Nani anakumbuka ajali ya msafara wa Rais Hayati Mkapa dhidi ya lori kwenye kona ya Bwiru mkoani Mwanza

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Nakumbuka harakati za ubifsishaji enzi za Mkapa na mwamko uliokuwepo enzi zile dhidi ya mzee Mkapa hasa wakosoaji wakubwa wakiwa wastaafu hasa kundi la Nyerere, wananchi wa kawaida nao wakikomaa na kusema kuwa nchi yao inauzwa Mkapa akawa adui wa watu wengi hadi watu kuita umaskini eti "ukapa" .

Wakati mzee mkapa akiwa ziarani mwanza msafara wake uliokuwa chini ya ulinzi mkali kila kona ilishangaza kuona kosa au nia ovu live ikilenga gari lake kuligonga na kulikosa na kuishia kugonga magari mwengine na kuuwana watu na mzee kunusulika.

Msafara ukiwa unaipita kona ya Bwiru kwa kasi kule juu lori kubwa likavamia, ilionekana kama bahati mbaya lakini haikuwa vile kwa jicho la washauri wake wa usalama na ilibainika kuwa Wala lori lile halikufell break Ila ilikuwa njama ya mauaji na mmakuwa yule.

Wakati bado tunaweza nini kilimtokea Magufuli sasa tunaomba wabaya wanavyo jiapiza dhidi ya Rais Samia kuhusu sera ya ubinafsishaji.

Mungu awe na Rais wetu

CC , Pasco mayalla
Mwanakijiji

USSR
 
Nakumbuka harakati za ubifsishaji enzi za mkapa na mwamko uliokuwepo enzi zile dhidi ya mzee mkapa hasa wakosoaji wakubwa wakiwa wasftafu hasa kundi la Nyerere , wananchi wa kawaida nao wakikomaa na kusema kuwa nchi yao inauzwa mkapa akawa adui wa watu wengi hadi watu kuita umaskini eti "ukapa" .

Wakati mzee mkapa akiwa ziarani mwanza msafara wake uliokuwa chini ya ulinzi mkali kila Kona ilishangaza kuona kosa au nia ovu live ikilenga gari lake kuligonga na kulikosa na kuishia kugonga magari mwengine na kuuwana watu na mzee kunusulika.

Msafara ukiwa unaipita Kona ya bwiru kwa kasi kule juu roli kubwa likavamia, ilionekana Kama bahati mbaya lakini haikuwa vile kwa jicho la washauri wake wa usalama na ilibainika kuwa Wala roli lile halikufell break Ila ilikuwa njama ya mauaji na mmakuwa yule.

Wakati bado tunaweza nini kilimtokea magufuli Sasa tunaomba wabaya wanavyo jiapiza dhidi ya Rais Samia kuhusu sera ya ubifsishaji.

Mungu awe na rais wetu

CC , Pasco mayalla
Mwanakijiji

USSR
Misimamo ya kupigania masilahi ya taifa, dhidi ya mafisadi ndo iliondoa pia uhai wa hayati Sokoine.

Mungu amlinde, amsimamie na kumuongoza raisi wetu.
 
Nakumbuka harakati za ubifsishaji enzi za mkapa na mwamko uliokuwepo enzi zile dhidi ya mzee mkapa hasa wakosoaji wakubwa wakiwa wasftafu hasa kundi la Nyerere , wananchi wa kawaida nao wakikomaa na kusema kuwa nchi yao inauzwa mkapa akawa adui wa watu wengi hadi watu kuita umaskini eti "ukapa" .

Wakati mzee mkapa akiwa ziarani mwanza msafara wake uliokuwa chini ya ulinzi mkali kila Kona ilishangaza kuona kosa au nia ovu live ikilenga gari lake kuligonga na kulikosa na kuishia kugonga magari mwengine na kuuwana watu na mzee kunusulika.

Msafara ukiwa unaipita Kona ya bwiru kwa kasi kule juu roli kubwa likavamia, ilionekana Kama bahati mbaya lakini haikuwa vile kwa jicho la washauri wake wa usalama na ilibainika kuwa Wala roli lile halikufell break Ila ilikuwa njama ya mauaji na mmakuwa yule.

Wakati bado tunaweza nini kilimtokea magufuli Sasa tunaomba wabaya wanavyo jiapiza dhidi ya Rais Samia kuhusu sera ya ubifsishaji.

Mungu awe na rais wetu

CC , Pasco mayalla
Mwanakijiji

USSR
HIYO AJALI ILITOKEA MWAKA GANI?!
 
Back
Top Bottom