Rais Samia mfariji mkuu wa taifa

Nov 6, 2016
51
141
MFARIJI MKUU WA TAIFA DR SAMIA SULUHU HASAN

Na Comrade Ally Maftah

Dr. Samia Suluhu Hasan akiwa katika wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara, akiwafariji walioathiriwa na janga la Mafuriko

Rais na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, amefanya jambo kubwa sana na la kiungwana kama ilivyo kawaida yake kuwajali wagonjwa, na walio kwenye changamoto kama mtakumbuka Dr. Samia akiwa Makamu wa Rais alikuwa akiwatembelea viongozi wa upinzani waliokuwa katika changamoto mbalimbali hadi mahospitalini, pasipo kujali kwamba pengine viongozi wenzake wa chama watamchukuliaje, yeye alitanguliza utu kwanza masuala ya vyama hakuyaweka mbele.

Dr. Samia amewatembelea waathiriwa wa janga la mafuriko pasipo kujali itikadi za vyama vyao. kwa kuzingatia kwamba ilani inayotimizwa sasa ni ilani ya Chama cha Mapinduzi na msimamizi mkuu wa Ilani ni Dr. Samia.

Nawaomba ndugu zetu wapinzani msichukulie hili janga la watanzania wenzetu kama mtaji wa kisiasa, nchi yetu inapaswa kuwa katika utulivu na mshikamano kama ambavyo Rais Dr. Samia anavyosisitiza na kutuunganisha watanzania wote.

Comrade Ally Maftah
-Mjumbe Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam
-Mjumbe Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam

IMG-20231208-WA0000(1).jpg
 
Kwa sasa DAFTARI laMAKAZI litakuwa la maana kwa ajili ya kutambua kila nyumba iliyokuwepo katika eneo la KATESH na kuchukuliwa na MATOPE kutoka mlima HANANG.Itapunguza watu kuweka takwimu za UWONGO.wapigaji wasipate nafasi kujinufaisha.
 
MFARIJI MKUU WA TAIFA DR SAMIA SULUHU HASAN

Na Comrade Ally Maftah

Dr. Samia Suluhu Hasan akiwa katika wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara, akiwafariji walioathiriwa na janga la Mafuriko

Rais na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, amefanya jambo kubwa sana na la kiungwana kama ilivyo kawaida yake kuwajali wagonjwa, na walio kwenye changamoto kama mtakumbuka Dr. Samia akiwa Makamu wa Rais alikuwa akiwatembelea viongozi wa upinzani waliokuwa katika changamoto mbalimbali hadi mahospitalini, pasipo kujali kwamba pengine viongozi wenzake wa chama watamchukuliaje, yeye alitanguliza utu kwanza masuala ya vyama hakuyaweka mbele.

Dr. Samia amewatembelea waathiriwa wa janga la mafuriko pasipo kujali itikadi za vyama vyao. kwa kuzingatia kwamba ilani inayotimizwa sasa ni ilani ya Chama cha Mapinduzi na msimamizi mkuu wa Ilani ni Dr. Samia.

Nawaomba ndugu zetu wapinzani msichukulie hili janga la watanzania wenzetu kama mtaji wa kisiasa, nchi yetu inapaswa kuwa katika utulivu na mshikamano kama ambavyo Rais Dr. Samia anavyosisitiza na kutuunganisha watanzania wote.

Comrade Ally Maftah
-Mjumbe Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam
-Mjumbe Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam

Lisu alitufundisha neno Chief comforter, wakati wa ukatili wa maafa ya tetemeko la ardhiBukoba, leo mnajivinjari na msemo huo!
 
MFARIJI MKUU WA TAIFA DR SAMIA SULUHU HASAN

Na Comrade Ally Maftah

Dr. Samia Suluhu Hasan akiwa katika wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara, akiwafariji walioathiriwa na janga la Mafuriko

Rais na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, amefanya jambo kubwa sana na la kiungwana kama ilivyo kawaida yake kuwajali wagonjwa, na walio kwenye changamoto kama mtakumbuka Dr. Samia akiwa Makamu wa Rais alikuwa akiwatembelea viongozi wa upinzani waliokuwa katika changamoto mbalimbali hadi mahospitalini, pasipo kujali kwamba pengine viongozi wenzake wa chama watamchukuliaje, yeye alitanguliza utu kwanza masuala ya vyama hakuyaweka mbele.

