Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,393
- 4,086
Hakika KESI ya MEMBE VS MUSIBA na FATUMA VS MUSIBA ni ya aina yake nzuri sana KUJIFUNZA kwa sasa.
Kesi hizi mbili ni SOMO TOSHA kwa hili KUNDI KUBWA lililoanza kuibuka Katika UTAWALA wa AWAMU ya 5 na hii ya 6.Kundi hili kwa Kiswahili fasaha linajulikana kama CHAWA.
Kazi kubwa ya KUNDI hili ni
1.KUJIPENDEKEZA kwa VIONGOZI
2 KUTUKANA na Kudhalilisha WATU wengine kwa faida ya hao VIONGOZI.
Katika UTAWALA wa Awamu ya 5 kuna Bwana mkubwa mmoja na Kundi lake anaitwa CYPRIAN MUSIBA mwandishi wa habari alikuwa anajiita ni MWANA HARAKATI HURU wa RAIS MAGUFULI.
Huyu Bwana alikuwa Anawatukana na kuwadhalilisha watu mbalimbali bila kujali Heshima zao kwa Jamii na familia zao na aliwalenga maasimu wakubwa wa RAIS MAGUFULI na hakuwahi KUCHUKULIWA HATUA zozote za kukatazwa au kukemewa hata kukamatwa na JESHI la POLISI hali ambayo ilionekana Wazi Kuna ULINZI mkubwa Anapata ili Atekeleze UCHAWA wake.
Bwana huyu hata MAHAKAMANI alikuwa HATAKI kutokea licha ya kupata WITO wa MAHAKAMA.
KESI zote mbili zimefika mwisho Bwana MUSIBA ametiwa HATIANI Anatakiwa Awalipe MABILIONI ya SH. WAHUSIKA ambao ni Mh.MEMBE na Bi FATUMA KARUME.
Mzee MEMBE amekwenda MAHAKAMANI kukazia HUKUMU na MUSIBA amepewa SIKU 14 kumlipa Mzee MEMBE BIL.6 na Fedha zingine Gharama za MAHAKAMA.
USHAURI kwa MACHAWA
Yaliyompata Bw.MUSIBA wote tumeyasikia MUSIBA wakati anatekeleza UANAHARAKATI wake tena HURU kuna Waliomshangilia na kumpongeza na Aliyekuwa anamtuma na Kumlipa sijui yupo wapi lakini LEO yupo Pekee yake
Watanzania tuache KUJIPENDEKEZA kwa VIONGOZI kwa ajili ya kupata FEDHA na TEUZI huku tukiwatukana na kuwadhalilisha WATU kwani mwisho wa siku ATAKAYESHTAKIWA ni WEWE na sio Yule KIONGOZI . MAHAKAMA kupitia DALALI wake anakwenda KUKAMATA MALI ZAKE zote na KUZIUZA ili AMLIPE Mh.MEMBE.
Je Aliyekuwa anamtuma Anamlipa na Kumlinda Bwana MUSIBA yupo wapi Mbona HAJITOKEZI KUMLIPIA?
"UCHAWA HAULIPI " Mwisho wa UCHAWA ni MAUMIVU.