Uchaguzi huru ni ule unaoruhusu kuchunguzwa kwenye Michakato yake

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,502
9,281
Uchaguzi Huru na wa Haki ni ule ambao kila hatua huwa wazi na inayotoa Uhuru wa kuchunguzwa na Washikadau kuweza kuthibitisha kwa Uhuru ikiwa mchakato unafanywa kwa Uaminifu na Usahihi.

Michakato ya kufanya maamuzi lazima iwe wazi kwa uchunguzi, na fursa nzuri za Maoni ya Umma zinapaswa kutolewa.


----

Elections are transparent when each step is open to scrutiny, and stakeholders can independently verify whether the process is conducted honestly and accurately.

The principle of transparency is linked to the fundamental right of citizens to seek, receive and impart information (which are elements of the freedom of expression), as well as the right to take part in government and public affairs.

Decision making processes must be open to scrutiny, and reasonable opportunities for public input should be provided. Information relating to all stages of the electoral cycle must be made available and accessible to citizens, including voters and candidates.

Nonpartisan and partisan observers should be accredited to observe all phases of the election process and be permitted to comment publicly on the process free from unreasonable restriction.
 
Tanzania hakuna uchaguzi, Bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura.
Ajabu wewe na chama chenu mnashiriki hayo maonesho (sio maonyesho) ya ujinga kila uchaguzi unapofika. Hapo nani mjinga tena na mpumbavu? Ahahahahaha!!!!
 
Back
Top Bottom