Kwa mujibu wa Kanuni za Usalama wa Taifa, Uhuru wa Kujieleza na Upatikanaji wa taarifa za Johannesburg 1996; zuio kwa misingi ya 'Usalama wa Taifa' haliwezi kukubalika endapo lengo halisi ni...
Kama tunasema sisi ni taifa moja na hatubaguani kwa dini, rangi au itikadi za kisiasa tafsiri nzuri zaidi ya hili ni katika majanga na madhila mbalimbali ya kitaifa.
Katika matukio kama hili la...
Ni wazi John Magufuli (marehemu) alitaka kukata kabisa mzizi wa Utawala wa awamu ya 4 hapa nazungumzia wafanyabiashara na watawala huko serikalini.
Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu aliondoka kabla...
Sheikh wa Mkoa wa Manyara amkaribisha Rais Samia mkoani humo kwa kueleza furaha waliyonayo Rais Samia kuwa Mkoani hapo na kutoa rai kwa wananchi kumuunga mkono katika yote kwani amefanya mengi kwa...
Katibu Mkuu wa Chadema , John Mnyika , aliye kwenye ziara ya kikazi Nchini Marekani, ameanza kutembelea vyombo vya habari vya Nchi hiyo na kuanika uozo unaoendelea nchini Tanzania.
Akihojiwa na...
Ndugu zangu Watanzania,
Nilishawaambieni humu jukwaani kuwa ukongwe wa CCM na uwepo wake madarakani mpaka leo hii unatokana na uimara wake,mfumo wake imara katika kujiendesha kitaasisi, pamoja na...
Kwa: Sekretarieti ya CCM
Kutoka: James Walton, Kundi la Demokrasia
Re: Maoni muhimu kutoka kwa ujumbe wa Zanzibar
Tarehe: Septemba 10, 2023
Tunathamini sana fursa ya kutembelea nchi yako...
“Wana CCM hatuaminiani ndio maana ukiacha glass ya maji ukatoka nje ukirudi huwezi kuinywa” - Jakaya Mrisho Kikwete wa Msoga.
Nimeanza kumnukuu aliyepata kuwa mwenyekiti wa ccm, Mzee Kikwete...
CHADEMA wanapenda kutafuta attention,wakati Rais hajarudi au kabla ya hapo hawakupanga kuwatembelea wahanga wa mafuriko Katesh, Rais katoka Dubai na wao wanapanga tarehe hiyo hiyo kwenda Katesh...
Ndugu zangu Watanzania,
Nilishawaambieni na naendelea kuwaambieni kuwa CHADEMA ni matapeli na wababaishaji sana.leo hii wameanzisha kampeni wanasema ni kwa ajili ya kuwachangia wahanga...
MFARIJI MKUU WA TAIFA DR SAMIA SULUHU HASAN
Na Comrade Ally Maftah
Dr. Samia Suluhu Hasan akiwa katika wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara, akiwafariji walioathiriwa na janga la Mafuriko
Rais na...
Ili kuvunja poverty circle tuliyo nayo ni muda sasa kuanzisha na kuzingatia miradi au biashara za kifamilia.
Tujifunze kwa hawa ndugu zetu watu weupe.
Tusione ufahari mradi, kilimo au biashara...
Mimi na wenzangu raia wa Mkoa wa Manyara hakika mmetuaibisha sana sisi wakazi wa Kateshi kwa kutumia shida na machungu yetu kama mtaji wenu CCM katika harakati zenu za siasa kuelekea uchaguzi wa...
Wadau nawasalimu.Mimi nimekuwa nikitumia DALADALA kusafiri sehemu mbalimbali za Jiji la Dar kwa miaka mingi. Na Usumbufu wa DALADALA naujua sana.
Serikali ilipoanzisha Usafiri wa Mabus ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishudia Utiaji Saini wa Mikataba ya Utekelezaji wa Miradi Mahsusi ya Umeme leo tarehe 14 Februari, 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam...
Na Mwl Udadis, Tarime
Gharama za kusafirisha mizigo kwa meli hadi Bandari ya DSM zinazidi dola za Kimarekani 1,000 kwa kasha moja, tofauti na gharama za chini katika Bandari kama Mombasa. Hii...
Safi sana mama Kwa kuwa unaheshimika na wenzako na wanaithamini Tanzania tunashukuru Kwa hayo mabilioni waliyotoa hao marafiki wa Tanzania.
Nimeona hapo mnasema mtawajengea makazi na mambo...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama Samia suluhu Hasssan ameamua kukatisha shughuli za mkutano unaoendelea Dubai ili kurejea kwa dharura nchini ,kwa ajili ya...
Hakika nimeshangazwa na UTENDAJI KAZI wa Viongozi wetu Kuanzia RAIS WAZIRI MKUU MAWAZIRI WAKUU WA MAJESHI NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA NA WATENDAJI Mbalimbali Walivyoizingira Wilaya ya HANANG...