Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nielekee kwenye mada. Naona mambo yanaendelea na joto linaendelea kukolea. Katika chama cha Mapinduzi kile kiitwavyo uhuru wa kugombea utaleta doa kwa wale wasiokubaliana na Mama. Wanauhuru...
1 Reactions
4 Replies
626 Views
Godbless Lema akizungumza kupitia Star TV amezungumzia kuhusu kauli ya CDF kuhusu Wakimbizi kadhaa kudaiwa kupewa ajira Serikalini na wengine kuteuliwa Serikalini katika nafasi za juu.
15 Reactions
73 Replies
9K Views
Kwanini CDF atoe ushauri kuhusu suala hili kwa mhe rais hadaharani? Kuna mtu anatafutwa kisiasa? Ndiyo! Kuna mfukunyuku amenipa hint kwamba yule mtu wa watu ambaye mara nyingi hupata ajali za...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
KINANA AITAKA CHADEMA KUTHAMINI NIA NJEMA YA RAIS SAMIA KATIKA MARIDHIANO Na Mwandishi Wetu MAKAMU Makamu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana, amesema nia njema...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
MBUNGE CHEREHANI ATOA MADAWATI 975 YA MIL 63.3: MAADHIMISHO MIAKA 47 YA CCM Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe Emmanuel Cherehani kupitia Ofisi ya mbunge ametoa madawati 975 yenye thamani ya Shilingi...
0 Reactions
0 Replies
487 Views
Wakati Rais Hussein Mwinyi anaingia madaralani, uchumi wa Zanzibar ulikuwa kunakuwa kwa asilimia zisizozidi 5. Lakini ndani ya kipindi cha miaka 3 tu uchumi wa Zanzibar leo unakua kwa asilimia...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Baada ya Chama Kikuu kabisa cha siasa nchini Tanzania, CHADEMA, kutangaza tarehe ya Maandamano, huku Wananchi kwa Mamilioni wakionyesha kuunga Mkono na kutangaza kushiriki, Kumeibuka kikundi cha...
16 Reactions
70 Replies
5K Views
Wote tumeshuhudia namna Paul Makonda amekuwa jasiri na Hodari kuhakikisha haki za wanyonge zinapatikana lakini kusimamia uwajibikaji kwa Viongozi na watumishi wa Umma kote anakopita. Kwa sasa...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Siku ya Jumamosi ya tarehe 21 iliandikwa historia ya kunyesha mvua isiyo ya kawaida iliyosababisha maafa makubwa sana. Pamoja na maeneo mengine, jimbo la Kawe liliguswa vibaya sana na mvua hizi...
6 Reactions
50 Replies
3K Views
Kwenye kikao cha bunge cha Februari 1, 2024, mbunge nyangarakasha Mwita Waitara alitamba bungeni mbele ya wabunge wenzake waliokuwa wakimshangilia kuwa wabunge wa CCM watatumia wingi wao...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano awamu ya pili ambayo yatahusisha majiji makubwa matatu, ambayo ni Mwanza Februari 13, Mbeya Februari 20 na Arusha Februari 27...
21 Reactions
81 Replies
5K Views
Naona ndani ya wiki hizi mbili wabunge wetu wameendelea kukunja Shingo wakiongozwa na spika wao , wengi wakiamini kuwa kukiwa na tume huru ya uchaguzi na mipaka hawatashinda Nafasi zao , huu ni...
8 Reactions
15 Replies
1K Views
Polisi walianza kujiingiza ccm, baadae wakajigeuza kuwa wanachama wa ccm. IGP kadhaa wameruhusu hilo litokee. Leo Makonda anamuita mtu mwenye level ya RPC anamuhoji kwenye mkutano wa hadhara. Hii...
25 Reactions
130 Replies
8K Views
Kuna swali tu nimejiuliza hapa, what if tule tu vyama vingine vya Upinzani vitajiunga kwenye maandamano yanayoratibiwa na CHAMA KIKUU CHA UPINZANI? Kisheria ikoje? Itabidi na wao wakaombe kibali...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kamati ya Bunge Utawala, Sheria na Katiba imependekeza kuwa isiwe lazima kwa Wakurugenzi wa Halmashauri, Miji na Majiji kusimamia Uchaguzi. Pia kamati imependekeza kuwa...
2 Reactions
91 Replies
7K Views
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025. Hana sifa. Hana uwezo. Ni mbaguzi. Hatufai. Akigombea 2025. Hakuna wa kumkataza 2030. Tumkatae na mambo yake yote.
42 Reactions
132 Replies
7K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Kile Chama cha siasa kinachoungwa mkono na Wananchi wengi zaidi kuliko chama chochote Nchini Tanzania, kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya...
9 Reactions
92 Replies
5K Views
Mbunge Abdulhafar Juma akichangia kwenye miswada ya sheria uchaguzi ametoa pendekezo la kuongeza kipengele cha kutoa elimu namna ya kupokea matokeo. Akisema, "Kushindwa kwa baadhi ya viongozi...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa mjibu wa katibu mwenezi wa CCM Taifa, ndugu Paul C. Makonda, Taifa letu lina viongozi wazalendo ambao wakipewa kazi wanafanya kazi kuhakikisha nchi inapiga hatua kimaendeleo. Lakini kwa...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Kama una nia njema huwezi kukataa kitu ambacho watu 99.999% wanakipigania ila wewe tu mmoja unakataa. By necessary implication ni kuwa wewe una nia OVU. Katiak social science kuna WENGI WAPE as...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom