Mbunge Waitara: Tutapitisha miswada yote kwa kutumia wingi wetu

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
18,671
22,262
Kwenye kikao cha bunge cha Februari 1, 2024, mbunge nyangarakasha Mwita Waitara alitamba bungeni mbele ya wabunge wenzake waliokuwa wakimshangilia kuwa wabunge wa CCM watatumia wingi wao kuipitisha miswada ya uchaguzi!

Swali, Tanzania ni mali ya nani, wabunge wengi wa CCM au wachache wananchi? Je, CCM bado inaendelea na "hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni CCM"!
 
Kwenye kikao cha bunge cha Februari 1, 2024, mbunge nyangarakasha Mwita Waitara "!
Waitara anajihisi hatia ndani ya moyo wake, anajitaidi sana ili apate kukubalika ndani ya chama lakini wapi.

Waitara tumia vizuri mafao yako maana nina uhakika hautatoboa ktk uchaguzi ujao maana hauna faida yoyote kwa chama chako, jimbo lako na nchi kwa ujumla
 
20231016_220436.jpg
 
Kwenye kikao cha bunge cha Februari 1, 2024, mbunge nyangarakasha Mwita Waitara alitamba bungeni mbele ya wabunge wenzake waliokuwa wakimshangilia kuwa wabunge wa CCM watatumia wingi wao kuipitisha miswada ya uchaguzi!

Swali, Tanzania ni mali ya nani, wabunge wengi wa CCM au wachache wananchi? Je, CCM bado inaendelea na "hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni CCM"!
Huyo ni mpumbavu kama sura yake.Hatufanyi mambo kwa kukomoana.Tufanye mambo kwa maslahi ya taifa kwa leo na keshokutwa.Lijinga hilo limwalimu kihiyo.
 
Waitara ndie anayethibitisha kwa vitendo lile bunge halina maana.

Mwanaume halafu unapeleka mipasho bungeni huku ukishangiliwa na wanawake, sijui nilie...

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Na mwenyekiti wao naye hupeleka mipasho majukwaani huku akishangiliwa na wale watoto wa uhamasishaji.
 
Kwenye kikao cha bunge cha Februari 1, 2024, mbunge nyangarakasha Mwita Waitara alitamba bungeni mbele ya wabunge wenzake waliokuwa wakimshangilia kuwa wabunge wa CCM watatumia wingi wao kuipitisha miswada ya uchaguzi!

Swali, Tanzania ni mali ya nani, wabunge wengi wa CCM au wachache wananchi? Je, CCM bado inaendelea na "hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni CCM"!
Ukiwa CCM akili zinatoweka kabisa unakuwa kichaa
 
Kwenye kikao cha bunge cha Februari 1, 2024, mbunge nyangarakasha Mwita Waitara alitamba bungeni mbele ya wabunge wenzake waliokuwa wakimshangilia kuwa wabunge wa CCM watatumia wingi wao kuipitisha miswada ya uchaguzi!

Swali, Tanzania ni mali ya nani, wabunge wengi wa CCM au wachache wananchi? Je, CCM bado inaendelea na "hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni CCM"!
si ndio Demokrasia ilivyo ndrugu zango,
wengi wape wachache waskizwe na kulindrwaa au wananzengo walipendeleaje 🐒
 
Waitara anajihisi hatia ndani ya moyo wake, anajitaidi sana ili apate kukubalika ndani ya chama lakini wapi.

Waitara tumia vizuri mafao yako maana nina uhakika hautatoboa ktk uchaguzi ujao maana hauna faida yoyote kwa chama chako, jimbo lako na nchi kwa ujumla
Anataka eti hata akikosa ubunge aweze kufikiriwa kwenye teuzi nyingine.
 
Kwenye kikao cha bunge cha Februari 1, 2024, mbunge nyangarakasha Mwita Waitara alitamba bungeni mbele ya wabunge wenzake waliokuwa wakimshangilia kuwa wabunge wa CCM watatumia wingi wao kuipitisha miswada ya uchaguzi!

Swali, Tanzania ni mali ya nani, wabunge wengi wa CCM au wachache wananchi? Je, CCM bado inaendelea na "hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni CCM"!

Hili sio bunge , ni kijiwe Cha CCM na machawa wake.
 
Back
Top Bottom