongozi wa chama kuondoka katika kufikilia maslahi binafsi badala ya kufikilia uhai wa chama na hatima ya Tanzania, wengi hatujui endapo CCM ikifa nini kitafuata hata ninyi mnaojikusanyia kwa urafi msiwe na hakika sana anaweza kuingia kichaa atakaye piga mnada mali zenu zote ambazo mmezifisadi kwa wanaNchi, msitoke Dodoma bila kuzingaztia kesho ya CCM na kesho ya Tanzania yetu.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
 
Dr Albert Chalamila PhD

Tunakumbushana t😂
Naona unampigia chapuo homeboy, mnyalu mwenzio. Hendsamu la kihehe tena. Tunamtoa mhehe, tunamweka mhehe. Lakini pia nakumbuka ulitutonya kwa Makonda kuwa KNEC-IEM, mkeka ukatiki.
 
Inategemea unamshauri nani!
Kuna watu/chama huwezi kuwashauri kama walishafungamana na "yule mwovu"
Usipoteze muda wako sana kupingana na mipango ya Mola.
 
Back
Top Bottom