Ukweli mchungu: Bandari ya Dar es Salaam inahitaji mwekezaji haraka

Maryam Malya

Senior Member
Nov 29, 2021
115
258
Na Mwl Udadis, Tarime

Gharama za kusafirisha mizigo kwa meli hadi Bandari ya DSM zinazidi dola za Kimarekani 1,000 kwa kasha moja, tofauti na gharama za chini katika Bandari kama Mombasa. Hii inatokana na ukosefu wa meli za moja kwa moja kwenye Bandari ya Dar es Salaam kutokana na miundombinu yenye uwezo mdogo wa kazi kama vile upakuaji wa mizigo.

Kwa kuwekeza katika miundombinu, tunaweza kupunguza kusubiri kwa meli kutoka siku 5 hadi masaa 24, na kupunguza muda wa kupakia na kupakua mizigo kutoka siku 4.5 hadi siku 2. Hii itasaidia wafanyabiashara na kuwavutia watumiaji wengi wa bandari kutoka nchi mbalimbali na pia mzunguko mkubwa wa biashara katika bandari hii.

Changamoto nyingine ni utegemezi mkubwa wa Bandari yetu hii kwa watoa huduma binafsi kama vile ICDs(Inland Container Depots) na CFS(Container Freight Stations). Hii inaathiri ufanisi wa bandari kwa kiwango kikubwa na ni changamoto inayoweza kumalizwa ndani ya muda mfupi ikiwa muwekezaji serious atapewa kazi na kuwekeza.

Inaweza kuwa vigumu kukubali ukweli, lakini ni muhimu kuelewa kuwa Bandari ya DSM ni rasilimali muhimu ambayo haijatumika vyema. Kuwa na muwekezaji mwenye uzoefu wa kimataifa katika uendeshaji wa bandari kunaweza kutoa suluhisho la changamoto hizi na kufungua ukurasa mpya wa uchumi wa nchi yetu kupitia rasilimali hii adhimu.
 
Hapo Zanzibar wameleta mwekezaji mgeni na gharama zime double.

Nyoka akiingia ndani ya nyumba hatuchomi nyumba, anatafutwa nyoka anauwawa.

Rudi kufikiri sawasawa kama hujatumwa!!
 
Tunataka wawekezaji, ila hatutaki mikataba kandamizi na mikataba inayompa mwekezaji uhalali wa kuchukua aridhi yetu na yeye kuwa sehemu yetu na mrithi pamoja nasi!

Waarabu wenu wa DPWORD hatuwataki! Na wakilazimisha, tutamuomba Mungu wa Tanzania na ikiwezekana na mizimu yote ya nchi hii kuwapoteza wote wanaowapa hiyo mikataba ya kihuni

Nchi hii ni urithi wetu na watoto wa watoto wetu!
 
Ubinafsishaji bandari ya Dar es Slaam hauepukiki bila kujali utatumia njia gani au itakuja kampuni gani. Kimsingi wazawa hatuwezi kusimamia shughuli za bandari kwa uweledi na ufanisi.
 
Kwamba wazawa ni wapumbavu na wajinga??including you and ccm??
 
Na Mwl Udadis, Tarime

Gharama za kusafirisha mizigo kwa meli hadi Bandari ya DSM zinazidi dola za Kimarekani 1,000 kwa kasha moja, tofauti na gharama za chini katika Bandari kama Mombasa. Hii inatokana na ukosefu wa meli za moja kwa moja kwenye Bandari ya Dar es Salaam kutokana na miundombinu yenye uwezo mdogo wa kazi kama vile upakuaji wa mizigo.

Kwa kuwekeza katika miundombinu, tunaweza kupunguza kusubiri kwa meli kutoka siku 5 hadi masaa 24, na kupunguza muda wa kupakia na kupakua mizigo kutoka siku 4.5 hadi siku 2. Hii itasaidia wafanyabiashara na kuwavutia watumiaji wengi wa bandari kutoka nchi mbalimbali na pia mzunguko mkubwa wa biashara katika bandari hii.

Changamoto nyingine ni utegemezi mkubwa wa Bandari yetu hii kwa watoa huduma binafsi kama vile ICDs(Inland Container Depots) na CFS(Container Freight Stations). Hii inaathiri ufanisi wa bandari kwa kiwango kikubwa na ni changamoto inayoweza kumalizwa ndani ya muda mfupi ikiwa muwekezaji serious atapewa kazi na kuwekeza.

Inaweza kuwa vigumu kukubali ukweli, lakini ni muhimu kuelewa kuwa Bandari ya DSM ni rasilimali muhimu ambayo haijatumika vyema. Kuwa na muwekezaji mwenye uzoefu wa kimataifa katika uendeshaji wa bandari kunaweza kutoa suluhisho la changamoto hizi na kufungua ukurasa mpya wa uchumi wa nchi yetu kupitia rasilimali hii adhimu.
tunahitaji mwekezaji ila sio kumgawia kama tulivyotaka kufanya kwa dp world.
 
