Jinsi shangwe za teuzi za viongozi wa CCM zinavyozimika mithili ya Mshumaa nyikani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,733
218,320
Kwenye nchi ambazo utendaji wa taasisi hauhitaji masihara, mteule mpya hasherehekei uteuzi wake. Mteule hatumii uteule wake kuwasimanga wengine ama kutengeneza mipasuko. Mteule wa huko hutumia uteuzi wake kutafakari namna atakavyotumikia cheo kipya kwa unyenyekevu na kwa mujibu wa sheria.

Msanii wa filamu duni za kuigiza za Tanzania, Jokate, alipoteuliwa kuwa Katibu wa Taasisi ya akina mama wa CCM (UWT), akaamini kwamba uteuzi ule ni wake binafsi na wasanii wenzake wasio na maadili. Akakusanya hao wadada wenye mashaka ya afya na kutengeneza Parade DSM na Dodoma, kuonyesha kwamba wananchi wamefurahishwa na uteuzi wake. Kama kawaida ya magazeti ya Tanzania, yakampamba ili yajipatie maokoto ya bure.

Mara papo hapo, Makonda naye akateuliwa kuwa Katibu wa Uenezi. Mwisho wa sherehe za Jokate ukafika, akapotea na kutoweka (hajulikani aliko hadi leo). Makonda naye akaanza sarakasi za ulimbukeni na kuanza kuandaa matukio yake mwenyewe. Akaanza kukaripia kila aliye mbele yake, as if CCM imezaliwa jana, huku yeye akiwa ndio muasisi wa ukatibu uenezi. Punda, farasi, bajaj, na malori ya kokoto vikatumika kuhadaa wajinga. Yaani, anatumia V8 kwa urefu wa maelfu ya kilomita, lakini anapanda punda mita 500 tu!

Sasa ujio wa Katibu Mkuu mpya nao unahitimisha kabisa maigizo duni ya Makonda. Tusubiri naye ataleta maigizo yale yale ama atatumia akili.
 
Wewe si CHADEMA?
Mbona pilipili inakuwasha?
 
Kwenye Nchi ambazo utendaji wa Taasisi hauhitaji masihara , Mteule mpya hasherehekei uteuzi wake , Mteule hatumii uteule wake kuwasimanga wengine , ama kutengeneza mipasuko , Mteule wa huko hutumia uteuzi wake kutafakari namna atakavyotumikia cheo kipya kwa unyenyekevu na kwa mujibu wa sheria .

Msanii wa filamu duni za kuigiza ,za Tanzania , Jokate alipoteuliwa kuwa Katibu wa Taasisi mfu ya akina mama wa ccm (UWT) , akaamini kwamba uteuzi ule ni wake binafsi na wasanii wenzake wasio na maadili , akakusanya hao wadada wenye mashaka ya afya na kutengeneza Parade DSM na Dodoma , kuonyesha kwamba Wananchi wamefurahishwa na Uteuzi wake , kama kawaida ya Magazeti ya Tanzania , yakampamba ili yajipatie Maokoto ya bure

Mara paap Makonda naye akateuliwa kuwa Katibu wa Uenezi , mwisho wa sherehe za Jokate ukafika , akapotea na kutoweka (hajulikani aliko hadi leo) , Makonda naye akaanza sarakasi za ulimbukeni na kuanza kuandaa matukio yake mwenyewe , akaanza kukaripia kila aliye mbele yake , as if ccm imezaliwa jana , huku yeye akiwa ndio muasisi wa ukatibu uenezi , Punda , Farasi , Bajaj , na malori ya kokoto vikatumika kuhadaa wajinga , yaani anatumia V8 Kwa urefu wa maelfu ya KM lakini anapanda Punda mita 500 tu !

Sasa Ujio wa Katibu Mkuu mpya nao unahitimisha kabisa maigizo duni ya Makonda , Tusubiri naye ataleta maigizo yale yale ama atatumia akili
Tangu Makonda apate uteuzi umeshafungua nyuzi 777 kumjadili. Hebu weka wazi huyu mwamba alikutaja orodha ya wauza Unga, Mapunga, waliotelekeza watoto au alikugusa engo ipi mkuu naona una ligi sana na Mwenezi wa Kijani.
 
Daah! Nimeupenda sana uchambuzi wako na namna ulivuohitimisha. Ccm wanakanyagana wenyewe kwa wenyewe.

Makonda makalio makubwa angetaka kuendelea kurindima alipaswa kuacha watu waongeze kuhusu yeye na siyo yeye kuongea kuhusu watu .
 
Tangu Makonda apate uteuzi umeshafungua nyuzi 777 kumjadili. Hebu weka wazi huyu mwamba alikutaja orodha ya wauza Unga, Mapunga, waliotelekeza watoto au alikugusa engo ipi mkuu naona una ligi sana na Mwenezi wa Kijani.
Makonda ni muuaji asiyetumia akili. Subiri kituo kifuatacho baada ya Samia kutoka madarakani. Hawezi kukwepa jela
 
Una wivu mbaya sana wewe Baba.

Kumbuka kila kitu kinawakati wake. Hata wewe, kulikuwa na shangwe shangwe nyingi tu ulivyoanza kama zile za GENTAMYCINe, ila sasa na wewe Unafifia tu..... yaani kwa jinsi unavyoendelea utakuwa kana mwenye baisdeyi, utazimika mithili ya kuzima mishumaa ya keki.
 
Kwenye Nchi ambazo utendaji wa Taasisi hauhitaji masihara , Mteule mpya hasherehekei uteuzi wake , Mteule hatumii uteule wake kuwasimanga wengine , ama kutengeneza mipasuko , Mteule wa huko hutumia uteuzi wake kutafakari namna atakavyotumikia cheo kipya kwa unyenyekevu na kwa mujibu wa sheria .

Msanii wa filamu duni za kuigiza ,za Tanzania , Jokate alipoteuliwa kuwa Katibu wa Taasisi mfu ya akina mama wa ccm (UWT) , akaamini kwamba uteuzi ule ni wake binafsi na wasanii wenzake wasio na maadili , akakusanya hao wadada wenye mashaka ya afya na kutengeneza Parade DSM na Dodoma , kuonyesha kwamba Wananchi wamefurahishwa na Uteuzi wake , kama kawaida ya Magazeti ya Tanzania , yakampamba ili yajipatie Maokoto ya bure

Mara paap Makonda naye akateuliwa kuwa Katibu wa Uenezi , mwisho wa sherehe za Jokate ukafika , akapotea na kutoweka (hajulikani aliko hadi leo) , Makonda naye akaanza sarakasi za ulimbukeni na kuanza kuandaa matukio yake mwenyewe , akaanza kukaripia kila aliye mbele yake , as if ccm imezaliwa jana , huku yeye akiwa ndio muasisi wa ukatibu uenezi , Punda , Farasi , Bajaj , na malori ya kokoto vikatumika kuhadaa wajinga , yaani anatumia V8 Kwa urefu wa maelfu ya KM lakini anapanda Punda mita 500 tu !

Sasa Ujio wa Katibu Mkuu mpya nao unahitimisha kabisa maigizo duni ya Makonda , Tusubiri naye ataleta maigizo yale yale ama atatumia akili
Mbona una hasira sana dada?!!!🤭🤭🤭🤭🤭

Mbowe kikao na nyumbu wake anaitisha lini?!!!!
 
Back
Top Bottom