Ukitaka kujua mimi ni nani, tazama marafiki zangu, watu walionitengeneza na wanaonizunguka

yvegenc prymacov

JF-Expert Member
Jan 22, 2023
1,526
1,913
Salute wakuu. Moja kwa moja kwenye mada,Kwa sasa ndani ya chama pendwa, chama tawala, chama kiongozi na chama kikuu na kikongwe Afrika na dunia nzima, kuna joto la nani anafaa kushika nafasi ya ukatibu mkuu.

Kuna watu wanatajwa tajwa kuwa wanastahili kushika huo wadhifa mkubwa ktk chama chenye mrengo wa kijamaa,watu hao ni:

1. Dkt. Bashilu Ally
2. Mr. Chalamila
3. Mr. Polepole
4. Mr. Nchimbi,

Mie ninaomba nijikite kwa Mr nchimbi,kwa mtizamo wangu, Mr Emanuel nchimbi hafai kubeba mkoba wa ukatibu mkuu.hii ni kwa sababu ya aina ya watu waliomtengeneza na wanao mzunguka,sifa na tabia zao kwa nchi si njema.

Emmanuel Nchimbi ndiye alikuwaga kiungo kikuu kwenye lile genge la boys 2man,genge ambalo mwalim Nyerere alilikataa,genge la Rostam aziz, Lowassa na Kikwete. Hawa ndio walimtengeneza Nchimbi, na mpk leo ndio watu wanaomzunguka. Hivyo Nchimbi akikabidhiwa ukatibu mkuu, maana yake chama umekikabidhi kwa mbweha. Hivyo nchimbi hafai, kwa sasa chama kinatakiwa akabidhiwe mtu msafi na asiye na element za ufisadi.
 
Watu wengi huwa wanakurupuka hawamjui Nchimbi. Wanaishia tu Nchimbi Nchimbi.

Kifupi Nchimbi ni muasisi wa mitandao na anao mtandao wake maslahi ambao anauamini. Huko unakosema kwa Kikwete, Nchimbi alishatoka akabaki na Lowasa. Ndio maana ile 2015 ye ndio alikuwa kiongozi wa kundi la Lowasa nyuma yake akiwemo Sofia Simba aliyewahi kumuita Lowasa mwanaume wa shoka, pamoja na Kingunge ambao walimtishia JK kukata rufaa kwa maamuzi ya kamati kuu kumkata Lowasa.

Pia wao walianzisha ule wimbo tuna imani na Lowasa huku JK akitoa macho tu.

Lakini ni mtu anayependa sana madaraka kiasi cha kutishia uhai wa mtu yeyote anayeonekana threat kwake. Miaka kadhaa nyuma akiwa mwenyekiti wa UVCCM kuelekea uchaguzi alijitokeza Amina Chifupa kushindana akiwa anakubalika haswa. Jamaa alimpiga Amina biti kali sana hadi Amina akashtaki kwa Kikwete.

Kwenye ile meseji Chifupa alimjibu hivi, "yote haya nimeyafikisha kwa mwenyekiti, ccm sio chama chako na kila mtu ana haki ya kugombea nafasi yoyote".

Nchimbi ni mzoefu sana kwenye chama ila yupo kwa maslahi yake zaidi na si vinginevyo.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Paragraph ya mwisho inaonesha Nchimbi hafai kuwa ktk nafasi hiyo ya chama.
 
Salute wakuu. Moja kwa moja kwenye mada,Kwa sasa ndani ya chama pendwa, chama tawala, chama kiongozi na chama kikuu na kikongwe Afrika na dunia nzima, kuna joto la nani anafaa kushika nafasi ya ukatibu mkuu.

