Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 9,654
- 15,983
Ni wazi John Magufuli (marehemu) alitaka kukata kabisa mzizi wa Utawala wa awamu ya 4 hapa nazungumzia wafanyabiashara na watawala huko serikalini.
Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu aliondoka kabla hajafikia malengo na tukampata Mama kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii.
Nipo hapa najiuliza tu Mama Samia ataweza kukata mzizi wa JK.?
Karibuni.