Rais Samia yupo njiani kurejea nchini kwa Dharura baada ya kutokea mafuriko Mkoani Manyara ambayo mpaka sasa watu 20 wamepoteza maisha

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,275
9,717
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama Samia suluhu Hasssan ameamua kukatisha shughuli za mkutano unaoendelea Dubai ili kurejea kwa dharura nchini ,kwa ajili ya kushughulikia maafa yaliyotokea mkoani manyara eneo la kateshi yaliyotokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia leo jumapili ambapo mpaka sasa watu takribani 20 wamepoteza maisha.

Ambapo Rais wetu mpendwa kwa maumivu makubwa ,uchungu mkubwa na hisia kali sana ametoa pole sanaa kwa watanzania wenzetu na familia zilizopatwa na kupoteza wapendwa wao,lakini pia mh Rais ametoa pole kwa majeruhi wote.

Pia mh Rais wetu mpendwa ametoa maagizo mazito sana ,ambapo ameagiza wizara ya afya kufika haraka sana eneo la tukio kwa ajili ya kusaidia majeruhi wote.lakini pia mh Rais wetu ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kufika kwa uharaka eneo la tukio ili kusaidia na kufanya shughuli za uokoaji,pia mh Rais wetu mpendwa ametoa maagizo kwa wizara ya madini kufika mlimani ambako ndiko athari ilikoanzia ili kufanya uchunguzi.

Lakini pia ameagiza waziri anayeshughulikia maafa pia naye afike haraka sanaa eneo la tukio na serikali yetu ielekeze nguvu zake zote huko wakati yeye akiwa njiani kurejea nchini kwa ajili ya kuja kuungana na kushiriki katika suala hilo zito lililochukua maisha ya watanzania wenzetu na kufanya uharibufu mkubwa sana.

Hii ndio maana ya kuitwa kiongozi ,.hii ndio maana ya Rais samia kupendwa na kukubalika sana na watanzania,kwa sababu ni kiongozi aliyekaribu sana na watanzania na anayeguswa na maisha ya watanzania.ni kiongozi mwenye huruma na anayethamini sana maisha ya kila mtanzania. Kwa upendo wake mkubwa kwa watanzania ndio maana tunamuona Rais wetu akikatisha mkutano wake na kurejea nchini, kwasababu anatambua kuwa yupo hapo alipo kwa ajili ya watanzania na ndio maana anarejea kwa ajili ya kuokoa na kushughulika na maisha ya watanzania.

Tumuombee Rais wetu mpendwa arejee salama na kufika salama hapa nchini. Mungu amlinde na kumtetea Rais wetu wakati wote wa safari yake katika kurejea nchini.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan ameamua kukatisha shughuli za mkutano unaoendelea Dubai ili kurejea kwa dharura nchini ,kwa ajili ya kushughulikia maafa yaliyotokea mkoani manyara eneo la

0742-676627.
Bila mafuriko asingerudi? Mkutano umeisha siku nyingi
Anabiashara gani huko Dubai?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan ameamua kukatisha shughuli za mkutano unaoendelea Dubai ili kurejea kwa dharura nchini ,kwa ajili ya kushughulikia maafa yaliyotokea mkoani manyara eneo la kateshi yaliyotokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia leo jumapili ambapo mpaka sasa watu takribani 20 wamepoteza maisha.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Waokoe pesa za walipa kodi masikini....PM yupo anatosha yeye acha azurule na wa zbar wengi maana wanajidanganya eti zamu yao......list of shame tumeiona ...aibù na dhambi kubwa wanatafuna hela masikiniii.....hata akirudi atafanya nini ?? Hana impact
 
Uwe na akili na tumia akili unapoandika vitu hapa.unajuwa uzito wa Rais akiwepo eneo fulani na maagizo atakayo toa ? Kwanini aendelee na mkutano wakati wananchi wake wamepoteza maisha ? Hujuwi yupo hapo na anafanya yote afanyayo kwaajili ya watanzania? Sasa kwanini aendelee kuwa huko wakati kuna hali ya majonzi kwa wananchi wake? Kwa nini asirudi kuwapa faraja na kuwatia moyo?
 
Hana impact....apige shopping kanati za maafa zipo wamajeshi wapooo watafanya .....arudi tu kama formality lakini hana impact......amechezea pesa za walipa kodi masininiiii
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan ameamua kukatisha shughuli za mkutano unaoendelea Dubai ili kurejea kwa dharura nchini ,kwa ajili ya kushughulikia maafa yaliyotokea mkoani manyara eneo la kateshi yaliyotokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia leo jumapili ambapo mpaka sasa watu takribani 20 wamepoteza maisha.

Ambapo Rais wetu mpendwa kwa maumivu makubwa ,uchungu mkubwa na hisia kali sana ametoa pole sanaa kwa watanzania wenzetu na familia zilizopatwa na kupoteza wapendwa wao,lakini pia mh Rais ametoa pole kwa majeruhi wote.

Pia mh Rais wetu mpendwa ametoa maagizo mazito sana ,ambapo ameagiza wizara ya afya kufika haraka sana eneo la tukio kwa ajili ya kusaidia majeruhi wote.lakini pia mh Rais wetu ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kufika kwa uharaka eneo la tukio ili kusaidia na kufanya shughuli za uokoaji,pia mh Rais wetu mpendwa ametoa maagizo kwa wizara ya madini kufika mlimani ambako ndiko athari ilikoanzia ili kufanya uchunguzi.

Lakini pia ameagiza waziri anayeshughulikia maafa pia naye afike haraka sanaa eneo la tukio na serikali yetu ielekeze nguvu zake zote huko wakati yeye akiwa njiani kurejea nchini kwa ajili ya kuja kuungana na kushiriki katika suala hilo zito lililochukua maisha ya watanzania wenzetu na kufanya uharibufu mkubwa sana.

Hii ndio maana ya kuitwa kiongozi ,.hii ndio maana ya Rais samia kupendwa na kukubalika sana na watanzania,kwa sababu ni kiongozi aliyekaribu sana na watanzania na anayeguswa na maisha ya watanzania.ni kiongozi mwenye huruma na anayethamini sana maisha ya kila mtanzania. Kwa upendo wake mkubwa kwa watanzania ndio maana tunamuona Rais wetu akikatisha mkutano wako na kurejea nchini, kwasababu anatambua kuwa yupo hapo alipo kwa ajili ya watanzania na ndio maana anarejea kwa ajili ya kuokoa na kushughulika na maisha ya watanzania.

Tumuombee Rais wetu mpendwa arejee salama na kufika salama hapa nchini. Mungu amlinde na kumtetea Rais wetu wakati wote wa safari yake katika kurejea nchini.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Uandishi wa Kichawa hasa, Low minded people ni janga sana nchi huu, unamsufu mtu moja unahisi kinyaa, unamsifu mtu ambaye hata akikusikiliza anakiona haunazo, unatoa sifa kwa mtu zaidi ya kuonyesha masikitiko ya janga lililowapata wananchi
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan ameamua kukatisha shughuli za mkutano unaoendelea Dubai ili kurejea kwa dharura nchini ,kwa ajili ya kushughulikia maafa yaliyotokea mkoani manyara eneo la

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Hakika Rais Dr Samia ni kiongozi mwenye upendo na huruma anaejali na kuheshimu utu wa watu wake kwa dhati ya kiwango cha juu sana.

Pole sana familia za wafiwa na majeruhi huko manyara.
Mwenyezi Mungu awape subra na awapokee kwa wema marehemu wote alowaita kwake,awapumzishe wanapostahili kwa Amani..
 
Back
Top Bottom