Salaam, Shalom!
Mh Tundu Lissu alipopewa nafasi kuzungumza katika msiba wa Askofu Kweka, ameeleza yafuatayo kumhusu Marehemu Askofu Kweka akiquote wasifu wake kuwa.
Marehemu Askofu Kweka alisoma chuo Cha chama pale Kivukoni mwaka 1969 katika masuala ya siasa na uongozi, hivyo aliyajua ipasavyo masuala ya siasa.
Ameenda mbali zaidi na kusema kuwa, Askofu Kweka,ndiye aliyehusika kumdokeza aingie katika ulingo wa siasa akiwa na miaka 29 tu, na aligombea Ubunge mwaka 1995, japo alishindwa.
Tangu hapo, Mh Tundu Lissu aliendelea na harakati za siasa na aligombea na kushinda ubunge, na mwaka 2020 alichukua fomu kupeperusha bendera ya chama chake Kwa nafasi ya mgombea Urais.
NB: Kwa kuwa Mh Tundu Lissu, hakukanusha kuwa HATOGOMBEA nafasi yoyote uchaguzi ujao, ni Imani yangu, Mh Tundu Lissu ametuma ujumbe kuwa atagombea uchaguzi ujao 2025 japo hakusema nafasi atakayogombea katika ya Udiwani, ubunge au Urais!!
CHADEMA,imeendelea kutuonyesha jinsi Gani imekomaa kisiasa, sababu Mh Lissu Ameyasema haya mbele ya Mh Mbowe na Lema wakiwa wanatabasamu.😀😀😀
Chanzo/Source: WANANCHI TV.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿,
Mungu ibariki CHADEMA.
Amen
==
NB: Tundu Lissu hakuzungumza kitu kuhusu Uchaguzi wa Mwaka 2025, bali amezungumza namna ambayo alikuwa amefahamiana na viongozi wa dini.