Hivi ni hii hii CHADEMA" mfu" Ndio inasababisha viongozi wa CCM kubadilishwa mara kwa mara au kuna jingine?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,152
Nauliza tu waungwana maana hali hii inanikumbusha wakati ule Chadema ikiwa moto aliondolewa Makamba akaletwa Mkama kisha akaondolewa akaletwa Komredi Kinana na CCM ikatulia Baada ya Goli la mkono

Sasa Naona kama tunarudi kule kule yaani Nyakati za Mwiba kutokea ulipoingilia

Mungu wa mbinguni Uturehemu Sisi 😄
 
Mungu wa mbinguni Uturehemu Sisi
chadema haijawahi kufa wala kuzirai... amka ww itakuwa unaota
 
Nauliza tu waungwana maana hali hii inanikumbusha wakati ule Chadema ikiwa moto aliondolewa Makamba akaletwa Mkama kisha akaondolewa akaletwa Komredi Kinana na CCM ikatulia Baada ya Goli la mkono

Sasa Naona kama tunarudi kule kule yaani Nyakati za Mwiba kutokea ulipoingilia

Mungu wa mbinguni Uturehemu Sisi 😄
Ona jinga lingine hili!!

Yaani CCM iyumbishwe na watu waliopoteza dira na kubaki kuonyesha majumba waliyojenga kwa Ruzuku za umma!?
 
Nauliza tu waungwana maana hali hii inanikumbusha wakati ule Chadema ikiwa moto aliondolewa Makamba akaletwa Mkama kisha akaondolewa akaletwa Komredi Kinana na CCM ikatulia Baada ya Goli la mkono

Sasa Naona kama tunarudi kule kule yaani Nyakati za Mwiba kutokea ulipoingilia

Mungu wa mbinguni Uturehemu Sisi 😄
CCM wanacheza ngoma kabla CDM hawajapiga, kila siku iko hivyo, sasa CDM wakianza kupiga midundo cjui itakuwaje?
 
Nauliza tu waungwana maana hali hii inanikumbusha wakati ule Chadema ikiwa moto aliondolewa Makamba akaletwa Mkama kisha akaondolewa akaletwa Komredi Kinana na CCM ikatulia Baada ya Goli la mkono

Sasa Naona kama tunarudi kule kule yaani Nyakati za Mwiba kutokea ulipoingilia

Mungu wa mbinguni Uturehemu Sisi 😄
Tumeramba garasa pale juu.

Tupabadili ili tutulie
 
Nauliza tu waungwana maana hali hii inanikumbusha wakati ule Chadema ikiwa moto aliondolewa Makamba akaletwa Mkama kisha akaondolewa akaletwa Komredi Kinana na CCM ikatulia Baada ya Goli la mkono

Sasa Naona kama tunarudi kule kule yaani Nyakati za Mwiba kutokea ulipoingilia

Mungu wa mbinguni Uturehemu Sisi 😄

Punguza unafiki lini CHADEMA imekufa. Umeshakuwa Mzee punguza utoto.
 
Nauliza tu waungwana maana hali hii inanikumbusha wakati ule Chadema ikiwa moto aliondolewa Makamba akaletwa Mkama kisha akaondolewa akaletwa Komredi Kinana na CCM ikatulia Baada ya Goli la mkono

Sasa Naona kama tunarudi kule kule yaani Nyakati za Mwiba kutokea ulipoingilia

Mungu wa mbinguni Uturehemu Sisi 😄
Si kweli, CCM ina makundi mawili kama siyo matatu.
1. Team Samia.
2. Team Msoga.
3. Team Magufuli a.k.a SUKUMA GANG.

sukuma Gang imeanza kurudi baada ya Biteko kurudishwa na yeye kuagiza Makonda ndiye mtu sahihi kufanya naye kazi.
Msoga ana watu wake na mama hana watu isipokuwa wapambe wa mitandaoni.
Kumbuka kwa sasa watu wamegawanyika kwa ukanda hasa baada ya 2015 mbapo SHUJAA alianza kuelekeza kila reslimali ya nchi huko Chato.
 
Nauliza tu waungwana maana hali hii inanikumbusha wakati ule Chadema ikiwa moto aliondolewa Makamba akaletwa Mkama kisha akaondolewa akaletwa Komredi Kinana na CCM ikatulia Baada ya Goli la mkono

Sasa Naona kama tunarudi kule kule yaani Nyakati za Mwiba kutokea ulipoingilia

Mungu wa mbinguni Uturehemu Sisi 😄
Ntahakikisha ifikapo 2020 machadema ntakua nimeyafutiriaa mbariii 🤣🤣🤣
 
Nauliza tu waungwana maana hali hii inanikumbusha wakati ule Chadema ikiwa moto aliondolewa Makamba akaletwa Mkama kisha akaondolewa akaletwa Komredi Kinana na CCM ikatulia Baada ya Goli la mkono

Sasa Naona kama tunarudi kule kule yaani Nyakati za Mwiba kutokea ulipoingilia

Mungu wa mbinguni Uturehemu Sisi 😄
IMG_20210430_224641.jpg
 
Nani kakwambia chadema ilikufa? Kile kijamaa kiliamua kutumia mtutu kuimliza chadema kikamalizwa chenyewe. Sasa hivi kinaliwa na funza tu
 
Back
Top Bottom