Dr. Samia amewatembelea waathiriwa wa janga la mafuriko pasipo kujali itikadi za vyama vyao. kwa kuzingatia kwamba ilani inayotimizwa sasa ni ilani ya Chama cha Mapinduzi na msimamizi mkuu wa Ilani ni Dr. Samia.

Nawaomba ndugu zetu wapinzani msichukulie hili janga la watanzania wenzetu kama mtaji wa kisiasa, nchi yetu inapaswa kuwa katika utulivu na mshikamano kama ambavyo Rais Dr. Samia anavyosisitiza na kutuunganisha watanzania wote.

Comrade Ally Maftah
-Mjumbe Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam
-Mjumbe Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam

Mwambieni anakosea sana kuwaendekeza chawa wake na walafi wa madaraka ndani ya chama. Ghafla amepoteza mvuto na ushawishi kwa wananchi. Pale Hanang zilijaa tu nguo za kijani wala wananchi hawakuwa na habari nae kama ilivyokuwa huko nyuma. Kuendelea kuchukulia maafa kama sehemu ya ushawishi kisiasa, hakika ni kete ya kukizika chama na yeye mwenyewe.
 
Unaandika ujinga mtupu mama ni kiongozi sawa lakini sio kwamba yeye ndie mfariji mkuu pana watu wanakesha hapa unataka kusema hawafariji wahanga?
 
MFARIJI MKUU WA TAIFA DR SAMIA SULUHU HASAN

Na Comrade Ally Maftah

Dr. Samia Suluhu Hasan akiwa katika wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara, akiwafariji walioathiriwa na janga la Mafuriko

Rais na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, amefanya jambo kubwa sana na la kiungwana kama ilivyo kawaida yake kuwajali wagonjwa, na walio kwenye changamoto kama mtakumbuka Dr. Samia akiwa Makamu wa Rais alikuwa akiwatembelea viongozi wa upinzani waliokuwa katika changamoto mbalimbali hadi mahospitalini, pasipo kujali kwamba pengine viongozi wenzake wa chama watamchukuliaje, yeye alitanguliza utu kwanza masuala ya vyama hakuyaweka mbele.

Dr. Samia amewatembelea waathiriwa wa janga la mafuriko pasipo kujali itikadi za vyama vyao. kwa kuzingatia kwamba ilani inayotimizwa sasa ni ilani ya Chama cha Mapinduzi na msimamizi mkuu wa Ilani ni Dr. Samia.

Nawaomba ndugu zetu wapinzani msichukulie hili janga la watanzania wenzetu kama mtaji wa kisiasa, nchi yetu inapaswa kuwa katika utulivu na mshikamano kama ambavyo Rais Dr. Samia anavyosisitiza na kutuunganisha watanzania wote.

Comrade Ally Maftah
-Mjumbe Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam
-Mjumbe Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam

Hao wamama mbona Kama hawana time naye?.
 
Naomba nikupe ushauri mtoa mada, siku nyingine ukileta mada ya kichawa hakikisha unaweka namba yako ya simu Chini kabisa ya mada yako.
 
MFARIJI MKUU WA TAIFA DR SAMIA SULUHU HASAN

Na Comrade Ally Maftah

Dr. Samia Suluhu Hasan akiwa katika wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara, akiwafariji walioathiriwa na janga la Mafuriko

Rais na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, amefanya jambo kubwa sana na la kiungwana kama ilivyo kawaida yake kuwajali wagonjwa, na walio kwenye changamoto kama mtakumbuka Dr. Samia akiwa Makamu wa Rais alikuwa akiwatembelea viongozi wa upinzani waliokuwa katika changamoto mbalimbali hadi mahospitalini, pasipo kujali kwamba pengine viongozi wenzake wa chama watamchukuliaje, yeye alitanguliza utu kwanza masuala ya vyama hakuyaweka mbele.

Dr. Samia amewatembelea waathiriwa wa janga la mafuriko pasipo kujali itikadi za vyama vyao. kwa kuzingatia kwamba ilani inayotimizwa sasa ni ilani ya Chama cha Mapinduzi na msimamizi mkuu wa Ilani ni Dr. Samia.

Nawaomba ndugu zetu wapinzani msichukulie hili janga la watanzania wenzetu kama mtaji wa kisiasa, nchi yetu inapaswa kuwa katika utulivu na mshikamano kama ambavyo Rais Dr. Samia anavyosisitiza na kutuunganisha watanzania wote.

Comrade Ally Maftah
-Mjumbe Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam
-Mjumbe Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam

Labda Taifa la maCCM lkn si la Tanganyika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom