Tunakoelekea kila Waziri atabeba msalaba wake mwenyewe!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
86,460
147,189
Watanzania Siyo Wajinga na huu ujanja ujanja wa Mawaziri kumtaja taja Rais wa JMT katika kila tukio Watanzania wameshaung'amua

Mawaziri wengi ni dhaifu na ni Wafanyabiashara

Mungu wa Mbinguni mbariki Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Manyara

Nawatakia Sabato Njema 😄
 
Raisi wako ndie anaefurahia kutajwa bila sababu za msingi. Utasikia raisi katoa.....
 
Alafu wakiwa wanaongea Kama wako programmed.

Wakuu wa Wilaya, mikoa na mawaziri, Kila baada ya sentesi mbili lazima wamtaje Raisi.
Nadhani wanafundishwa kuzungumza hivyo, yaan Kama maroboti.

Baraza hili la mawaziri limejaza watu wajinga, wanafiki na watoa rushwa ya sifa kwa Rais. Na Rais, kama ilivyo kawaida ya rushwa, amepofushwa na rushwa ya sifa kiasi cha kutouona ubovu wa mawaziri wake.
 
Unaambiwa Raisi mama mpenda haki kawapa Wavamizi Eneo la Mwananchi !!! Mwenzao Kwa Ile walivamia bila kuelewa kuwa eneolina hati!!!
Aibuuu tupu
 
Back
Top Bottom