Nyakati Hizi za kuelekea Uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi mkuu ndio huwaga tunashuhudia mbwembwe na Vibweka lukuki kutoka kwa Mawaziri wetu huku wakishadadiwa na Mapambio ya CHAWA...
Nape Nauye amepata mashambulizi makubwa sana mengi yakiwa yanatokana na historia yake kisiasa. Yapo makosa ya kisiasa ameyafanya na sasa yanamgarimu sana.
1. Kutumia goli la mkono kushinda...
Ni kwa sababu, haiingii akili hata chembe kwa yeyote mwenye akili timamu kuamini sababu ya kupotea kwa VP siku zaidi 30 bila taarifa yoyote rasmi ya serikali kule aliko na anafanya nini.
Baada ya...
Jana Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni alifanya ukaguzi wa Soko zima na kuahidi kurudi tena hivi karibuni kukutana na Wafanyabiashara Wote kuwaeleza Mpango wa Serikali wa kuliboresha Soko hilo la Tegeta...
Kuna baadhi ya maafisa wa TRA (TMU) wanatumika na bwana mmoja anaitwa Beno wa kampuni ya Will Logistics, anachokifanya bwana huyo anakodi magari halafu halipi pesa kama inavyotakiwa.
Ukifika...
Timu ya kutengeneza dira ya taifa ya mwaka 2025-2050 imewaweka wataalamu tu katika maeneo mbalimbali.
Japo sioni umuhimu wa kutengeneza kitu hicho kinachoitwa dira ya taifa ila ni naipongeza sana...
Rais anapokuwa hana maono kazi yake kubwa inakuwa ni kutafuta umaarufu badala ya kuumiza kichwa kuhusu ustawi wa watu wa taifa lake.
Wangapi wamemuelewa rais Samia ktk hili?
Tunafahamu kuwa watumishi wote wa Umma ambao ni Viongozi na wapo Madarakani kwa kupigiwa kura (kupitia uchaguzi) waajiri wao na mabosi wao ni sie Wapiga kura wananchi wa nchi hii.
Sheria za kazi...
SHUNSHAA TRUMP,TRUMP HAS FINISHED,SOMO KWA CHADEMA, ACT WAZALENDO NA ULEVI WAO KWA WAZUNGU.
Leo 13:15hrs 10/01/2021
Nimejifunza mengi baada ya kusoma vitabu vya "Pan Africanist" kama Chachage...
Hizi hapa Nchi 4 Za Afrika Zilizofuta Visa Kwa raia yeyote wa Afrika ambae anataka kutembelea Nchi hizo.
1.Kenya-Rais yeyote kutoka Nchi yeyote Duniani hahitaji visa kwenda Kenya.
2.Rwanda...
Kupitia mtandao wa kijamii X, Waziri Nape Nnauye amesema kuwa ameelekeza vyombo vinavyohusika kuchukua hatua za mfano dhidi ya wote waliozusha na kusambaza taarifa za uongo dhidi ya Makamu wa...
Ni hivi karibuni serikali imezindua mchakato wa kuandika Dira ya maendeleo ya mwaka 2025 - 2050 (au pengine zaidi, kadiri itakavyopendekezwa).
Jambo hili ni jema kwa sababu, kama Taifa, mipango...
Baadhi ya donors wameanza kulalamika kuwa wanachangia pesa lakini hazitumiki vizuri. Zinatumika katika kusafiria na kulipana posho.
Mnakumbuka pesa za kukubali uwepo wa Covid 19 na kupigwa...
Hivi karibuni tumemsikia waziri Nape akieleza kuwa wale wote waliosema uwongo dhidi ya afya ya makamu wa Rais, atawachukulia hatua.
Mimi ni mtu ninayechukia sana uwongo, na hakika waongo...
Akizungumza East Africa Radio asubuhi hii, Disemba 12, 2023, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema Haki za wananchi zinazopatikana nje ya mtandao zinapaswa kutolewa pia ndani ya...
Taarifa hii njema imetolewa na serikali ya Tanzania
---
Mtendaji wa Tume ya Mipango Bw. Lawrence Mafuru amesema kuwa;
"Uchumi wetu umekuwa ukikua kwa wastani wa asilimi 6% kwa miaka 20...
Tarehe 7 Sept 2017
Tundu Lissu anapigwa risasi mkoani Dodoma
October 2017
Jordan Rugimbana mkuu wa mkoa wa Dodoma anatumbuliwa.
Jordan ni mtoto wa Kamisna wa kwanza wa jeshi la magereza nchini...
Kuna wakati mtu unaweza kujiuliza ni kwanini hadi leo tunatembeza bakuli la kuomba Misaada Ulaya.
Kwanini tuliwafukuza Wakoloni?
Kwanini tulitaifisha mali zao kwenye Azimio la Arusha kwa mfano...
Prof Chachage Seithy Loth Chachage - alitumia neno ‘Collective Imbecilization’ kueleza uzuzu, ubwege, ufala wa pamoja unaoweza kufanywa na serikali
Hili jaribio la kuwapumbaza watu mamilioni kwa...