Huduma za mabus ya Mwendokasi ni mbovu kama zilivyo huduma za daladala

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,278
2,041
Wadau nawasalimu.Mimi nimekuwa nikitumia DALADALA kusafiri sehemu mbalimbali za Jiji la Dar kwa miaka mingi. Na Usumbufu wa DALADALA naujua sana.

Serikali ilipoanzisha Usafiri wa Mabus ya Mwendokasi ili kutoa huduma ya Usafirishaji wa Abiria ktk baadhi ya Sehemu za JIJI niliamini kuwa utakuwa ni Usafiri BORA kabisa Usafiri usio na Usumbufu Usafiri wa kufika kwa wakati.

Lakini leo nimegundua kuwa Nilikuwa Najidanganya kuamini hivyo.Nilichogundua ni kwamba Usafiri wa Mabus ya Mwendokasi una tofauti Kama tatu na Usafiri wa Daladala na ukiziondoa hizo tofauti basi Mabus ya Mwendokasi ni DALADALA TU Kama DALADALA nyingine.

Tofauti kati ya Mabus ya Mwendokasi na Daladala ni pamoja na

1. Mabus ya Mwendokasi yana BARABARA zake tofauti na DALADALA hazina special barabara.

2. VITUO vya uhakika ambavyo Mabus ya Mwendokasi ni lazima Mabus yasimame tofauti na DALADALA zinajisimamia POPOTE pale.

3. Aina ya MABUS ya Mwendokasi ni tofauti na Mabus ya DALADALA
Ninapo soma Mabus ya Mwendokasi ni DALADALA tu nikutokana na Kutoa huduma Kama zitolewazo na DALADALA huduma ambazo nayo Mabus ya Mwendokasi yamekuwa yanatoa Kama vile

1. KUJAZA abiria kupita kiasi.

2. Kuondoka VITUO mpaka DEREVA atake mwenyewe hiyo ndivyo zilivyo DALADALA.

3. Kubeba Mizigo Kama Magari ya Mizigo/ kubeba mpaka ndoo za Samaki ndivyo zilivyo DALADALA.

Kutokana na hizo Sababu nahitimisha kwa kusema kuwa Binafsi SIONI umuhimu wa uwepo wa Mabus ya Mwendokasi Kwani HUDUMA zake ni Kama za DALADALA.
 
Management inaangalia na aina ya raisi aliyopo hapo juu. Rais anayependa warsha na kununua magoli mpira hizo shida hata hazimhusu
 
Ni mbovu zaidi ya daladala...

Mwendokasi wanajingia cha kufanya na abiria hamna cha kuwafanya..

Bora daladala mna uwezo wa kula sahani moja na dereva na konda wake palepale endapo watazingua..
 
Wadau nawasalimu.Mimi nimekuwa nikitumia DALADALA kusafiri sehemu mbalimbali za Jiji la Dar kwa miaka mingi. Na Usumbufu wa DALADALA naujua sana.

Serikali ilipoanzisha Usafiri wa Mabus ya Mwendokasi ili kutoa huduma ya Usafirishaji wa Abiria ktk baadhi ya Sehemu za JIJI niliamini kuwa utakuwa ni Usafiri BORA kabisa Usafiri usio na Usumbufu Usafiri wa kufika kwa wakati.

Lakini leo nimegundua kuwa Nilikuwa Najidanganya kuamini hivyo.Nilichogundua ni kwamba Usafiri wa Mabus ya Mwendokasi una tofauti Kama tatu na Usafiri wa Daladala na ukiziondoa hizo tofauti basi Mabus ya Mwendokasi ni DALADALA TU Kama DALADALA nyingine.

Tofauti kati ya Mabus ya Mwendokasi na Daladala ni pamoja na

1. Mabus ya Mwendokasi yana BARABARA zake tofauti na DALADALA hazina special barabara.

2. VITUO vya uhakika ambavyo Mabus ya Mwendokasi ni lazima Mabus yasimame tofauti na DALADALA zinajisimamia POPOTE pale.

3. Aina ya MABUS ya Mwendokasi ni tofauti na Mabus ya DALADALA
Ninapo soma Mabus ya Mwendokasi ni DALADALA tu nikutokana na Kutoa huduma Kama zitolewazo na DALADALA huduma ambazo nayo Mabus ya Mwendokasi yamekuwa yanatoa Kama vile

1. KUJAZA abiria kupita kiasi.

2. Kuondoka VITUO mpaka DEREVA atake mwenyewe hiyo ndivyo zilivyo DALADALA.

3. Kubeba Mizigo Kama Magari ya Mizigo/ kubeba mpaka ndoo za Samaki ndivyo zilivyo DALADALA.

Kutokana na hizo Sababu nahitimisha kwa kusema kuwa Binafsi SIONI umuhimu wa uwepo wa Mabus ya Mwendokasi Kwani HUDUMA zake ni Kama za DALADALA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
In short nyani ni walewale kwenye msitu mpya
 
Management inaangalia na aina ya raisi aliyopo hapo juu. Rais anayependa warsha na kununua magoli mpira hizo shida hata hazimhusu
Huduma za mwendokasi ni mbovu tangu zimeanza na zilikuwa mbovu zaidi Max malipo waliokuwa wanakatisha tiketi walipofukuzwa awamu ya tano.
 
Naungana nawe mtoa hoja, bila ya kampuni hii ya mwendokasi kupewa mshindani huduma zitaendelea kuwa mbovu, nani real owner wa UDA?,kupindi cha UDA walipewa mshindani, Co Cabs, hawa walikua na mabus machache ila service yao ilikua super, na kilichotokea abiria wengi wakawa wanasubiria Co Cabs buses!,ni kaka tanesco kwa sasa, hili shirika nikipewa urais wa 24 hrs ,nitalifuta kabla ya 13H00 na kuunda kampuni mbili, moja ya usambazaji wa umeme,uzalishaji utakua kwa private companies
 
Wadau nawasalimu.Mimi nimekuwa nikitumia DALADALA kusafiri sehemu mbalimbali za Jiji la Dar kwa miaka mingi. Na Usumbufu wa DALADALA naujua sana.

Serikali ilipoanzisha Usafiri wa Mabus ya Mwendokasi ili kutoa huduma ya Usafirishaji wa Abiria ktk baadhi ya Sehemu za JIJI niliamini kuwa utakuwa ni Usafiri BORA kabisa Usafiri usio na Usumbufu Usafiri wa kufika kwa wakati.

Lakini leo nimegundua kuwa Nilikuwa Najidanganya kuamini hivyo.Nilichogundua ni kwamba Usafiri wa Mabus ya Mwendokasi una tofauti Kama tatu na Usafiri wa Daladala na ukiziondoa hizo tofauti basi Mabus ya Mwendokasi ni DALADALA TU Kama DALADALA nyingine.

Tofauti kati ya Mabus ya Mwendokasi na Daladala ni pamoja na

1. Mabus ya Mwendokasi yana BARABARA zake tofauti na DALADALA hazina special barabara.

2. VITUO vya uhakika ambavyo Mabus ya Mwendokasi ni lazima Mabus yasimame tofauti na DALADALA zinajisimamia POPOTE pale.

3. Aina ya MABUS ya Mwendokasi ni tofauti na Mabus ya DALADALA
Ninapo soma Mabus ya Mwendokasi ni DALADALA tu nikutokana na Kutoa huduma Kama zitolewazo na DALADALA huduma ambazo nayo Mabus ya Mwendokasi yamekuwa yanatoa Kama vile

1. KUJAZA abiria kupita kiasi.

2. Kuondoka VITUO mpaka DEREVA atake mwenyewe hiyo ndivyo zilivyo DALADALA.

3. Kubeba Mizigo Kama Magari ya Mizigo/ kubeba mpaka ndoo za Samaki ndivyo zilivyo DALADALA.

Kutokana na hizo Sababu nahitimisha kwa kusema kuwa Binafsi SIONI umuhimu wa uwepo wa Mabus ya Mwendokasi Kwani HUDUMA zake ni Kama za DALADALA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Hakika kabisa mabasi ya mwendokasi inabidi yawe tofauti na daladala ibebe level seat na isibebe mizigo mingi na iepushe mizigo yenye harufu mbaya au ambayo itachafua mazingira ya basi LA mwendokasi. Hii itatokea kama mabasi ya mwendokasi yote yafanye kazi na yafanyiwe service kila muda siyo kwenda kupaki pale Jangwani na kusemekana kuwa ni mabovu asa Kodi tunayolipa na nauli zinaenda wapi.
 
