CCM yaamua kutuma meseji kwa kila Mtanzania kuwakataa wanaopinga mkataba wa kuuzwa kwa bandari zetu

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
950
2,866
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Godfrey Chongolo kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Samia Suluhu Hassan, anakupongeza Ndg. John Keshokutwa Madenge kwa kuwa mstari wa mbele kukataa wapotoshaji wanaopinga hatua za uboreshwaji wa huduma za Bandari, kama ilivyoelekezwa kwenye Ilani ya CCM.

Chama kitaendelea kuisimamia Serikali itekeleze Ilani ili kutengeneza fursa za maendeleo kwa ajili ya Watanzania wote.

TunaImaniNaSAMIA
 
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Godfrey Chongolo kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Samia Suluhu Hassan, anakupongeza Ndg. John Keshokutwa Madenge kwa kuwa mstari wa mbele kukataa wapotoshaji wanaopinga hatua za uboreshwaji wa huduma za Bandari, kama ilivyoelekezwa kwenye Ilani ya CCM. Chama kitaendelea kuisimamia Serikali itekeleze Ilani ili kutengeneza fursa za maendeleo kwa ajili ya Watanzania wote.
TunaImaniNaSAMIA
Mkuu Mwande, Mwande na Mndewa , CCM inachokifanya ni kitu sahihi, kuwaeleza ukweli wananchi kuwa Bandari yetu/zetu hazijauzwa!, wanaosema Bandari zetu zimeuzwa ni wapotoshaji!.
P
 
Mkuu Pascal,
DPW walijua kunawezekana kukatokea matukio ya kupingwa na Watanzania huko mbele, washapata uzoefu wa kesi kama na Djibouti. Kwa kujua hilo, wametaka kuilinda UAE, wakafanya mikataba bila kutumia jina la UAE, wakitumia jina la Dubai, kwa devolvement kutoka UAE, sisi tukakubali.

Hapo kama kuna kosa ni letu, wao wakiulizwa hawana tabu kuonesha UAE imekubali, this is a business deal,kwa mantiki hiyo Bandari za Tanzania zimeuzwa na waliokubali kusaini mkataba huo wa bandari.
 
Hili mimi nimelieleza vizuri sana kwenye andiko langu Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!
Hapo kama kuna kosa ni letu, wao wakiulizwa hawana tabu kuonesha UAE imekubali, this is a business deal,
Ili kukubali kisheria, lazima kuwepo POA toka UAE kwa Dubai, kisha POA ya Dubai kwa DPW.
kwa mantiki hiyo Bandari za Tanzania zimeuzwa na waliokubali kusaini mkataba huo wa bandari.
Hakuna hata milimita moja ya Bandari yetu iliyouzwa.
P
 
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Godfrey Chongolo kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Samia Suluhu Hassan, anakupongeza Ndg. John Keshokutwa Madenge kwa kuwa mstari wa mbele kukataa wapotoshaji wanaopinga hatua za uboreshwaji wa huduma za Bandari, kama ilivyoelekezwa kwenye Ilani ya CCM. Chama kitaendelea kuisimamia Serikali itekeleze Ilani ili kutengeneza fursa za maendeleo kwa ajili ya Watanzania wote.
TunaImaniNaSAMIA
Bandari imeuzwaje?
 
Hata Itume mashati na kofia Za ccm ,
Watanganyika wamekuwa mbogo!!
 
Mkuu Pascal,
DPW walijua kunawezekana kukatokea matukio ya kupingwa na Watanzania huko mbele, washapata uzoefu wa kesi kama na Djibouti. Kwa kujua hilo, wametaka kuilinda UAE, wakafanya mikataba bila kutumia jina la UAE, wakitumia jina la Dubai, kwa devolvement kutoka UAE, sisi tukakubali.

Hapo kama kuna kosa ni letu, wao wakiulizwa hawana tabu kuonesha UAE imekubali, this is a business deal,kwa mantiki hiyo Bandari za Tanzania zimeuzwa na waliokubali kusaini mkataba huo wa bandari.
Lkn mbona hamtaji bei ilivyouzwa?
 
Hata kutolewa bure ni kuuzwa .
Awamu ya pili na hii ya sita huwa wana tabia Za kuuza Mali Za nchi.
Sijui kwanini waislam wakipewa nchi lazima wauze kwa waarabu vipi nyie na hao waarabu jameni,
Mwinyi - aliuza wanyama wote nakuleta mitumba na tv na kauza ngozi za wanyama kwa waarabu haya.
Kikwete - alikuwa anauza mbuga za wanyama ili aoe mke watatu wa kiarabu ambaye alikuwa princess , akawapa ruksa wachina waje wakavuruge nchi humu.
Huyu sasa Samia anashida kabisa imebaki bandari tu haijauzwa ndio anailipia debe what the heck ??? Shida nini??? Mnachosha sana tuachieni nchi yetu nendeni zanzibar kauzeni kila kitu kwenu
 
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Godfrey Chongolo kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Samia Suluhu Hassan, anakupongeza Ndg. John Keshokutwa Madenge kwa kuwa mstari wa mbele kukataa wapotoshaji wanaopinga hatua za uboreshwaji wa huduma za Bandari, kama ilivyoelekezwa kwenye Ilani ya CCM. Chama kitaendelea kuisimamia Serikali itekeleze Ilani ili kutengeneza fursa za maendeleo kwa ajili ya Watanzania wote.
TunaImaniNaSAMIA
Daniel Chongolo ??
Godfrey Chongolo??
 
Sijui kwanini waislam wakipewa nchi lazima wauze kwa waarabu vipi nyie na hao waarabu jameni,
Mwinyi - aliuza wanyama wote nakuleta mitumba na tv na kauza ngozi za wanyama kwa waarabu haya.
Kikwete - alikuwa anauza mbuga za wanyama ili aoe mke watatu wa kiarabu ambaye alikuwa princess , akawapa ruksa wachina waje wakavuruge nchi humu.
Huyu sasa Samia anashida kabisa imebaki bandari tu haijauzwa ndio anailipia debe what the heck ??? Shida nini??? Mnachosha sana tuachieni nchi yetu nendeni zanzibar kauzeni kila kitu kwenu
Hawataki kufanya kazi Kwa Indio na kutumia akili nyingi.
Ni wavivu sana.
 
Back
Top Bottom