Kuna watu wanatajwa tajwa kuwa wanastahili kushika huo wadhifa mkubwa ktk chama chenye mrengo wa kijamaa,watu hao ni;
1. Dkt. Bashilu Ally,
2. Mr. Chalamila
3. Mr. Polepole
4. Mr. Nchimbi,

Mie ninaomba nijikite kwa Mr nchimbi,kwa mtizamo wangu, Mr Emanuel nchimbi hafai kubeba mkoba wa ukatibu mkuu.hii ni kwa sababu ya aina ya watu waliomtengeneza na wanao mzunguka,sifa na tabia zao kwa nchi si njema.

Emmanuel Nchimbi ndiye alikuwaga kiungo kikuu kwenye lile genge la boys 2man,genge ambalo mwalim nyerere alilikataa,genge la Rostam aziz, Lowassa na Kikwete. Hawa ndio walimtengeneza nchimbi,na mpk leo ndio watu wanaomzunguka.hivyo nchimbi akikabidhiwa ukatibu mkuu,maana yake chama umekikabidhi kwa mbweha.hivyo nchimbi hafai,kwa sasa chama kinatakiwa akabidhiwe mtu msafi na asiye na element za ufisadi.
Aletwe mtu mpya. Achaneni na majina yale yale.
 
Watu wengi huwa wanakurupuka hawamjui Nchimbi. Wanaishia tu Nchimbi Nchimbi.

Kifupi Nchimbi ni muasisi wa mitandao na anao mtandao wake maslahi ambao anauamini. Huko unakosema kwa Kikwete, Nchimbi alishatoka akabaki na Lowasa. Ndio maana ile 2015 ye ndio alikuwa kiongozi wa kundi la Lowasa nyuma yake akiwemo Sofia Simba aliyewahi kumuita Lowasa mwanaume wa shoka, pamoja na Kingunge ambao walimtishia JK kukata rufaa kwa maamuzi ya kamati kuu kumkata Lowasa.

Pia wao walianzisha ule wimbo tuna imani na Lowasa huku JK akitoa macho tu.

Lakini ni mtu anayependa sana madaraka kiasi cha kutishia uhai wa mtu yeyote anayeonekana threat kwake. Miaka kadhaa nyuma akiwa mwenyekiti wa UVCCM kuelekea uchaguzi alijitokeza Amina Chifupa kushindana akiwa anakubalika haswa. Jamaa alimpiga Amina biti kali sana hadi Amina akashtaki kwa Kikwete.

Kwenye ile meseji Chifupa alimjibu hivi, "yote haya nimeyafikisha kwa mwenyekiti, ccm sio chama chako na kila mtu ana haki ya kugombea nafasi yoyote".

Nchimbi ni mzoefu sana kwenye chama ila yupo kwa maslahi yake zaidi na si vinginevyo.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Nchimbi hakuaondoka kwenye lilie kundi la the boys 2 man,ila lowassa ndio aliondoka kwa masirahi yake. Hili kundi bado lipo,na lipo hai,na nchimbi ni mtiifu kwa huo mtandao,na huo mtandao ndio unaoitafuna nchi mpk mda huu.
 
Yule ni comedian,hawezi kuongoza taasisi nzito kama CCM!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Ikiwa kaaminiwa na maza hadi akaukwaa ugavana wa jiji kuu lenye kila aina uchafu akapiga kazi atamwitaje ni comedian ilhali yupo anapiga kazi kisawasawa?

Anaweza kuongoza CCM, kumbuka hata Bashite hana tofauti sana na huyo dogo so usishangae akiukwaa ukatibu.
 
Nchimbi hakuaondoka kwenye lilie kundi la the boys 2 man,ila lowassa ndio aliondoka kwa masirahi yake. Hili kundi bado lipo,na lipo hai,na nchimbi ni mtiifu kwa huo mtandao,na huo mtandao ndio unaoitafuna nchi mpk mda huu.
Kundi lilikufa kifocha mende wakagawana mbao. Otherwise Lowasa angekuwa rais.

Kundi lilipitishana kwenye mpito mgumu sana mpaka mzee Lowasa kupata stroke.

Back
Top Bottom