Ukiona Binadamu anamsifia Binadamu badala ya Mungu ujue ana ajenda ya Siri. Binadamu hupongezwa tu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,146
Mbunge wa zamani huko Monduli hayati Sokoine aliwahi kusema Ukiona Binadamu anamsifia Binadamu badala ya Mungu ujue ana ajenda ya Siri.

Sokoine alisema Sifa na Shukrani ni kwa Mungu bali kwenye Siasa kuna kupongezana kwa ama Matendo mazuri au Uwajibikaji uliotukuka.

Sidhani kama Moringe angekuwepo leo angeyarudia maneno haya, pale Chadema wasingemuelewa kabisa.

Nawatakia Sabato Njema 😄
 
Ukiona kiongozi anaweka wapambe, chawa, wa kumsifia, jua huyo ni kiongozi dhaifu Sana kiuongozi na asiyestahili cheo alichonacho
 
Tazama hili jitu zima hapa limevaa Tshirt ya kusifu mtu!

Screenshot_20231208-150031.png
 
Mbunge wa zamani huko Monduli hayati Sokoine aliwahi kusema Ukiona Binadamu anamsifia Binadamu badala ya Mungu ujue ana ajenda ya Siri

Sokoine alisema Sifa na Shukrani ni kwa Mungu bali Kwenye Siasa kuna Kupongezana kwa ama Matendo mazuri au Uwajibikaji uliotukuka

Sidhani kama Moringe angekuwepo leo angeyarudia maneno haya, pale Chadema wasingemuelewa kabisa

Nawatakia Sabato Njema 😄
Salaasm machawa wote ...Lucas M...
Apewe salaam
 
Hawa viongozi wetu wa zamani walikuwa na akili sana, ujasiri na zaidi walikuwa wakweli wa nafsi zao. CCM ya wakati ule ilikuwa ipo kwaajili ustawi wa Taifa lakini leo CCM imegeuzwa kuwa genge la wanayang'anyi, wahuni, wevi, wanafiki na waongo. Kila uchafu unaoufikiria haukosekani ndani ya CCM, mpaka wauaji wamejificha ndani ya CCM.

Kauli ya mwisho ya Edward Moringe Sokoine pale Bungeni, kabla ya kifo chake, alisema, "wale wala rushwa na wevi wa mali za umma, wasitarajie chama na Serikali vitawalinda katika uovu wao". Na kauli za viongozi wa wakati ule, zikitolewa ilijulikana wazi zitafuatiwa na matendo. Siyo kama hawa viongozi wa sasa.
 
Mbunge wa zamani huko Monduli hayati Sokoine aliwahi kusema Ukiona Binadamu anamsifia Binadamu badala ya Mungu ujue ana ajenda ya Siri.

Sokoine alisema Sifa na Shukrani ni kwa Mungu bali kwenye Siasa kuna kupongezana kwa ama Matendo mazuri au Uwajibikaji uliotukuka.

Sidhani kama Moringe angekuwepo leo angeyarudia maneno haya, pale Chadema wasingemuelewa kabisa.

Nawatakia Sabato Njema 😄
Nyie ndio tumewaoa mkiwatukuza na kuwaabudu viongozi wenu
 
Mbunge wa zamani huko Monduli hayati Sokoine aliwahi kusema Ukiona Binadamu anamsifia Binadamu badala ya Mungu ujue ana ajenda ya Siri.

Sokoine alisema Sifa na Shukrani ni kwa Mungu bali kwenye Siasa kuna kupongezana kwa ama Matendo mazuri au Uwajibikaji uliotukuka.

Sidhani kama Moringe angekuwepo leo angeyarudia maneno haya, pale Chadema wasingemuelewa kabisa.

Nawatakia Sabato Njema
CCM siku hizi SIFA na UTUKUFU huwapa VIONGOZI wao nakumbuka Wakati wa Utawala Katili wa Awamu ya 5
Mkuu wa Mkoa Tabora wa kipindi kile aliwahi kusema "MUNGU" anatakiwa amshukuru Magufuli kwa jinsi anavyotenda kazi
Musiba nae aliwahi kusema Mambo anayoyafanya Magufuli hata "YESU" hakuwahi kuyafanya.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Lakini wakati huo hakuwepo magu wa samia, imekuwaje tena?
 
CCM siku hizi SIFA na UTUKUFU huwapa VIONGOZI wao nakumbuka Wakati wa Utawala Katili wa Awamu ya 5
Mkuu wa Mkoa Tabora wa kipindi kile aliwahi kusema "MUNGU" anatakiwa amshukuru Magufuli kwa jinsi anavyotenda kazi
Musiba nae aliwahi kusema Mambo anayoyafanya Magufuli hata "YESU" hakuwahi kuyafanya.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Na yule shehe uchwara je, umemsahau?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom