Dk. Nchimbi tulia! Mwosha huoshwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dk. Nchimbi tulia! Mwosha huoshwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sam, Oct 6, 2007.

 1. S

  Sam JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2007
  Joined: Jun 6, 2006
  Messages: 416
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Naomba nianze kwa kuomba msamaha kwa kweli kila nikisikia huyu jamaa kafungua domo lake nashindwa kulala naweweseka wiki nzima. Nchimbi, najua unapita hapa kila siku ila kwa taarifa yako tu kama Slaa ni mzushi basi wewe ni nunda.
  Maneno yako yanaweza kuwa ya ukweli, kama wewe ulivyompaka matope mzee wa watu Malecela mpaka pale Dodoma akaingilia mlango wa uwani wewe na manunda wenzako mkimuimbia nyimbo za kejeli basi na wewe sasa unajipata matope mwenyewe kuwa ni nunda wa kutupwa achilia mbali hiyo digrii yako ya kuokota. Mshenzi we.
  Kama bajeti ni nzuri sasa mnangojea nini kutekeleza yaliyomo humo ndani ya bajeti? Hivi kama mkipita na kuwaambia wananchi bajeti nzuri how is going to help them kama hakuna utekelezaji. Nunda we.
  Watch your words, it is just the matter of time kabla hatujaingia full time na kuwaondoa madarakani. Time is running you better clean your house, guys.

  Hapa ndiyo umeonyesha ununda wako. Uliposema Bunge la Congress ulikuwa unamanaisha nini? Bunge na Congress ni vitu viwili tofauti my friend. Kwa kuwa umeambiwa kuwa vyombo kazi zake ni u-make laws basi ni vitu sawa. Bunge na Congress ni Legislative Branches za serikali. Kuna serikali nyingine zinafuata parliamentary systems kama sisi na hatuwezi kuwa na vyote na nyiingine congressional system. Congress imegawanyika katika sehemu mbili Senate na House of representative. Senate ina president ambaye kwa US ni vice president na House inaongozwa na speaker na wajumbe wake wanapatikana kutoka congressional districts. Nunda we do your home work. Najua mkutano ulikuwa closed door lakini tumepata pumba zako.

  WOW!.. Kwa hiyo rais akiwa Ikulu analinda njiwa.. Holy Satan help this guy.

  Please don't kill him.

  Tumieni vizuri hiyo ridhaa ya wananchi wanaweza kuichukua muda wowote. Njoo kijiwe chako cha zamani kupata uwaziri mdogo ndiyo ukatukimbia kabisa. Tutaendelea kumkoma nyani giladi mchana kweupee. Ng'ombe we. Peace.
   
 2. S

  Sam JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2007
  Joined: Jun 6, 2006
  Messages: 416
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nchimbi,
  Mwaka 2005 uliwaahidi wananchi wa Songea mjini kuwa utahakikisha timu ya majimaji inapanda daraja. Ni miaka mikapi itakuchukua kutimia hiyo ahadi?
  Mambo ya barabara siyo yako, ungezungumzia mambo ya ajira ningeona unajua unachofanya. Umenifanya niamni kuwa hujui hata wewe mwenyewe ni waziri wa nini.
   
 3. Shemzigwa

  Shemzigwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2007
  Joined: Jan 8, 2007
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hajaenda songea anaogopa kupinduka na gari si unajua sasa laana imewashukia kiama wanacho sisi yetu macho tu
   
 4. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2007
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,762
  Trophy Points: 280
  Sam jamaa umemchambua na unanga wake mpaka sina cha kuongeza.

  You have made my weekend! Hawa wanahitaji kuchambuliwa as you have done. Of all people, Nchimbi?
   
 5. B

  BroJay4 JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2007
  Joined: Aug 27, 2007
  Messages: 236
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sam,heshima yako mkuu,
  Binafsi mie na watanzania wengine,tunachikizwa kwa kuwa viongozi vilaza kama huyu nunda NChimbi,yaani hajui chochote kile,yaani huyu jamaa ni nothing,nunda mkubwa,tena ana siasa chafu,mlaghai,mzushi,mchawi,muongo,phd yake fake,hatuwezi kuongozwa na watu kama hawa.
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Oct 6, 2007
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Duh! ebwana Sam we kiboko kaka maana naona Nchimbi umemkomalia kwelikweli tokea enzi zile kule kijiweni (bcstimes).....hahahahaha...that's what's up!!!!
   
 7. M

  Mee wa Mavituuzi Member

  #7
  Oct 6, 2007
  Joined: Aug 2, 2007
  Messages: 61
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sam hongera sana ,,sana tena sana ,,nafikiri naitaji kujua kiwango cha elimu yakoo,,maana huyu mshenzi anajiita DK NCHIMBI anaongea pumba zisizo na maana,,mpaka nami nahisi kujua uhalali wa hii DK ya huyu bwana isije ikawa ni ya kupewa ,,maana chuo ukiwa na mkeo au girlfriend prof akaamua kukutunzia basi lazima akupe ahsant kama hizi kupeana degree nk,,

  HONGERA KIJANA WANGU
   
 8. M

  Mee wa Mavituuzi Member

  #8
  Oct 6, 2007
  Joined: Aug 2, 2007
  Messages: 61
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  NYANI NGABU haya ndio maisha ya uwazi na ukweli watu inabidi wabadilike kaka
   
 9. K

  KakindoMaster JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2007
  Joined: Dec 5, 2006
  Messages: 1,349
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Hongera sana sam!

  Hoja hujibiwa kwa hoja hawa jamaa wamekosa majibu ya kutoa kwa wananchi sasa ukiwaangalia wote wakati wanaongea utafikiri wamepigwa ngumi usoni. Ukiona mtu mzima anang'aka ujue kuna jambo wamekamatwa pabaya.

  Kama nchimbi angesoma vyuo makini hata degree ya kwanza asingepata angecheza muziki mapema mno.
   
 10. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2007
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,637
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  MMhm.... una uhakika na unachosema?
   
 11. M

  Mshamba wa Kijijini Member

  #11
  Oct 6, 2007
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wawawawaaaa!!!!
  nimefika nilikotaka.
  nchimbi ana mambo ya kijungu jiko, nashangaa huyu bwana alithubutu kutoa bastola hadharani kwa mzee GAMA katika kura za maoni lakini hii ni awamu ya watu wa mtandao hawaguswi si wamemfikisha kikwete madarakani wote *******!

  amina chifupa kamuua nani hajui hili, serikali iko kimya wamemtuma muaji wao afanye kazi!

  huyu ni mzinzi tu anajipendekeza kwa watu nani hajui kuwa anatishia watu ili afanye nao mapenzi familia nzima imeoza wahuni na kama akitaka nimtaje dada yake hadharani ni malaya wa naibu waziri wa serikali ya awamu ya nne nani hajui wanatumia uchawi kuwalazimisha wanawake na wanaume hiyo familia ya visura kama kiboko wa mto serengeti macho kama chura wa bonde la msimbazi wala wasitubabaishe mimi wakitaka nitatoa siri kubwa sana kuanzia spika sitta, waziri mkuu na mawaziri wengine upuuzi wanaofanya dodoma viongozi hawa hawana adabu watu ni ngono tu!!!!!!!!!! hakuna cha maana.

  nchimbi ndio ring leader wa uchawi nani hajui alivyoongoza paka 97 waliochinjwa na watoto waliokufa wakizaliwa hospitalini? mganga aliyeshirikiana na Nchimbi namjua akileta ushenzi mimi namwaga ugali siogopi wapumbavu!

  mganga huyu anadai malipo ya nyumba aliyoahidiwa na nchimbi na viongozi wenzake, uhuni juu ya uhuni wizi na ufisadi, mbona kikwete alidondoshwa na watu huko mwanza hamjui sababu?

  mbona tena alidondoka akiwa dar eti kafunga, uongo hizo ni dhambi zao, hawajutii makosa yao na bado!!!

  mshenzi mkubwa nchimbi hana kitu sio Dr. huyo, hebu msikilize pointi zake hana kitu hawa ndio vichaa wananogopwa kupelekwa mirembe!
   
 12. m

  mTz JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2007
  Joined: Aug 20, 2006
  Messages: 283
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wow! this is getting very hot!
   
 13. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2007
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  hii lugha inayotumika haifai siyo lugha yetu, aonywe na maelezo yake yarekebishwe.

  tukimuacha huyu na mwengine akija hivi na kumchukulia hatua tutakua tunadouble standard. huu ni udhalilishaji wa hali ya juu. au kwa kuwa CCM na NChimbi ruhusa hata kusema anapandwa
   
 14. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #14
  Oct 6, 2007
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,637
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  Naunga mkono, maelezo ya mtu wa pwani
   
 15. M

  Mshamba wa Kijijini Member

  #15
  Oct 6, 2007
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nani kasema lugha kama "kupandwa"? mimi nimesema nchimbi na wenzake ni ngono ngono tu nani hajasema hili neno ngono mbona hata president anasema ngono salama? kuzaliwa ama kujiita mzee wa pwani sio kuwa na viwango vya lugha huna kipimo, kipi hakijulikani mbona baba amina alisema huko habari maelezo kuwa jina la anayesadikiwa muuaji wa mwanao anatajwa sana na magazeti? magazeti hukuona yamedisplay hata sms kwa huyo nchimbi? mangapi yamesemwa kuhusu wasiokuwa na madaraka ama waliokinyume na watawala? kilichokushtua ni nini? kuanguka kwa rais? ama kutajwa viongozi wakiwa bungeni wana nyumba ndogo? nani yuko juu kama Clinton aliyeshtakiwa na monica lewinsky?

  sio lugha yenu na nani? mbona unanichanganya hukusikia katibu wa UVCCM amosi makalla alisema zito kaathirika kwa uongo? sitaki kupindisha ukweli, tusifiche ugonjwa waliohusika uchawi ndio wanaojitaja sasa kumbe tukiwajulisha washirika wao ni kosa? ama mzee umo na wewe?

  sasa hivi ukimuahidi maskini nyumba na hukutimiza usiambiwe!

  mtu wa pwani kama unahitaji porojo basi tudanganyane!

  hivi nani hajui uhusiano wa nchimbi na wanawake na dada yake kwa naibu waziri? tunyamazie dhambi au ni haki ukiwa waziri uishi kinyume na maadili ya Tanzania?

  nani hajui kuwa hata ditopile jana kasema wananchi wakalale na wake zao hii ni lugha inayoruhusiwa ama kwakuwa ni mtu wenu?

  mtu yuko nje kwa mauaji bado mnampa mic ili atutishie? mkiua ni sawa tu sisi kusema mambo yenu ya ngono na uchawi tuonywe?

  nina hakika we ni mzeee wa pwani wanakugawia....?
   
 16. M

  Mafuchila JF-Expert Member

  #16
  Oct 6, 2007
  Joined: Apr 29, 2006
  Messages: 752
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Na mimi pia naungana na Kibunango. Ingawa Mshamba wa Kijijini anaonekana amechukizwa sana na Bw. Nchimbi, lakini sidhani kama lugha aliyotumia ni nzuri. Ushauri, kulinda hadhi ya kijiwe jamaa afute usemi.
   
 17. M

  Mshamba wa Kijijini Member

  #17
  Oct 6, 2007
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pwani na zenji ni wale wale nadhani mnafanana wewe ukiambiwa utakula nyasi, lakini wao lazima watanue hutaki kujua upuuzi unawapa jeuri hizo? nani hajui kuwa rais alianguka? imewahi kutokea katika historia ya nchi hii, hata hushtuki?

  nchimbi akitishia mtu kwa bastola tuache eti ni lugha mbaya mmejinyenyekeza hadi ditopile akampiga mtu risasi huu ni udhaifu acha uongo!

  waziri akikuchukulia mkeo utafurahi kwakuwa ni kiongozi? ama uhuni ni tabia na lugha nzuri kwako?

  kama huna la kuchangia usiandike unaunga mkono huyo mtu wa pwani ni kichwa na moyo wako? kama huna mawazo chubua nyie ndio mnapiga kura kwa kupewa shilingi 20,000/= na tisheti kwa miaka 5!
   
 18. M

  Mshamba wa Kijijini Member

  #18
  Oct 6, 2007
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimekuelewa hebu niambie ni wapi nimetereza nipime ukweli huo unajua kuwa na hasira na kuendelezwa dharau naona ni bora kufa kuliko tuonewe na watu tu eti kisa amekuwa kiongozi!
   
 19. L

  Lawson Member

  #19
  Oct 6, 2007
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mshamba wa kijijini yupo sawa tu. Jina lolote laweza kuwafaa hawa viongozi wa chama cha mafisadi (ccm) mkiwaita mavi, makafili etc kwangu yote sawa tu maana mambo wanayotufanyia hayafai kabisa wako radhi watu wale nyasi ila wao waponde raha tu
   
 20. N

  Nakandamiza Kibara Senior Member

  #20
  Oct 6, 2007
  Joined: Jul 17, 2007
  Messages: 143
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mimi nabaki nashangaa hawa mawaziri . Nilidhani wameenda kuelezea bajeti yao ambayo walidhani ni ya maana kumbe ni bomu na wakaambiwa na wapinzani still wakaweka kiburi now they are on the run kuelezea bajeti , na hawafanyi hivyo wanawaka na Zitto na Slaa. Kumbe nia yao ni kuwavaa mashujaa wetu akina Zitto na si kuelezea bajeti yao?

  Wana wasi wasi na tuhuma na wao kwa nini wasiende Mahakamani wakazue mengi zaidi ?Kweli nimeamini JK ni msanii na watu wake .Yaani hata Nchimbi mtu mtupu sana anadiriki kumsema Zitto ? Lakiini hata hivyo ana beef naye kuanzia zamani maana uwezo wake Zitto ni mkubwa kuliko Nchimbi hii ndiyo shida ya kwanza .

  Naunga mkono matumizi mya lugha kali wakati fulani so no worries endelea kutupa habari hakuna kosa lolote .Lugha zile zile wao wanazitumia dhidi ya Zitto na Slaa na ni kazi yetu pia kuwalinda mashujaa hawa .

  Nchimbi kaambiwa na nani kwamba Slaa kaenda kuomba Nchi inyimwe misaada ? Hivi haoni hata aibu kabisa kuleta uongo wa aina hii ?
   
Loading...