Hadi saivi jiji la ilala lilipofikia ilibidi mwendokasi ndo zinafanya kazi route zote na ziwe zinaeleweka nikimaanisha zisolve tatizo la daladala. Na daladala zilibidi ziende mikoani kufanya shughuli huko maana zinaaibisha jiji la Ilala
 
Naungana nawe mtoa hoja, bila ya kampuni hii ya mwendokasi kupewa mshindani huduma zitaendelea kuwa mbovu, nani real owner wa UDA?,kupindi cha UDA walipewa mshindani, Co Cabs, hawa walikua na mabus machache ila service yao ilikua super, na kilichotokea abiria wengi wakawa wanasubiria Co Cabs buses!,ni kaka tanesco kwa sasa, hili shirika nikipewa urais wa 24 hrs ,nitalifuta kabla ya 13H00 na kuunda kampuni mbili, moja ya usambazaji wa umeme,uzalishaji utakua kwa private companies
Mkuu umenikumbusha Co cabs wewe kweli ni mhenga

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Wadau nawasalimu.Mimi nimekuwa nikitumia DALADALA kusafiri sehemu mbalimbali za Jiji la Dar kwa miaka mingi. Na Usumbufu wa DALADALA naujua sana.

Serikali ilipoanzisha Usafiri wa Mabus ya Mwendokasi ili kutoa huduma ya Usafirishaji wa Abiria ktk baadhi ya Sehemu za JIJI niliamini kuwa utakuwa ni Usafiri BORA kabisa Usafiri usio na Usumbufu Usafiri wa kufika kwa wakati.

Lakini leo nimegundua kuwa Nilikuwa Najidanganya kuamini hivyo.Nilichogundua ni kwamba Usafiri wa Mabus ya Mwendokasi una tofauti Kama tatu na Usafiri wa Daladala na ukiziondoa hizo tofauti basi Mabus ya Mwendokasi ni DALADALA TU Kama DALADALA nyingine.

Tofauti kati ya Mabus ya Mwendokasi na Daladala ni pamoja na

1. Mabus ya Mwendokasi yana BARABARA zake tofauti na DALADALA hazina special barabara.

2. VITUO vya uhakika ambavyo Mabus ya Mwendokasi ni lazima Mabus yasimame tofauti na DALADALA zinajisimamia POPOTE pale.

3. Aina ya MABUS ya Mwendokasi ni tofauti na Mabus ya DALADALA
Ninapo soma Mabus ya Mwendokasi ni DALADALA tu nikutokana na Kutoa huduma Kama zitolewazo na DALADALA huduma ambazo nayo Mabus ya Mwendokasi yamekuwa yanatoa Kama vile

1. KUJAZA abiria kupita kiasi.

2. Kuondoka VITUO mpaka DEREVA atake mwenyewe hiyo ndivyo zilivyo DALADALA.

3. Kubeba Mizigo Kama Magari ya Mizigo/ kubeba mpaka ndoo za Samaki ndivyo zilivyo DALADALA.

Kutokana na hizo Sababu nahitimisha kwa kusema kuwa Binafsi SIONI umuhimu wa uwepo wa Mabus ya Mwendokasi Kwani HUDUMA zake ni Kama za DALADALA.
Mwendokasi ni usafiri wa hovyo na mchafu kuliko niliosafiria kijijini kwetu! Karne ya 21, watu wanajazwa kwenye mwendokasi na majasho yote, bado wenye magonjwa ya hewa! Kwangu huu ni usafiri worse kuliko popote nilipowahi kufika Tanzania hii. What a shame kwa nchi inayojisifu inapiga hatua, hatua gani maisha yanakua hopeless kiasi kile kwenye mwendokasi.

Kuna watanzania wenye uwezo was kuendesha ule mradi kwa ufanisi mkubwa sana, ila kwa kuwa serikali ya CCM na viongozi wa nchi hii wananufaika na taabu na mateso ya watanzania, hutokaa usikie wakikemea ule uozo unaoitwa mwendokasi!!! Hivi kama kuna mtanzania mwenye bus 100 zinazoenda mikoana anashindwa nini kupewa huo mradi wa mwendokasi akausimamia. Maana mwendokasi wenyewe kila kituo kuna ma-scrapper (ma-bus mabovu) na ni mengi kuliko yanayofanya kazi.
 
