Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jukwaa la Wakurugenzi Wakuu wa sekta binafsi Tanzania yaani CEOs RoundTable wamempa Jakaya Kikwete Rais mtaafu wa awamu ya 4 Tuzo ya Utumishi Uliotukuka na kutambua mchango wake kukuza sekta...
1 Reactions
6 Replies
854 Views
Mama Samia akitoka Dubai kuna taarifa ya yeye kutua moja kwa moja Mwanza kisha kuelekea Tanesco Nyakato Mwanza. Hii inafuatia kutokupata majibu anayoyataka kwa miezi kadhaa sasa. Ikumbukwe kuwa...
12 Reactions
72 Replies
7K Views
Chongolo amewataka wasomi wa vyuo vikuu kwenda veta ili wakapate uwezo wa kujiajiri. Kauli hii inatoa tafsiri hasi nyingi sana dhidi ya wasomi wa vyuo vikuu na vyuo vikuu vyenyewe. Mosi, inatoa...
31 Reactions
261 Replies
11K Views
Kwema wakuu? Kwa Hali ilivyo usalama barabarani nyakati za usiku ni mdogo madereva hawazingatii Sheria barabarani wakati wa usiku maana hamna Oolisi. Malori nayo ndio mida yao ya kukimbia so...
20 Reactions
203 Replies
12K Views
Walimu Wana maswali mengi ambayo kwa muda Mrefu CWT wakiongozwa na Kiongozi wao Japhet Maganga hawataki kujibu na wala hawaoneshi jitihaza zozote kutetea haki za walimu: i) Mapato yatokanayo na...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Taarifa iliyotolewa na Chama chake imethibitisha .
12 Reactions
45 Replies
5K Views
Kutoka Ukurasa wa Sheikh Ibrahim Ghulaam Ni (TISTA) "TANZANIA ISLAMIC STUDIES TEACHING ASSOCIATION" Taarifa kwa hisani ya Dr Harithi Nkussa (Mwandishi maalumu wa Mufti) Hatimaye Uzinduzi wa...
8 Reactions
57 Replies
6K Views
=== Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Chama Cha Mapinduzi (CCM), imeelekeza kupatiwa ufumbuzi wa haraka wa kero ya kukatika kwa umeme, upungufu wa mafuta ambao huwa unajitokeza ingawa si...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Hakuna salamu hapa, naingia kwenye mada moja kwa moja. Kama ilivyokuwa kwa Tido Mhando aliyetolewa BBC na kuletwa kusimamia TBC, ndivyo ilivyokuwa kwa Salim Kikeke. Taarifa za kiintelejensia...
27 Reactions
251 Replies
19K Views
Hii siyo Hali ya kawaida kabisa. Huu ni mgomo wa wazi. Haiwezekani shahada za uzamivu na uzamili zitolewe kama kalanga hivi as if wameona liwalo na liwe tuwape tu mana hata tukijituma kufundisha...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa kipindi cha miaka Mitatu ya uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi ameweza kuiunganisha Zanzibar kwa kuimarisha, kuboresha na kujenga upya...
0 Reactions
4 Replies
919 Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, Nauliza hili swali hapa, ila nina uhakika hakuna atakaekuwa tayari kujitokeza kunijibu. Hii ni kwa sababu wengi wanatumiwa ili mkono uende kinywani, lkn umafia wa...
9 Reactions
107 Replies
5K Views
Ni ibadani KKKT Kimara ambapo Spika wa Bunge la JMT mh Dr Tulia PhD amejumuika na Wakristo wenzake Jumapili Hii ya Kwanza ya Majilio Mchungaji Matsahi amemtaka Dr Tulia PhD kuwa karibu zaidi na...
6 Reactions
63 Replies
4K Views
1. Ni kwa mara ya kwanza nafasi ya Katibu mkuu wa chama inapiganiwa (Scramble) na makundi mbalimbali. Hapo kabla utamaduni huu haukuwepo, tulizoea mabadiliko yasiyo ya kimapambano jambo ambalo...
7 Reactions
53 Replies
9K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kulingana na namna dkt Tulia alivyoongea kwa uchungu hisia kali na maumivu makali juu ya kile kinachoendelea kule mashariki ya kati,na kupelekea vifo vya watu na mateso...
5 Reactions
150 Replies
9K Views
SEREKALI KUAJIRI WATUMISHI ELFU KUMI NA TATU SEKTA YA AFYA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa kibali cha kuajiri watumishi elfu 13 katika sekta ya afya ili...
8 Reactions
42 Replies
5K Views
KINANA:NI MUHIMU KWA VIONGOZI WALIOCHAGULIWA NA KUTEULIWA KUWASIKILIZA MABALOZI WETU WA NYUMBA KUMIKUMI. === Asema mabalozi ndio wanaojua kero na faraja za wananchi nchini Makamu Mwenyekiti Wa...
13 Reactions
45 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Habari njema ni kuwa shirika la ujasusi la Marekani CIA(central intelligence Agency) pamoja na habari zingine kupitia mtandao wake wa INSTAGRAM limeweka picha na muonekano...
11 Reactions
162 Replies
8K Views
Nimeambiwa Ujumbe wetu huko Climate change Dubai ni Watu 700+ Ndio nauliza Chama Kikuu cha Upinzani kimetuwakilisha huko? Ahsanteni 😀
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Huwezi kuwa na chama tawala ambacho hakiwezi kuwajali wananchi waliokiweka madarakani. Kero zao, shida zao lazima zisikilizwe kana kwamba wanawaamrisha waliowaweka madarakani Makonda yupo sahihi...
5 Reactions
61 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…