Wanaoiendesha bandari sasa hivi ni TEC. Wakishirikiana na karamagi na Anna Tibaijuka, wapambe wao ni Slaa, mdudu na mwambulukuku.

cc Mama Amon
 
Na Mwl Udadis, Tarime

Gharama za kusafirisha mizigo kwa meli hadi Bandari ya DSM zinazidi dola za Kimarekani 1,000 kwa kasha moja, tofauti na gharama za chini katika Bandari kama Mombasa. Hii inatokana na ukosefu wa meli za moja kwa moja kwenye Bandari ya Dar es Salaam kutokana na miundombinu yenye uwezo mdogo wa kazi kama vile upakuaji wa mizigo.

Kwa kuwekeza katika miundombinu, tunaweza kupunguza kusubiri kwa meli kutoka siku 5 hadi masaa 24, na kupunguza muda wa kupakia na kupakua mizigo kutoka siku 4.5 hadi siku 2. Hii itasaidia wafanyabiashara na kuwavutia watumiaji wengi wa bandari kutoka nchi mbalimbali na pia mzunguko mkubwa wa biashara katika bandari hii.

Changamoto nyingine ni utegemezi mkubwa wa Bandari yetu hii kwa watoa huduma binafsi kama vile ICDs(Inland Container Depots) na CFS(Container Freight Stations). Hii inaathiri ufanisi wa bandari kwa kiwango kikubwa na ni changamoto inayoweza kumalizwa ndani ya muda mfupi ikiwa muwekezaji serious atapewa kazi na kuwekeza.

Inaweza kuwa vigumu kukubali ukweli, lakini ni muhimu kuelewa kuwa Bandari ya DSM ni rasilimali muhimu ambayo haijatumika vyema. Kuwa na muwekezaji mwenye uzoefu wa kimataifa katika uendeshaji wa bandari kunaweza kutoa suluhisho la changamoto hizi na kufungua ukurasa mpya wa uchumi wa nchi yetu kupitia rasilimali hii adhimu.
Vipi Rostam, Hujambo? Safari ya Uarabuni imezaa nini?

Kabla ya Bandari, tunahitaji mwekezaji Ikulu na Bunge. Sioni kama vyombo hivi vinaendeshwa vizuri. Gharama kubwa ya maisha; mafuta bei juu, tozo, kura za ndiyo Bungeni, Spika sura mbaya, n.k. Kwa ujumla tuanze na vyombo hivi muhimu mengine yatanyooka tu!
 
Na Mwl Udadis, Tarime

Gharama za kusafirisha mizigo kwa meli hadi Bandari ya DSM zinazidi dola za Kimarekani 1,000 kwa kasha moja, tofauti na gharama za chini katika Bandari kama Mombasa. Hii inatokana na ukosefu wa meli za moja kwa moja kwenye Bandari ya Dar es Salaam kutokana na miundombinu yenye uwezo mdogo wa kazi kama vile upakuaji wa mizigo.

Kwa kuwekeza katika miundombinu, tunaweza kupunguza kusubiri kwa meli kutoka siku 5 hadi masaa 24, na kupunguza muda wa kupakia na kupakua mizigo kutoka siku 4.5 hadi siku 2. Hii itasaidia wafanyabiashara na kuwavutia watumiaji wengi wa bandari kutoka nchi mbalimbali na pia mzunguko mkubwa wa biashara katika bandari hii.

Changamoto nyingine ni utegemezi mkubwa wa Bandari yetu hii kwa watoa huduma binafsi kama vile ICDs(Inland Container Depots) na CFS(Container Freight Stations). Hii inaathiri ufanisi wa bandari kwa kiwango kikubwa na ni changamoto inayoweza kumalizwa ndani ya muda mfupi ikiwa muwekezaji serious atapewa kazi na kuwekeza.

Inaweza kuwa vigumu kukubali ukweli, lakini ni muhimu kuelewa kuwa Bandari ya DSM ni rasilimali muhimu ambayo haijatumika vyema. Kuwa na muwekezaji mwenye uzoefu wa kimataifa katika uendeshaji wa bandari kunaweza kutoa suluhisho la changamoto hizi na kufungua ukurasa mpya wa uchumi wa nchi yetu kupitia rasilimali hii adhimu.
Huyo mwanaume aliyekuoa (if at all una mume) amelamba garasha.
 
Hatuhitaji kuibiwa serikali ishawekeza sana na ina uwezo kuwekeza. Kinachoonekana ni wajanja wanaotaka wao kula mapato ya bandari kwa uwekezaji wa umma yaani bila wao uwekezaji.
Hujuma zinazofanyika bandarini zinaweza kutatuliwa na zinatatuliwa na uongozi ulio imara. Serikali kama imeshikwa na wezi matatizo ya kiuongozi hayawezi kutatuliwa. Hiyo mombasa hamuachi kutolea mfano haiko chini ya mwekezaji mgeni au mwenyeji. Ni mamlaka ya bandari ya kenya KPA ndio inaendesha tena serikali kenya wameweka wazi hawahitaji mwekezaji kama DPworld.
 
Back
Top Bottom