Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 5,897
- 10,358
Mzee Joseph Butiku amesema watu wote wanaliopigania haki wamepata misukosuko kutokana na tabia za binadamu kutojali haki za wengine. Amesema kuwa haki za binadamu zina misukosuko kutokana na kwamba wapo wanaozitaka na wasiozitaka, ni tabia ya binadamu apate yeye, ukose wewe. Ameongeza kuwa ukishatengeneza Serikali na ukawapa watu nafasi , katika mfumo wa uchoyo uliokithiri mwingine atataka apate zaidi, wewe usipate.
Ameshauri kwamba Taifa lazima ling'ang'anie misingi iliyowekwa ya kupigania haki ili kuhakikisha haki hizo zinapatikana.
Ameshauri kwamba Taifa lazima ling'ang'anie misingi iliyowekwa ya kupigania haki ili kuhakikisha haki hizo zinapatikana.