Hakika kabisa mabasi ya mwendokasi inabidi yawe tofauti na daladala ibebe level seat na isibebe mizigo mingi na iepushe mizigo yenye harufu mbaya au ambayo itachafua mazingira ya basi LA mwendokasi. Hii itatokea kama mabasi ya mwendokasi yote yafanye kazi na yafanyiwe service kila muda siyo kwenda kupaki pale Jangwani na kusemekana kuwa ni mabovu asa Kodi tunayolipa na nauli zinaenda wapi.
Wale ni majambazi
 
Ni wakati umefika sasa mwendokasi ubinafsishwe kwa Abood au Shabiby ili mradi uwe na tija.
 
Hali halisi vituoni watu wanakaa 3hrs hakuna usafiri msipoangalia mtaua watu halafu msese ziundwe tume wkt mgeweza ondoa hii adha mapema ruhusuni magari ya kutosha au waacheni raia wafanye biashara km mwanzo
 
Attachments

  • IMG_1069.jpeg
    IMG_1069.jpeg
    1.3 MB · Views: 4
  • IMG_1068.jpeg
    IMG_1068.jpeg
    1.3 MB · Views: 4
Wadau nawasalimu.Mimi nimekuwa nikitumia DALADALA kusafiri sehemu mbalimbali za Jiji la Dar kwa miaka mingi. Na Usumbufu wa DALADALA naujua sana.

Serikali ilipoanzisha Usafiri wa Mabus ya Mwendokasi ili kutoa huduma ya Usafirishaji wa Abiria ktk baadhi ya Sehemu za JIJI niliamini kuwa utakuwa ni Usafiri BORA kabisa Usafiri usio na Usumbufu Usafiri wa kufika kwa wakati.

Lakini leo nimegundua kuwa Nilikuwa Najidanganya kuamini hivyo.Nilichogundua ni kwamba Usafiri wa Mabus ya Mwendokasi una tofauti Kama tatu na Usafiri wa Daladala na ukiziondoa hizo tofauti basi Mabus ya Mwendokasi ni DALADALA TU Kama DALADALA nyingine.

Tofauti kati ya Mabus ya Mwendokasi na Daladala ni pamoja na

1. Mabus ya Mwendokasi yana BARABARA zake tofauti na DALADALA hazina special barabara.

2. VITUO vya uhakika ambavyo Mabus ya Mwendokasi ni lazima Mabus yasimame tofauti na DALADALA zinajisimamia POPOTE pale.

3. Aina ya MABUS ya Mwendokasi ni tofauti na Mabus ya DALADALA
Ninapo soma Mabus ya Mwendokasi ni DALADALA tu nikutokana na Kutoa huduma Kama zitolewazo na DALADALA huduma ambazo nayo Mabus ya Mwendokasi yamekuwa yanatoa Kama vile

1. KUJAZA abiria kupita kiasi.

2. Kuondoka VITUO mpaka DEREVA atake mwenyewe hiyo ndivyo zilivyo DALADALA.

3. Kubeba Mizigo Kama Magari ya Mizigo/ kubeba mpaka ndoo za Samaki ndivyo zilivyo DALADALA.

Kutokana na hizo Sababu nahitimisha kwa kusema kuwa Binafsi SIONI umuhimu wa uwepo wa Mabus ya Mwendokasi Kwani HUDUMA zake ni Kama za DALADALA.
Maneno yako ni ya kweli kabisa. Mwendokasi zenye huduma za viwango vya kimataifa zingeweza kuhamasisha wenye magari madogo wayaache nyumbani wategemee Mwendokasi lakini Bongo wapi hatuyawezi mambo haya kama vile polisi wanavyoshindwa kudhibiti bodaboda wafuate sheria za usalama barabarani! Mwendokasi haina sheria mle ndani, si dereva wala askari anayehakikisha ustarabu mle ndani. Mizigo inawekwa mlangoni mhusika anakwenda kukaa mbali! Mwendokasi ya Mbezi Kariakoo anawapita watu wa Temboni ati hawakunyoosha tiketi akiwa anapita mbio kama vile kuna mashindano! Juzi nilikuta dereva anaendesha gari lakini la Mbezi shamba lakini hajafungua kizuizi ili watu waingie na kuteremkia mlangoni kwake inabidi wainame kama mbuzi kupita kwenye kizuizi! Ukikata tikti kwa sababu hakuna refund basi wewe unageuzwa mfungwa. Mtangojeshwa ili mjae. Mabus hayana mkaguzi dereva anajisimamia mwenyewe!
 
Back
Top Bottom